Nakumbuka wakati nikiwa mdogo, tulikuwa mimi na mdogo wangu tukaokota shilingi hamsini, ilikuwa inakutukutu hivi ila hatukujali sana, tukaenda kununua big G au jojo wengine huziita. Mimi ndio...
Kwa miaka ya karibuni magonjwa mengi sana na 'DEADLY' yaeweza kugundulika duniani na mengine kusababisha maafa makubwa pamoja na vifo.Na sasa ugonjwa mpya hatari umeingia duniani...kwa miaka...
Wakuu naombeni msaada, mtoto wa kaka yangu ana mwaka na nusu lakini kwa muda sasa amekuwa akisumbuliwa na majipu sehemu mbali mbali za mwili wake. Tushampeleka hospitals mbali mbali kwa...
Upungufu wa damu (anaemia) hutafsiriwa kama kupungua kwa kiwango cha hemoglobin katika damu damu chini ya kiwango kinachokubalika kiafya. Kiwango cha kawaida cha haemoglobin (Hb) katika mwili wa...
Habari,
Mimi ni mtu mwenye hasira haraka (short temper), sometimes naishia kuvunja vitu nyumbani,na mambo madogo madogo huwa yananipa hasira zaidi. Siipend hii hali, nifanyaje?
Nina maswali ambayo huenda nina chembe za ufahamu wake tayari na kwa kuwa nimejenga sana imani na jukwaa hili naamini kuna watakaofunguka zaidi na kuniongezea kisima cha weledi.
Watoto wa...
Wakuu mimi nilikuwa nachangamoto ambazo zilinisumbua kidogo Wanawake na Usingizi hivi vitu nimetafuta namna ya kuviacha kama sio kuvipunguza .
Wanawake nimeweza ileweke sikuwa mtu wa zinaa sana...
Kama nilivyoeleza hapo juu ni msaada upi au dawa zipi au chakula gani anatakiwa kula mama mjamzito wa mwezi mmoja kuelekea miezi miwili.
Anatapika mno kila chakula au chochote anachokula...
Wakubwa habari,
Nimekuwa nikisumbuliwa na kaumivu chini ya kitovu upande wa kushoto na korodani ya kushoto kwa takribani miez 3 toka mwezi 10 mwaka jana.
Nilienda hospitali nikaambiwa mkojo...
Waathirika wa ukimwi ni watu ambao tunaishi nao kwenye jamii wengine tunawajua na wengine hatuwajui. Maadam nao ni binadam na wanahisia bado za kufanya mapenzi, nataka kujua jinsi ambavyo unaweza...
Kuna mzee mmoja hapa kitaani kwetu alifanyiwa oparesheni ya kibofu cha mkojo na hali yake mpaka sasa sio nzuri bado anaumwa serious sana.
Niende kwenye pointi.
Huyu mzee kulingana na historia...
Mpo?
Naomba samahani kwa kukosa nidhamu kwa hili.
Hili ni sana sana kwa ke au hata me ambao pengine wanapitia ninayopitia.
Mke wangu amekuwa akilalamika kwamba ninapommwagia mbegu zangu ndani...
Kwenye kope ya chini ya jicho kuna uvimbe mdogo una tundu ni kama upele flani hivi ambao unawasha nimejaribu kukamua lakini hautoi Kitu.nauliza hii ni nini ? na matibabu yake yanakuwaje ?.
Nilifuatwa na binti mmoja akilalamika kuwa amepata mchumba mzuri kwa kila jambo kasoro hawezi kabisa kumpa busu. Je, huu ni ugonjwa au ni nini? mimi binafsi sijawahi kusikia mwanaume asiyejua...
Je, umewahi kujiuliza maana ya alama za rangi zinazowekwa chini ya kopo la dawa ya meno?
Basi ninakushauri ni vyema ukajua nini unaweka mdomoni mwako kila siku unapo piga mswaki.
Tazama picha...
Kuna mdogo wangu baada ya kukaa na mke mwaka mmoja alienda kupima mbegu za kiume spam majibu yakawa MICROSCOPIC EXAMINATION.
Count......2h/thousan
Motility.....2% of motile with slow foward...
Msaada kwa mwenye uelewa, hivi ukiwa unavaa kofia mara kwa mara inaweza kuathiri ukuaji wa nywele, hasa kwa wale wenye viwalaza/upara unaoanza? Marasta mbona huvaa kofia muda mwingi? Watu wengine...
Kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu huwa nasikia maumivu kwa mbali nikitembea mwanzo nilifikili uzito maana nilikuwa na kilo 85 nikajitahidei kupunguza kilo 2 bado nahisi maumivu sijui...
Ninasumbuliwa na tatizo LA uume kutosimama vizuri wakati wa kugegenda. Naombeni kujua ni hospitali gani kwa dar hapa naweza kupatiwa ufumbuzi wa tatizo hili?? Kama kuna MTU ana uzoefu na utatuzi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.