Nahitaji msaada wenu ndugu zanguni, mume wangu anasumbuliwa na ugonjwa wa kisukura ya pata miaka 2 sasa, na tunahitaji mtoto ila imekuwa ni shida kupata ujauzito kutokana na hiyo hali yake...
Aiseee!!! Yamenifika hapa.
Nimekuwa nikisumbuliwa na genital fungus for almost 5 years now, yani kila dawa ninayopaka inanipa relief tu na sio kunitibu, nimewahi kunywa fluconazole ya mwezi mzima...
We live in a world where our food is heavily processed, laden with sugar and artificial chemicals.
We exercise less, have more stress, and spend less time in the sunshine.
Heart disease is one...
Can't sleep? It could be because your mother drank during pregnancy: Alcohol consumption can 'damage slumber for life'
Exposure to alcohol in womb may make it harder to sink into a deep sleep
And...
Habari wakuu
Kuna binti kajifungua salama kwa njia ya kawaida leo saa 10 alfajiri akaruhusiwa kurudi nyumbani punde tu baada ya kujifungua.
Aliporudi nyumbani akapumzika kwa kulala yeye na mtoto...
Hili linakuwaje ,mwanamke kutoa maji mengi ukeni wakati unamuandaa,na pia uume kupita bila hata kukwama popote pale. Je, ni tatizo la kiafya? .au unakuta ametoka kuchepuka nje?
Hivi karibuni imekuwa kawaida kusikia mtu mzima anaumwa nimonia, zamani tulizoea kusikia watoto ndio wanapata haya maradhi na hasa sehemu zenye baridi kinyume na sasa Dar watu wanapata.
Je, ni...
Naomba msaada nitumie njia gan ili nisiwashwe na kutoka mapele au rashes kwapan nikitumia deodorant ya aina yoyote au body spray ikigusa ngozi ya kwapa. Kuacha kutumia nashndwa kwa sabu natoka...
Alcohol IS bad for your health... EVEN in moderation: Just one glass a day 'increases the risk of various cancers'
Until recently science-backed wisdom was alcohol in moderation could actually be...
Kutokukojoa mapema mkojo ukikushika.
Kutokunywa maji ya kutosha.
Kula chumvi sana kwenye chakula.
Kutokujitibu magonjwa ya kawaida kwa haraka na vizuri.
Kula nyama sana.
Kutokula chakula cha...
Wiki moja niliposti kuhusu dalili za mwanzo za ujauzito kwa mwanamke, mkanishauri vizuri sana.
Hatimaye jumapili ya juzi amepima na she is pregnant.
Asanten sana wakuu hamjawahi kuniangusha.
Habari za jumapili, natumai wale wakristo tumesali na wengine wanaendelea vyema na shughuli zao.
Madokta wa jf Nina kitu kinanisumbua sana, mama yangu ametangulia mbele ya haki kwa "renal...
Mimi ni kijana wa kiume mwenye umri wa miaka 35. Kwetu nimezaliwa peke yangu. Nilipokuwa na miaka mitano mama yangu mzazi alifariki.
Nyumbani tukabaki mimi na baba tu, baada ya muda kidogo baba...
Chupa za Vidonge vya kuongeza nguvu za kiume Viagra.
Stori: Mwandishi, Wetu Wikienda
Dar es Salaam: Wamekwisha! Imebainika kuwa watu wanaotumia vidonge vya kuongeza nguvu za kiume vya Viagra...
Habari za jioni wapendwa wana jukwaa...
Kuna swali linanitatiza, je kuna uhusiano gani kati ya kulala ubavu??? Maana nimejaribu kuangalia katika mitandao naona wenzetu wazungu huwa wanajifungua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.