Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Hali zenu wadau, Hakuna asiye jua kuwa siku hizi kushika mimba Ni issue, wanawake wamekuwa wakihangaika mahospitalini na Kwa waganga yote hii ili kunusuru ndoa zao Kwa kuwapa wenza wao watoto...
2 Reactions
24 Replies
4K Views
Habari zenu ndugu zangu, Nipo katika mtihani ambao unanichanganya sana, nahitaji ushauri wa kitaalamu na hata kimawazo. Jambo lenyewe ni hili; Nina mke na tunaishi mbalimbali kutokana na namna...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Wengi wetu tunafahamu madhara ya kiafya ya baadhi ya wadudu kwa binadamu. Tangu shule tulifundishwa baadhi ya jamii tofauti tofauti za wadudu na madhara yake iwe kiafya na hata kimazingira. Kwa...
0 Reactions
2 Replies
9K Views
Niko na swali; Hivi ukila tikiti na mbegu zake kuna faida au hasara au madhara yoyote kwa mwili wa binadamu?
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habar zenu wanaJF, ni wiki ya pili sasa toka niambiwe mwanangu hawezi kupona ni kama nimechanganyikiwa vile, kuna kipindi mwanangu aliugua ikabidi Mama yake ampeleke hospital kama ilvo kawaida ya...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Unatakiwa kuwa mwangalifu wakati wa kufanya mapenzi hasa kama huna mpango wa kuwa mama au baba. Kwa sasa maji baridi yanavyosaidia mwanamke kutoshika mimba baada ya tendo la ndoa, je kuna ukweli...
1 Reactions
2 Replies
12K Views
Kuna tatizo la meno kupandiana kwa watoto. Hili husababishwa na jino linapotingishika halafu likaendelea kukaa bila kung'olewa katika umri wa miaka 6-7. Hivyo lile la ukubwani hujipenyeza kwa...
0 Reactions
7 Replies
7K Views
Smoking a cigarette is releasing nicotine in your bloodstream which is pleasurable for the smoker. But it takes 6-8 hours for that nicotine to leave your body, which most of it is releasing when...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nina mzee wangu ambaye ana tatizo la kibofu cha mkojo ni mzee miaka kama 63 hivi,ninampango wa kumpeleka Hospital akafanyiwe matibabu sahihi,wakati najiandaa kifedha naomba sana Mnisaidie nijue...
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Wanajf polen na majukumu ya sikukuu. Waungwana nina mtoto wangu ana siku kumi,tatizo linalomsumbua kitovu chake kinatoa damu.Nimekwenda hospital Dr ameniambia niendelee kukiosha tu bila kunipa...
0 Reactions
4 Replies
21K Views
KATIKA siku za hivi karibuni Shirika la Afya Duniani (WHO) limetoa ripoti inayoelezea kuwa, usingizi ni moja ya jambo muhimu na kutopatikana kwake kunaathiri zaidi afya ya mtu. Shirika hilo...
0 Reactions
0 Replies
9K Views
Salam natumai nyote ni wazima..jamani nlikuwa naomba msaada dharuri nahitaji jibu la ili swali langu kuhusu kusafisha uke kwa kidole ....ninapotia kidole na kutowa utoko wote nahisi uke unabana na...
0 Reactions
10 Replies
6K Views
Habar zenu wa dau Kwa mwenye kuelewa nini sababu yakupata maumivu wakati wa haja ndogo na nini ni tiba yake atujuze maana ili tatzo lilishanitokeaa Natangulizaa shukran
0 Reactions
12 Replies
6K Views
Wataalam, Naomba nielimishwe, ugonjwa wa chango unaitwaje kwa kiingereza? Naweza kupata ufafanuzi kidogo kuhusu ugonjwa huu? Maana utasikia mtu tumbo likiunguruma wanasema ni ugonjwa wa chango...
0 Reactions
6 Replies
16K Views
Wakuu habari za sikukuu. Nina tatizo la meno kuchimbika baina ya jino na fizi. Na sababu kubwa iliyofanya hivyo ni kupiga brush kwa muda mrefu na kutumia nguvu. Napata shida sana wakati wa kula...
1 Reactions
9 Replies
6K Views
Wakuu nilikuwa naulizia kama Tanzania kuna huduma ya Intracytoplasmic Sperm Injections? Kama ipo hospitali inayotoa huduma hiyo, tunaomba tujuulishwe pamoja na gharama zake hapa kwetu Tanzania.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Hali zenu wananchii...nlikuwa nauliza tokea nizae miezi sita sasa siku zangu hazipi sawa mara ziwahi mara zichelewe ..before last period nlipata tarehe 13 halafu nkija kupata 27 mwezi ulopita na...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Msaada jamani, hili tatizo huwa linanikumba sana! huwa nalala mapema, lakini nachelewa kupata usingizi nikiupata kama sea hizi umekata haurudi tuna…
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habarini wana jf. Mke wangu ana ujauzito wa wiki ya 22 na ndio mimba yake ya kwanza hivyo sina uzoefu sana wala mwenyewe hana uzoefu. 1. Kuna mama ametuambia kuwa kipindi hiki cha ujauzito wife...
0 Reactions
11 Replies
18K Views
Back
Top Bottom