Habari wadau! (Mtanisamehe kwa maelezo yangu marefu)
Mimi ni kijana wa umri wa miaka 21 ..nimekuwa nikisumbuliwa na tatizo la chunusi kwa takribani miaka 3 na nusu sasa.. nimewahi kwenda kwa...
Nina rafiki yangu anaitwa............mpenzi wake ana ujauzito sasa tangu awe hivyo harufu yake imekuwa mbaya zaidi ya kawaida.
Tena wakifanya mapenzi ndo kabisa,anaomba msaada sasa mimi alinambia...
Jambo JF,
1. Uyoga ni chanzo kikubwa na kizuri cha vitamin C, D na Potassium.
2. Uyoga unaondoa hatari ya kuwa na kansa kwa kupambana na kuviondoa vianzilishi vya kansa za aina zote.
3...
Habari zenu wana jf. Nimeolewa nina miezi sita sasa kwenye ndoa yangu ila sijafanikiwa kupata ujauzito.nimejaribu kukutana na mume wangu siku za hatari kuanzia siku ya kumi na moja bila mafanikio...
Wanageo science na wabobezi wa geography na yeyote mwenye elimu ya afya kuhusu maji ya mvua ni salama ukiyanywa bila kuchemshwa. Naomba ushauri nimekuwa nikiyakusanya kwenye matank hapa kwangu na...
Nimeona ku share ili jambo kwa observation zangu naona rate ya watoto wa kike kuzaliwa ni kubwa sana, dada zetu siku hizi kila ukisikia kajifungua basi unakuta ni mtoto wa kike!
Katika family...
UMUHIMU WA KUSAFISHA UTUMBO MPANA
Kuna sababu 18 ambazo zinkupelekea ULAZIMIKE kusafisha utumbo wako MPANA. HILI ni eneo ambalo uchafu wote ambao unahitajika kutoka kwa njia ya haja KUBWA...
Habari za majukumu wakuu, mi nimekuwa na tatizo la kidonda kilichosababishwa na ajali ya pkpk tokea mwezi wa 11 mwaka 2009, nimeshatumia tiba za kila aina mpaka skin grafting nilishafanyiwa lkn...
Wadau naomben msaada wa swali hili je ni kwel mama mjamzito akila sana muwa wakati wa ujauzito wake atapata uchungu mkali sana tena wa muda mrefu wakati wa kujifingua karibuni kwa mchango wa majibu
Ninafarijika kuona jinsi ambayo jamii ya lishe inabadilika kwa kasi sana hasa kwenye kutoka kwenye sembe kuhamia kwenye dona
Kautifiti kangu kadogo kameonesha kwamba kwa sasa kupata dona si ishu...
Habarini wakuu!!
Poleni kwa pilikapilika za wiki nzima,nina imani wengine mtakuwa bado mko kwenye mihangaiko ya kimaisha kwa ajili ya kujipatia riziki, wengine kwenye nyumba za ibada wengine...
Kuvuja damu baada ya kujifungua ni nini?
Kuvuja damu baada ya kujifungua ni hali ya kuvuja damu kupita kiasi kutoka kwenye njia ya mfumo wa uzazi wakati wowote baada ya kuzaa hadi wiki sita...
Kama heading inavyosomeka,ni zaidi ya wiki 2 sasa wife hana hamu kabisa na tendo la ndoa.
Jambo hili limeanza kuonekana baada ya kugundulika ni mjamzito wa kama mwezi ivi,hii ishu imekuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.