Habari wanajamvi katika utafuti wangu nimegundua wanawake ndio chanzo cha sisi wanaume kukosa nguvu, ujue maumbile ya mwanamke yana thamani kubwa sana na yanaheshima yake ndio mana yanatakiwa yawe...
Habari zenu wakuu,
Jamani naomba mnisaidie, hivi dawa sahihi/bora ya constipation ni ipi?? Maana nina tatizo hilo kwa muda sasa.
Nitashukuru mkinisaidia.
Habari za Leo wakuu. Tadharini sana na karibisha mawazo,ushauri,ushirikiano na lolote lenye kujenga na kuimarisha wazo langu nalotaka kuliwasilisha kwenye wakuu.
Kwanza kabisa mimi ni "form six...
Hapa nimemaliza kula ugali, mara nikata wazo la ghafla.
Kama hatunyonyeshi...!!
Nini kazi ya matiti au nyonyo, au chuchu kifuani mwa jinsia ya kiume?
Karibuni tujadili...[emoji101]
Jamani tatizo langu ni kukojoa mara kwa mara ninapokunywa kimiminika chochote. Hali hii hunikosesha raha maana kama nina mkutano inabidi nisinywe chai wala maja.
Kitendo cha kunywa glass moja ya...
naombeni kujua iv wanavyompima mwanaume kujua mbegu zake kama zina uwezo wa kutunga mimba wanachukua hizo mbegu na kuzipima?na kama wanachukua wanachukuaje?
Pili kujua mwanamke ana uwezo wa...
Jaman wadau naombeni msaada kama kuna spitali ambayo inahusika na viungo vya mwili naomba nielekezwe ili nikaangalie hali yangu.
Kwasababu nna muda wa mwaka sasa nasumbuliwa na maumivu ya kiuno...
Habarini wanaJF,
Kuna msichana hapa mtaani kwetu kila tukifanya mapenzi tukifika katikati ya mechi anatokwa na damu. Sio bikra lakini hii hali hujirudia mara zote.
Je inaweza kuwa ni ugonjwa? Na...
Hellow wanajf,natumaini wote muwazima kwa wale wagonjwa poleni..mimi tatizo langu ni maumivu makali chini ya kitovu maumivu haya sio continously huwa yanakuja na kuacha huwa yanakua makali sana...
Habari ndugu zangu wa humu,
Mimi ni mdau wa humu yapata miaka zaidi ya 6.
Ishu inayonisumbua hivi kwanini ukikutana na mwanamke kimwili na round ya kwanza unawahi kukojoa haraka sana.
Pili na...
If you have never tried to quiet your mind with meditation then you are in for a surprise: your mind is a very noisy place. Brain waves are the electrical movements in our brain, and they always...
A new study conducted by researchers at the San Francisco VA Medical Center (SFVAMC) observes that pharmacological enhancement of the immune systems of HIV patients could help eliminate infected...
Naomba kuuliza tafadhali, mim ni mama wa mtoto mmoja mwenye umri wa mwaka mmoja wakati najifunguwa huyu mtoto alivutwa kwa kutumia chupa maarufu kama vacuum., je Kuna athari yeyoye mtoto anaweza...
Japo nafahamu kwamba zote zina madhara katika mwili wa mwanadamu, Je kuna ufafanuzi wa kidaktari/kitaalamu kati ya kutumia sukari nyeupe na sukari ya brown? Ni ipi ina madhara zaidi?
Habar ya asubuhi wandugu;
Nina tatizo la meno, meno yangu yananisumbua sana,yaani yanauma kimwendokasi. Kama leo sijalala kabisa.Tatizo ni meno ya mbele yameoza na ndio yanayouma. Wasiwasi wangu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.