Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Habari za siku Wakuu, Hope mu wazima na mnaendelea vyema na mihangaiko yenu ya kila siku. Leo nimekuja kwenu nina tatizo ambalo linanitia wasiwasi kama si shaka kabisa. Wote tunaelewa kuwa...
0 Reactions
13 Replies
13K Views
Habari waugwana, Leo nimekuja na changamoto ambalo limekua kwa kasi ajabu lakini likituacha wengi bila kujua nn chanzo chake. Kunakesi kama kumi au zaidi nimezisikia na kuziona jinsi mtoto...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Nataka kujua huu ni uongo au ukweli tetesi hizi zililetwa na nini,maana kuna watu huwa hawaamini Tanzania wanaenda Kenya ,aidha mniambie ni hospital gani wakweli juu ya hili kuna rafiki yangu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari, Kama kichwa kinavyosema naomba kujua faida na hasara zake na kama itapunguza ufanisi wa tendo la ndoa ama kuongeza pindi mwanaume atakapo fanyiwa hii kitu? Karibu wataalamu
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hellow natumaini mu wazima wa afya, Binafsi najiona sio mzima kiafya kwasababu nina tatizo nashindwa kulielewa ndani ya mwili wangu ninaomba msaada kwenu wataalamu. -Naombeni mnisaidie niweze...
0 Reactions
4 Replies
6K Views
Kutokana na tabia yangu ya kutokunywa pombe nimejikuta nikienda sehemu za starehe vinywaji navotumia ni vile visivo na vilevi kama vile redbull,bavaria na Dragon tatizo hivi vinywaji kila nikinywa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
BORESHA NA RUDISHA NGUVU ZA KIUME NDANI YA NDOA YAKO URUDISHE FURAHA YA NDOA! Katika tafiti za sasa zinaonesha kuwa tatizo la kupungukiwa nguvu za kiume ni la kawaida maana tafiti zinaonesha...
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Habari bandugu naomba mnipatie altenatives ya kuufanya uso wangu uwe mgumu maana mimi ni mwanaume sipendi kuona uso wangu kuwa mlaini.shemeji/wifi yenu hupenda kunishikashika uso akisema anaupenda...
1 Reactions
63 Replies
7K Views
Jaman nawasalimu kwa upendo mkubwa. Mke wangu anasumbuliwa sana na maumivu chin ya kitovu naomben msaada jaman. Mungu awabariki sana.
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Habari wana JF, Hivi kuna dawa ambayo ukinywa labda inakupa hamu ya kufanya mapenzi kwa mwanamke? Tusaidiane
1 Reactions
19 Replies
37K Views
Ni mke wangu, kwanza kabisa anaweza kaa siku zaidi 50 mpaka miezi 2 hajaona siku zake, mbaya zaidi akiona anakaa tena kama siku 10 anaona tena na sasa hivi imekataa kukatika kabisa. Naomba...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
How To Make Natural Viagra Using Only 2 Ingredients If you want to make your home made Viagra, you will need the main ingredients which are very often available in grocery stores. These...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
BORESHA NA RUDISHA NGUVU ZA KIUME NDANI YA NDOA YAKO URUDISHE FURAHA YA NDOA! Katika tafiti za sasa zinaonesha kuwa tatizo la kupungukiwa nguvu za kiume ni la kawaida maana tafiti zinaonesha...
1 Reactions
3 Replies
5K Views
Nawasalimu kwa upendo mtakatifu Jamani wapendwa nina tatizo kwenye ndoa yangu takribani miezi sita sasa tangu kufunga ndoa mke wangu hajabahatika kushika mimba nimejaribu kufanya tendo la NDOA...
0 Reactions
5 Replies
985 Views
Mimi ni kijana mdogo, nina tatizo la macho, nashindwa kuona mbali hivyo ikabidi nitumie miwani. Sasa kwa sasa nina miaka miwili tangu nitumie macho yangu yameanza kuingia ndani hadi nayaonea...
0 Reactions
10 Replies
6K Views
Nawasalimu kwa upendo mtakatifu Jamani wapendwa nina tatizo kwenye ndoa yangu takribani miezi sita sasa tangu kufunga ndoa mke wangu hajabahatika kushika mimba nimejaribu kufanya tendo la NDOA...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wadau baada Viagra kuwa na success kubwa kwa watu, soon nitarudi na mzigo mpya ko kaeni mkao wa kula. Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari zenu jamani. Kuna jamaa yangu nimepita kumsalimu ila hali yake si shwari kabisa. Amevimba tumbo anasema ni mwezi wa sita sasa, anasema tumbo linauma amepoteza hamu ya kula na hata...
0 Reactions
13 Replies
9K Views
Habari msomaji wa uzi huu. Kuna tatizo kubwa ambalo huwakumba wanawake. Tatizo la kutoshika ujauzito. 1.OVARIAN CYST ni tatizo ambalo huwashika watu wazima wenye umri wa kuanzia miaka 50 sababu...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
UMUHIMU WA KUSAFISHA UTUMBO MPANA Kuna sababu 18 ambazo zinkupelekea ULAZIMIKE kusafisha utumbo wako MPANA. HILI ni eneo ambalo uchafu wote ambao unahitajika kutoka kwa njia ya haja KUBWA...
0 Reactions
4 Replies
6K Views
Back
Top Bottom