Naombeni msaada wenu tafadhali kuhusu matumizi ya dawa hii. Inatibu nini hasa na sio dawa za uzazi wa mpango kweli!? Na inauhusiano wowote na maswala ya hormone kwa mwanamke!? Msaada wenu tafadhali
Wapendwa natumaini mu wazima wa afya, nina nyanya yangu mwenye umri wa miaka 80 na ushee hivi, amekuwa akiugua hapa na pale, mnajua mambo wa uzee tena, sasa hapa juzi kati hospital (kcmc)...
MAMBO 10 YA KUZINGATIA ILI KUPUNGUZA UZITO WAKO KWA URAHISI NA HARAKA ZAIDI
Pata kifungua kinywa chenye protein kwa wingi. Kula kifungua kinywa chenye protini kwa wingi imeonekana kupunguza...
Kama heading inavojieleza hapo juu[emoji115].masikio tangu huwa yananiwasha mara kwa mara,nikifikicha na pamba au kidole huwa kunatoka vitu kama nta iliyogandia na kukauka.sasa sijajua tatizo ni...
Jee ni hii ni dawa ya kweli ya kutibu tatizo la uzazi kwa wanaume?
Infertility Treatment – A Boon
For The Hopeless Couples
Benefits of Baby
Capsules-
Increases sperm motility
Make sperm...
Kutokana na maneno mbalimbali ya watu mitaani, wengi wanadai kwamba maji ya madafu yanasababisha kupata busha. Kwa muda mrefu tumekuwa tunatishwa sana kwamba wanaume tusinywe maji ya madafu au...
Habari zenu wandugu.
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu hili tatizo lilimpata kipindi fulani akiwa mjamzito ikasababisha mimba kutoka sasa naona limerudi tena nini inaweza kuwa tatizo...
I want to know negative effect of masterbation
Kwa ufahamu mdogo niliokua nao hivi, kwanza kabisa puchu/punyeyo hufanyika kwa hisia ya kufanya ngono na mtu au hisia za picha za ngono ulizoona au...
1.Juisi ya aloe vera (mshubiri)
Juisi ya Aloe Vera huongeza kinga ya mwili. Mu-aloe-vera una viinilishe vingi sana muhimu kwa afya ya binadamu. Una vitamini A, B, C na E. Mmea huu una orodha ndefu...
PROSTATE CANCER TREATMENT.
1. B-CAROTENE & LYCOPENE CAPSULE
:: supplements body with vitamin A
:: serves as a strong antioxidant which deactivetes free radicals
:: prevents cancer,especially...
Nawasalimu wote, shida yangu ni kuwa nimepatwa na jipu sehemu za siri likiwa na maumivu makali pembeni kidogo ya kiungo changu cha uzazi upande wa juu. Nina aibu ya kwenda hospitali, mwenye kujua...
Ndugu wenzangu kwanz habar zenu.
Mm jaman naomb msaada wa tiba ya maradh nilonayo.
Kwani shingo inanipa tabu sana.
Hasa pale nnapo amka asubuhi nikigeuza shingo inakua kama ina data ndani...
Tumezoea kuambiwa madhara ya simu za mikono na wataalam mbalimbali wakiwemo wa afya.
Madhara haya twaambiwa wenda yasionekane kipindi cha awali cha matumizi ya simu, na badala yake kuonekana...
Kuna ndugu yangu anaumwa macho, yanatoa machozi tu...katumia Dawa zote lakini Bado tatizo liko pale pale...
Naulizia daktari yupi wa macho ni mzuri kwa Dar na anapatikana hospitali gani na...
Habarini,
Kuna dawa yeyote ya kunyoosha ili iwe inanyooka?
Nimeona kama ni tatizo kwa wale waliobahitika kupitiwa wanalalamika mno kuwa wanaumizwa hususan pale inapokuwa inakoboa vilivyo...
Habari za usiku wapendwa.. Mim ni baba wa mtoto mmoja wa kike, leo usiku huu tukiwa tunaingia kulala na mke wangu ikabidi amangalie mtoto Kama amekojoa ili ambadilishe nguo ili tulale.... Wakati...
Nimempeleka mtoto hospitali baada ya kuona hana furaha, amebainika ana malaria.
Dk kamwandikia dawa inaitwa cortecian, moyo wangu umekuwa mzito kununua, naomba ushauri ...ni mara ya kwanza...
MADAKTARI WALIOGUNDUA VIPANDIKIZI VYA KANSA KWENYE CHANJO WAMEULIWA
Si mda mrefu kupita Neon Nettle walitoa taarifa jinsi madaktari wanavyouliwa, wengi wao wakitokea Florida,Marekani
Wataalamu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.