Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Ninampenzi wngu leo ni siku ya tano mfululizo anaingia period ila kinachonisababisha niombe ushauri damu inatoka nyingiiiii sana kuliko miaka yote.,je ili ni tatizo gani waungwana? Naombeni msaada
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Matumizi ya kila siku ya dawa za kupunguza maumivu za paracetamol huongeza hatari ya ugonjwa wa moyo, kiharusi na kufupisha maisha ya binadamu, utafiti mpya umeonya. Paracetamol hupendelewa zaidi...
1 Reactions
13 Replies
4K Views
Madaktari humu ndani naomba ushauri maana nishaangaika nimefeli,, ngozi ya uso haijawahi kurelax huwa inakuwa kavu na rangi yenye mabaka nimeapply mafuta ya kila aina na ya bei tofauti kulingana...
0 Reactions
20 Replies
14K Views
Ni zipi dariri za mwanamke aliye fika kileleni? Nini kina sababisha mwanamke kuto kufika au kuchelewa?
1 Reactions
65 Replies
42K Views
Inaweza kuwa taarifa mbaya zaidi kwa wanaume wanaojihusisha na uvutaji wa sigara na angalizo kwa vijana wanaotaka kujitumbukiza kwenye kilevi hicho. Utafiti uliofanywa hivi karibuni na Chuo cha...
5 Reactions
55 Replies
3K Views
Wakuu nimewahi kusikia kuuchora mwili tattoo kuna madhara makubwa tu, Naomba tuchangie madhara yanayosababishwa na tattoo mwilini, Katika dini ya kiislamu mwenyezi mungu amekataza kabisa...
0 Reactions
30 Replies
10K Views
Ndugu wana JF Doctors, nahitaji kuonana na daktari anayehusika na masuala ya uzazi hasa kwa wanaume. Naomba kujua endapo nitaenda hospital kama Muhimbili, niulize doctor wa nini (kitaalamu) ili...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Naomba kufahamishwa ni vyakula gani haswa au vitu gani huweza kuongeza wingi wa Shahawa, yani ukipiga kitu kijaze kikombe cha kahawa au zaidi?
0 Reactions
2 Replies
940 Views
Wataalamu waJF, Katika pitapita zangu mitandaoni nimekutana na picha hii, nikasisimka na kujiuliza hiki ni nini? Je ni ugonjwa? Kama ni ugonjwa je husababishwa na nini? Yapi ni...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Siku hizi hiyo imekuwa ni kawaida sana mtu kuumwa kichwa siku moja na kufa wengi huwa wanahisi ni ushrikina. Lakini tukija kitaalamu chanzo chake nini. Na ni vitu gani uviepuke ili usipatwe na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Jamaa yangu mmoja kaniuliza swali hivi karibuni kuwa inakuwaje wanawake wengi hapa nchini hujifungua kwa 'operation'? Nini kinasababisha hali hii?
0 Reactions
23 Replies
16K Views
Waungwana habari zenu, Mimi nina mwanamke nimezaa nae ila hatukai wote mkoa mmoja,tuna mtoto wa miaka mitatu yeye anaishi mwanza kikazi,na mimi naishi Dar kikazi pia, ila pindi anapopata likizo...
2 Reactions
142 Replies
21K Views
Habari wapedwa. naomba msaada kwa anaemjua Docta Bingwa wa wanawake Morogoro. anapopatikana na contact zake ikiwezekana nitashukuru sana kwa msaada wenu. Asante
0 Reactions
6 Replies
6K Views
katika gem mara msuli wa mguu ama mbavu unatight na huwezi kuendelea au ku move yaani ikikutokea wewe hutatamani tena kutongoza demu utaaadhirika sana -sababu ni nini .yaani unahangaika kama...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Habari wakuu! Kama swali lilivyouliza, Je wakati wa tendo la ndoa mwanamme anapomwaga shahawa zake ni lazima ziingie zote ukeni ili aweze kumpa ujauzito? Au kuna zingine huwa zinarudi nje na je...
0 Reactions
15 Replies
28K Views
Mpo wakuu? Mke wangu alikuwa na tatizo la urinary (tract infection) mwezi uliopita. Ilinibidi niende juu chini na niligudua kwamba hili wanawake kuepukana na janga hili lazima niwaambie. Kama...
5 Reactions
12 Replies
4K Views
Naomba kujuzwa hospitali inayopima maswala ya uzazi kwa wanaume na wanawake kwa mkoa wa Dar na Pwani. Je gharama za vipimo ni kiasi gani?
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wanajamvi habari za saa hizi, Nina mwanangu aliyekuwa na afya nzuri tangu amezaliwa,hajawahi kusumbuliwa na ugonjwa wowote mkubwa zaidi ya mafua ya sikumbili tatu basi.Alikuwa ni mchangamfu na...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Namba unavyoambukizwa Dalili Vipimo
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Naomba ufafanuzi 1. Je, kila mtaalamu wa afya anayo elimu ya lishe? 2. Kama sio kwanini kila mtalaamu anatoa elimu ya lishe?
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Back
Top Bottom