Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Habari za Leo madaktari, Mke wangu tukimaliza tendo huumwa na tumbo linalo ambatana na kichefuchefu na uchovu wa mwili ni miaka miwili tangu tuoane nimekwisha mpeleka hospital sana na hupewa...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Magonjwa nyemelezi si neno geni miongoni mwa watu wengi haswa katika miongo hii miwili toka kugundulika kwa ugonjwa wa Upungufu wa Kinga Mwilini (UKIMWI) na Virusi Vya Ukimwi (VVU). Utangulizi...
1 Reactions
1 Replies
19K Views
Zaidi ya wanawake 450 nchini hupoteza maisha wakati wa kujifungua. Wanawake zaidi ya 450 nchini hupoteza maisha wakati wa kujifungua kati ya vizazi hai laki moja kwa mwaka vinavyosababishwa na...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Kuna jamaa nilikutana naye akaniambia sikio lake moja halisikii vizuri tangu alipopigwa bomba hospitali ili kuondoa uchafu sikioni miaka ya nyuma kidogo. Kwahiyo upigaji bomba unaweza usiwe mzuri...
0 Reactions
9 Replies
12K Views
Habari wana members wa Jf, mnapo jumatatu mpenzi wangu alijifungua mtoto wa kike, ila tangia juzi anasema ana harisha pia tumbo lake lina unguruma pindi akimaliza kunyonya. Kwa sababu nipo mbali...
0 Reactions
9 Replies
40K Views
Madaktari, Heshima kwenu. Pamoja na kuwa na majukumu mengi lakini nawaomba msaada wenu katika hili. Mimi mke wangu ni mjamzito na baada ya kwenda klinic na kufanyiwa baadhi ya vipimo imeonyesha...
0 Reactions
15 Replies
5K Views
KWA UFUPI Baadhi yao wamezaliwa na kukuta utamaduni huo, nao wakauendeleza na kisha kuurithisha kwa watoto wao. Zipo sababu nyingi za wengi katika jamii kuendelea kununua na hata kuvaa mitumba...
0 Reactions
63 Replies
8K Views
Habari zenu wakuu, Nimekuwa nikisumbuliwa natatzo ambalo mpaka sasa sijapata ufumbuzi wake.mara ya kwanza kabisa mwanzo wa tatizo nikwamba kila nilipoenda aja kubwa, baada ya mda sehemu ya aja...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari wana Jf.. Mimi nina mpenzi wangu ambae nampenda sana.....mara ya kwanza kugegedana ilikua ni mwezi wa 8...na yeye ndo ilikua mara yake ya kwanza....sasa toka hapo tukafanya kama wii hivi...
1 Reactions
79 Replies
13K Views
Wana jamii habari zenu, Nimeanzisha uzi huu kwa sababu ya mwanajamii mwenzetu aliyeniuliza kuhusu rapid eye movement(REM) nami nikaona ni vema kumjibu kupitia uzi huu kwa sababu REM ni moja kati...
6 Reactions
13 Replies
4K Views
Nina mgonjwa na tumepewa referral kwenda Bugando. Ni wazi tutalazwa huko. Gharama za kulazwa kwa siku ni kiasi gani? Vipi vipimo kama x-ray na vinginevyo? Kumwona daktari bingwa je? Huduma zao...
1 Reactions
7 Replies
4K Views
Anatokwa na ute wenye rangi kama njano hivi kwenye uume na ute huo hauna tofauti na shahawa. Na hutoka kidogo kidogo Mara kwa mara na wakati wa kukojoa huambatana muwasho na maumivu kiasi...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Nina mchumba wangu anatatizo la kukosa kabisa hamu ya tendo ni mwaka sasa tangu awe hivyo na hata akijitahidi hapati kabisa ute hivyo anakuwa mkavu kabisa. Tafadhali anayejua suruhisho hili...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari zenu, Mimi ni kijana wa miaka 26, ninatatizo la sexual performance anxiety, nilienda kupima sexual hormonies nikakuta ziko vizuri, na pia nimepima matatizo yote yanayoendana na hali ya...
0 Reactions
16 Replies
6K Views
X-power man ni lishe nzur kutoka bf Suma company inarutubisha uume na kumfanya mtu awe imara na mwenye nguvu wakati wa tendo,lishe hii inawafaa zaidi watu wenye KISUKARI na haina side effects...
1 Reactions
3 Replies
4K Views
Heshima yenu. Nilikuwa nasumbuliwa na tatizo la kula chakula kidogo sana, kitu hiki kilikuwa kinafanya nijione sio wa kawaida, kwani ilikuwa hata chips siwezi kumaliza, ugali lile tonge moja la...
3 Reactions
7 Replies
4K Views
Unatanguliza shukrani wana jamvi wenzangu. Leo nimekuja mbele yenu nahitaji msaada kwa anayefahamu doctor mzuri wa ngozi, mwanangu katokewa na mapele flani maeneo ya machoni ambayo nadhani ni...
0 Reactions
8 Replies
6K Views
Je vyakula gani vinaweza kutibu tatizo la lowsperm na homon imbalance?
1 Reactions
3 Replies
2K Views
High Cholesterol? Try To Avoid These 10 Foods! High cholesterol and heart disease are serious concerns for many people, and as much as we’d love to continue our teenage habits of eating anything...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
28 Surprising Uses of Coconut Oil for Personal Hygiene You don’t need those personal care products containing high amounts of chemicals. You should be replacing them with coconut oil. You don’t...
2 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom