Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Hivi jamani wana JF, tabia za mtu mwwnye kisukari ni zipi? Maana kuna tabia mume wangu anazo kwa kweli zinanichosha sana. Kuongea kwa upole kwake ni issue, kitu kidogo anakufokea then anazira...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Wazoefu naomba msaada wenu,wanandoa wanatakiwa kukutana mara ngapi kwa wiki bila athari za kiafya wala kuchoshana?
1 Reactions
38 Replies
5K Views
Nimepata kusikia eti unapofika kileleni na manii kutoka kwa mwanaume kwenda kwa mwanamke kwamba wakati huo huo kuna majimaji fulani hutoka kwa mwanamke na kuelekea kwa mwanaume. Inasemekana...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
BAADHI YA VYAKULA VYA KUEPUKA KUNUNUA ‘SUPERMARKET’ NI kweli kwamba watu wengi tunapenda kununua vyakula kutoka ‘supermaket’ kutokana na ubora wa bidhaa zake na wakati mwingine hata unafuu wa...
4 Reactions
4 Replies
5K Views
Wapendwa nahitaji msaada,,jumapili napata wapi specialist wa wanawake kwa dar?hosptal wanayotumia bima itakua nzuri zaidi Aksante
0 Reactions
1 Replies
2K Views
wadau wa jf Niwasalimu wote mliomo humu... Nimekuwa nikisumbuliwa na hili tatizo la kuota mabaka mabaka yanayotokea baada ya vipele vinavyoota na baadae vikipasuka huacha mabaka meusi ambayo...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Habari wana jamii. Nina tatizo limeanza kujitokeza miaka mitatu iliyopita na sasa naona linakuwa sugu. Ni kwamba paji langu la uso(kipumi) ngozi yake inasinyaa na kujikunja mfano wa mtu...
0 Reactions
3 Replies
5K Views
Najua Watu wengi humu tunatumia usafiri wetu huu wa kawaida wa daladala kwenda katika mizunguko yetu mbalimbali. Ila ikumbukwe kuwa hasa katika jiji letu hili la Dar es Salaam usafiri wa daladala...
0 Reactions
18 Replies
5K Views
Kuna jamaaa yangu jana kanipigia simu na kuniambia kuwa ana fangasi zinamsumbua na nnavyojua kuwa hajafanyiwa tohara nilamwambia kuwa kafanye tohara. Je anaweza fanya tohara huku ana fangasi au...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
TATIZO LA KUTOPATA RAHA WAKATI WA TENDO LA NDOA Wapo ambao wakati wanapofanya mapenzi badala ya kupata raha, husikia maumivu, mwanaume katika uume lakini ni mara chache sana kulinganisha na...
1 Reactions
10 Replies
51K Views
Naomba msaada kuhusu kutambaa kwa mtoto. Mtoto wangu ni wa kike ana miezi tisa lakini bado anajivuta kwa tumbo. Sasa hivi ndo naona anashika kwenye kiti au meza anasimama mwenyewe. Je ni muda gani...
0 Reactions
13 Replies
7K Views
Habarin wanajamvi: Naombeni kuuliza watalaamu kuhusu mzunguko wa hedhi kutotulia, nini kinasababisha? Mke wangu cycle yake haijatulia kabisa nikiweza kuattach cycle chart mtaona wenyewe. Kwenye...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari za humu wana jamii forum Natumai ni wazima wa afya Naombeni msaada wa hili tatizo kwamba kuna muda ambao huwa nahisi internal muscle zinatetemeka tetemeka tena hali hii huchukua sekunde...
0 Reactions
0 Replies
35K Views
Kuna visa vingi vya saratani barani Afrika vinavyosababishwa na maradhi mengine. Hiyo ndio habari mbaya. Lakini habari njema ni kuwa zinaweza kuzuiwa kwa kutumia chanjo. Zaidi ya nusu karne...
1 Reactions
1 Replies
787 Views
Salaam. Unaombwa ufike na mtoto wako mwenye shida ya moyo siku ya JUMATATU, APRILI 18, 2016, SAA 3 ASUBUHI katika KLINIKI YA TAASISI YA MOYO MUHIMBILI ili alazwe kwa ajili ya kuonwa na madaktari...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nauliza PID ni ugonjwa gani?,je inaweza kusababisha mwanamke asipate ujauzito? na tiba yake ni nini au dawa nzuri ya kutibu ni ipi?
1 Reactions
1 Replies
5K Views
Utafiti mpya uliotolewa nchini Marekani, umebainisha kuwa watu wanaopenda kulala bila nguo wanapata faida nyingi ikiwamo ya kuwa na uwezekano mdogo wa kupata ugonjwa wa kisukari. Ripoti hiyo ya...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
NOR-T na BROFEN.
0 Reactions
1 Replies
7K Views
Waungwana mtoto wangu wa miaka 6 amemeza kidude vha plastic wakati anacheza kwa mujibu wa maelezo yake ila analalamika maumivu ya kifua anasema kimekwamia kifuani. Naomba mwenye kujua namna ya...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Naomba msaada wenu, rfk yangu ana tatizo la ukavu ukeni kila anapofanya mapenzi, afanye nini kuepuka hilo tatizo? Nawasilisha
1 Reactions
78 Replies
8K Views
Back
Top Bottom