Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Wakuu nimevimba jipu sehemu ya mkono wa kushoto na ndyo nautegemea kwa kila kitu Jipu hli lilianza siku ya jumamosi iliyopita ni kama kudungu tu kidogo ambacho hakiumi baada ya siku nne mara mkono...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Michirizi ya ngozi ni moja ya matatizo yanayowapata watu wengi hasa wasichana na wanawake. Tafiti mbalimbali zinaonyesha kuwa watu wengi wanasumbuliwa na tatizo hili. Kati ya asilimia 50 na 80 ya...
0 Reactions
3 Replies
9K Views
Wakuu mke wangu ana mzunguko wa siku 30. Huwa anaingia siku zake tarehe sita na saba hivi,sasa nimekutana naye kuanzia tarehe 20-28. Siku tatu za mwanzo tulitumia kinga ila zilizobaki tulitumia...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Jamani wadau habari zenu! Ushauri, msaada unahitajika. Jamani, iko hivi nina kakangu ambaye ameoa miaka 15 iliyopita yeye na mkewe wamejaliwa watoto wa kike tu wako saba na mda wote huo alikuwa...
0 Reactions
18 Replies
5K Views
Quantum magnetic analyser ni mashine ya kupima magonjwa mbalimbali ambayo imeingia hapa kwetu na nimeiona zaidi kwa hawa waganga wa tiba asilia na kama una matatizo yeyote ya mapafu maini figo nk...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Wasalaam, Mwenzenu siku hizi napenda kulala mtupu (uchi) kabisa. Najifunika kashuka kepesi tu basi murua mpaka asubuhi. Siku hizi ni majira ya joto basi nikivaa hata kiboxer tu naona kinanikera...
0 Reactions
69 Replies
11K Views
Naomba ushauri wa kupata tiba ya ugonjwa huo wa kukauka maji ktk nyonga kwani ni tatizo kubwa lililompata jamaa tangu japo anapata tiba bugando lakini naona kama haisaidiii kabisa licha ya kuwa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habarini wapendwa, Nimekuwa nkisikiasikia mara nyingi kua chakula aina ya pilau sio kizuri kwa afya ya binadamu. Hivyo nimekua nikikikwepa, pia pindi nilapo chakula hiki lazima tumbo linisumbue...
0 Reactions
114 Replies
18K Views
Na Florence Majani, Mwananchi TAKWIMU *Wagonjwa milioni 22 ifikapo h2030 ikilinganishwa na milioni 14 katika mwaka 2012. WHO *Asilimia 80 wanafariki dunia kutokana na kuchelewa kupata huduma ya...
0 Reactions
1 Replies
6K Views
Mwenye ufahamu anisaidie, je kuna uhusiano wowote kati ya mountain dew na upunguaji wa nguvu za kiume kwa mnywaji?
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kwanini matatizo yanayotokea wakati wa kuzaliwa mtoto yanayosababishwa na Rh factors kwamba kama mama ni Rh- na mtoto ni Rh+ hayawezi kutokea kama mama na mtoto wana different blood groups...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Ndugu, Nimefahamishwa ni Dr mzuri kwa watoto. Nahitaji msaada wa mawasiliano yake au maelekezo kamili ya kituo chake.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hivi vifuatavyo: 1. Cholesterol liquic- 4.6 mmo/L 2. Creatinine Jaffe- 112.1 umo/L 3. Urea liquiUV- 5.9 mmo/L 4. Rheumatic factor-negative 5. ASOT- O/S 6. RBG- 7.8 mmo/L NB: Hicho namba 6 ni baada...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
NEPLILY SANITARY PADS NEPLILY SANITARY PADS, MAANA YA NEPLILY Asili ya Jina la Neplily imetokana na muunganiko wa majina mawili ambayo ni “Nep” kutoka kwa neno Neptunus “Lily” kutoka kwa maua...
0 Reactions
0 Replies
5K Views
NGUVU ZA KIUME NI MOJA YA TATIZO KUBWA KATIKA KARNE HII YA 21. YAPO MAMBO MENGI YANAYOCHANGIA KUPUNGUA NGUVU ZA KIUME. Vitu 4 vinavyoangamiza nguvu zako za kiume na kukuacha mwenye msongo wa...
0 Reactions
5 Replies
12K Views
Wadau nasumbuliwa na maumivu makali mno ya miguu yote wa kulia na kushoto sehemu ya chini ya magoti kushuka chini. hali hii inatokea wakati nafanya mazoezi ya kukimbia miguu inauma kupita...
0 Reactions
1 Replies
6K Views
Vidonge vya kufifisha virusi vya Ukimwi. Dar es Salaam. Wakati dunia ikiwa na zaidi ya watu 34 milioni wanaoishi na Virusi vya Ukimwi (VVU), madaktari nchini Hispania wametangaza kugundua tiba ya...
1 Reactions
2 Replies
4K Views
Naombeni msaada tumbo linajaa gasi na kunguruma sana,nimeshachekiwa hospitali nimeingiziwa mpira endoscope nimeambiwa sina tatizo lolote lakini bado tatizo lipo nisaidieni
0 Reactions
6 Replies
8K Views
Nikiwa usingizini nachezea kitovu bla kujijua. Saa nyingine nikiamka asubuh kitovu kinauma. Nifanye nini ili niache hii tabia?
0 Reactions
21 Replies
4K Views
Back
Top Bottom