Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Nauliza, Dawa hii inayotumika kutibu Erectile dysfunction (Viagra/ Sildenafil) inauzwaje katika pharmacy zetu na prescription yake inakuaje? Naomba mwenye kujua anifahamishe..Nina shida nazo.
0 Reactions
15 Replies
4K Views
Habar zenu wanaJF, ni wiki ya pili sasa toka niambiwe mwanangu hawezi kupona ni kama nimechanganyikiwa vile, kuna kipindi mwanangu aliugua ikabidi Mama yake ampeleke hospital kama ilvo kawaida ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Sabakher Wadau; Nimesoma Vitabu Ving Lakin Bado Nashindwa Kuelewa!! Ukimwi Unasambaa Kwa Damu! Hapa Naongelea Michubuko! Au Kwa MajiMaji Yaliyopo Sehemu Za Sir (Mucus)! Kama Kwa Damu Ina maana...
2 Reactions
52 Replies
16K Views
Habarini Wadau, Nimewahi kufika na kukaa kwa muda katika maeneo ya kibosho na huru kilimanjaro kwasababu za kikazi,nimeona asilimia kubwa ya wenyeji wa huko wana meno yenye rangi yaani isiyokuwa...
1 Reactions
102 Replies
17K Views
Habarini na heri ya Ijumaa kuu.. Napenda kuwapa stori hii... Juzi nimekutana na rafiki yangu mwenye jinsia yakike niliyeachana naye kitambo sana tangu enzi za chuo....Tulikua kwenye basi moja...
0 Reactions
1 Replies
9K Views
Kuongezeka kwa ugonjwa wa UTI umeleta hisia tofauti katika jamii kiasi wengine kukwepa kutumia vyoo. Kama wewe ni mwanamke, uwezekano wa kupatwa maambukizi ya njia ya mkojo, au UTI iko juu sana...
1 Reactions
20 Replies
5K Views
JAMANI.. I am 26 now.. Tangu niingie darasa la 7 mwaka 2004 mpaka leo hii nishamanliza degree 2016 napiga sana PULI... Lengo langu ilikua kuepuka mademu wakat niko shule... Hata sasa bado...
0 Reactions
30 Replies
5K Views
Arthritis is a disease that has afflicted thousands of people for a long time. In fact, some studies suggest that arthritis has been around for 4,500 years. Fortunately, there are ways you can...
1 Reactions
0 Replies
3K Views
  • Closed
Jamani mnisaidie. Siku za karibuni mke wangu anajamba sana nyakati za usiku, tena kwa sauti kubwa. Kujamba kwake kunanishtua sana usingizini, na nashindwa kuendelea kulala. Jambo hili...
1 Reactions
790 Replies
141K Views
Wakuu wa Nchi naombeni msaada kwa mtu anayejua Dawa ya kidonda ndugu please ya mbadala please .nasikia eti asali ya nyuki wadogo wanasaidia kuponyesha ,mwenye ushaurii naomba please.
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Wakuu ts up. Maziwa (breast) ya mwanamke nimesikia jamii za watu wengi Mathalani vijana wa mjini.. Wakimuona binti mwenye maziwa makubwa hudai kuwa amechezewa au ameshikwashikwa sana Maziwa...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Msaada wadau nahitaji kupunguza uzito ila nanyonyesha naweza tumia vyakula gani vikanisaidia katika safar yangu hii n visidhuru unyonyaji wa mtoto?
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Msaada jamani nimenunua kipimo cha mimba nakujipima majibu yapo hivi: Umetokea mstari mmoja kwa juu ila tu hili eneo lililobaki yani limevilia rangi kama nyekundu. Je ina maana gani?
1 Reactions
16 Replies
18K Views
Wakuu nimejarbu kuuliza na kutafakar wachojiskia baadh ya watu wanapojambishwa na kukosa majibu Naomba wenye tatizo hilo watujuze tafadhal au kama kuna wanaojua chochote kuhusu hilo watujuze
0 Reactions
25 Replies
5K Views
Naomba kusaidiwa jambo, Hivi ni kweli mwanamke hawezi kubeba mimba hadi awe na ule ute usio na rangi (colourless)?.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari zenu wan jf. Nina mtoto wa kiume umri miezi tisa sasa, amezaliwa hana tatizo lolote la kifua ila leo nimeshangaa kifua kimembana usiku mida ya saa tano hivi , nimeshindwa nimsaidieje maana...
0 Reactions
4 Replies
6K Views
Hivi Husaa huwa unasababishwa na kutendenezwa na nini kwenye kidonda au jipu
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Naomba kujuzwa na wataalam madhara ya kutumia earphones.
0 Reactions
9 Replies
8K Views
Wakuu, Nina kitambi kinanikera sana, nimeshajaribu mbinu kibao za kukitoa, nimefanya tizi sana, nimebeba nondo, nimejinyima kula, lakini wapi ndo kwanza kinaongezeka, jamani kama kuna mwenye...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Jamani Nina tatizo moja sehemu ya lips zangu za mdomo huwa kuna bandukabanduka na wakati mwingine ukioga vinatokea vitu vyeupe baadae vinakauka na kuchubuka nakuacha mdomo ukiwa na rangi nyekundu...
0 Reactions
2 Replies
883 Views
Back
Top Bottom