Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Kama tunavyofahamu, uzee, ugonjwa wa mishipa ya damu ya ubongo, na ukosefu wa virutubisho ni chanzo kikuu kinachoathiri uwezo wa kumbukumbu, lakini baadhi ya dawa pia zinaweza kupunguza uwezo wa...
0 Reactions
2 Replies
7K Views
.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hii hali imenianza miezi 3 iliyopita, nikifanya mapenzi nachelewa sana kufika kileleni, nachukua dk 50 hadi 70. Mpka naamua kupiga puli kabla ya kufanya mapenzi, lakini hii hali haikuwahi...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Mke wangu nimekaa nae miaka miwili. Awali alikua kawaida, lakini baada ya miezi sita kila nikimaliza tendo dushelele hutoka na uchafu mweupe. Nashindwa kuelewa ni nini, sijui ugonjwa gani? Hamu...
0 Reactions
27 Replies
6K Views
Kwa wiki moja sasa napata shida kweli. Nikila napaliwa sana. Mfumo wa chakula na hewa vinaingiliana. Ili nipate nafuu, lazima nipigwe pigwe mgongoni karibu na shingo. Hata nikipiga mswaki hali ni...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Nawashukuru wasomaji wa Makala zangu wote kwa shuhuda zenu nyingi sana Mungu awabariki kwani nafurahi sana ninapo ona kila kona watu wananipa pongezi kwa kazi ninayo ifanya. Ninacho waomba wapenzi...
0 Reactions
1 Replies
5K Views
Habari Wakuu! Nina ndugu yangu amekuwa akisumbuliwa na tatizo la uvimbe tumboni upande wa kushoto, ni mda mrefu sasa. Tangu mwezi Novemba 2015 amekuwa akiumwa sana, na kuna siku alitapita damu...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Wadau, Nilifanyiwa kipimo cha MRI mwezi wa July mwaka jana, bahati mbaya Daktari wangu akawa amesafiri kwa dharura, hivyo sikuweza kuonana nae. Hivi majuzi amerejea na ninatakiwa kuonana nae...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Asante sana wana JF waliochangia hii mada ya Dawa ya fungus ,kweli kama nilivyoomba msaada nilifuata huo ushauri na kwenda kwenye phamacy kununua Dawa ya cream inayoitwa GENTRISONE na nimepaka kwa...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Habari wakuu, ukirejea kichwa cha habari hapo juu, nini madhara yake? Mwanangu ana mwaka na miezi 9, jumatatu iliyopita nilimwachisha nyonyo ila kwa sasa najuta naumia na kuna wakati nalia maana...
0 Reactions
12 Replies
5K Views
Nimeota Jana nimeua bahati mbaya. Niliota tukiwa sokoni ghafla mwizi kwenye asili ya kiarabu akichomoa simu nikamuona na kuanza kumpiga akaanguka chini kujigonga kwenye ngazi na kufa. Nikakimbia...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Pengine ni kutofahamu ningeomba kusaidiwa kujua hili, hata binadamu utoke kuoga dakika 5 tu zikapita, kidole chako ukatumbukiza katikati ya makalio makalio harufu itakayo toka huko hutaamini kama...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Wakuu wa Nchi hivi Kuna mtu au mtaalamu wa UROLOGIST anayekuja Dawa ya kufanya mbegu za kiume kutoka kwa njia ya kawaida, badala ya kurudi kwenye bleder ,maana unaweza kufika mshindo lakini...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Wakuu wa Nchi naombeni kama Kuna mtu anayejua Dawa ya kumeza au sindano au ya kupaka please anisaidie ,maana hichi kidole cha upande wa kulia cha mwisho kina Fangs mpaka kinasababisha tezi...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Naomba msaada wa kujua kama kuna blood group E negative, maana kuna ndugu yangu ameambiwa amepungukiwa damu inatakiwa mtu mwenye blood group E negative. Me najua kuna A, B, AB na O tu.
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Naomba msaada kujua tatizo la uume kuvimba na kuuma laweza kuwa ni ugonjwa gani na tiba yake ni nini?
0 Reactions
4 Replies
11K Views
Hamjambo wapendwa, Naanza kwa kusema jamani kunakuwa na ongezeko kubwa la watu kuota vitambi na kunenepa ovyo. Yapo madhara mengi sana yatokanayo na unene kama kuongeza hatari ya kupata...
0 Reactions
34 Replies
6K Views
Wazazi na walezi wote, huwa kuna sababu gani ya kumtafunia mtoto chakula? Mi huwa naona ni uchafu tu kwakweli hata kama mtoto ni wako. Mambo mbona yamerahisishwa kama unataka kumwahisha kula...
2 Reactions
29 Replies
4K Views
Hii hali hutokea mara moja moja sana, yaani naweza kuwa nimejilaza kitandani inatokea eneo linalozunguka kitovu linakuwa kama linavuta hivi kiasi kwamba siwezi kufanya chochote kwa wakati huo...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Habari wakuu, Naomba msaada waharaka, ninampenzi wangu ambae kwamara ya kwanza nimesex nae ilikuwa ni juzi ijumaa,jumamosi akaanza kuhisi muwasho sehemu za siri haswa anapokwenda haja ndogo. Jana...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Back
Top Bottom