Mwenzenu nina shida sana. Nilinenepa na kwenda kupima nikakuta nina kilo 125.8 wakati urefu wangu ni 198 nikashauriwa niwe na kilon 98 au 90. Nikaanza kufanya mazoezi na kupunguza sana msosi...
Watu wengi wananunua mashuka kutokana na mapenzi yao, lakini hawafahamu rangi ya shuka ina uhusiano na afya.
1. Rangi ya chungwa
Shuka ya rangi ya chungwa inaweza kusaidia kuongeza hamu ya kula na...
Habari wadau. Naomba mnijuze hivi mwanamke au binti anaweza kuwa na mimba ya wiki Tatu na akaona siku zake kama kawaida japo damu haitoki nyingi,,? Au changa La macho
,?
Habari wadau naomba mnijuze,
Hivi mwanamke au binti anaweza kuwa na mimba ya wiki tatu na akaona siku zake kama kawaida japo damu haitoki nyingi?
Au changa la macho?
Salam wana jamvi!
Mimi ni mmoja wa watumiaji wa kati wa pombe hasa weekend na nikiwa likizo. Nimetumia pombe kuanzia tarehe tano had tare 26 December bila kupumzika. Mara nyingi natumia Castle...
Wakuu, Salaam.
Bila shaka Tiba itolewayo na wataalamu kutoka 'NUGA BEST' si ngeni hususani mikoa ya miji mikubwa kama Dar es Salaam na Mwanza.
Naomba mwenye uelewa wa kutosha atuhabarishe...
Wakuu, Salaam.
Bila shaka Tiba itolewayo na wataalamu kutoka 'NUGA BEST' si ngeni hususani mikoa ya Majijini.
Naomba mwenye uelewa wa kutosha atuhabarishe kuhusiana na Tiba hii kwa namna...
Arthritis ni nini?
Ni ugonjwa unaofanya viungo vyako kukauka na kuwa vigumu kuvisongesha kwani ukifanya hivyo, utasikia uchungu. Hali iliyo kawaida na kujitokeza sana sana ile...
"Food additives" ni kemikali (kimsingi) zinazoongezwa kwenye vyakula (hasa processed foods) ili kutunza ama kuongeza ladha na mwonekano. Mara nyingi sana tunaponunua vyakula hasa supermarkets...
Wakuu ni wiki ya pili sasa nasumbuliwa matonsesi. Sasa nina nafuu kidogo, ila kuna tatizo lingine limejitokeza.
Nakuwa kama nakabwa koo, koo limekuwa kavu sana na njia yote kuanzia mdomoni mpaka...
habari zenu guys naomba kuelekezwa anapopatikana daktari wa ngozi au specialist yeyote anaeweza kunisaidia masuala ya ngozi hasa katika uchaguzi wa mafuta ya kupaka.
Apatikane hapa Dar es salaam.
Samahani nimetokewa na viple vdgo sehemu lakini ni kwenye mashavu ya sehemu siri vinauma sana kilianza upande wa kushto baadae kikja kikapasuka maumivu yamezid mno na leo asubuhi nimeqngalia naona...
Habari wakuu, naishi na mdogo wangu. Mara ta mwisho kuongea MP nilikuwa tarehe 20.11.2015. mpka sasa hajapata MP. nilimpima kwa kutumia UPT ikasoma positive. amefurahi maana alikuwa a natamani...
Siku ya 4 leo kula kwangu kumekuwa kwa shida sana, hata cris mas nimeshindwa kula vizuri, hapa nilipo nina njaa ila hamu ya kula sina kabisa, karibun cku 4 zote nakula Mara 1tu nikila tumbo hujaa...
Habari wadau Naomba msaada wa ushauri kwa tatizo hili. Naumwa sana kichwa upande mmoja na huwa hata ninywe dawa gani ya pain killer hakiachi mpaka nilale kwa muda mrefu. Pia jicho la upande huo...
Wadau Mkuu wa Kambi moja ya jeshi alikua akisoma Risala na Kusema vijana hawa wamefaulu mafunzo ya Jeshi Ikiwemo Kutokulala kwa week 6.
Wakuu kitabibu hiki kitu kinawezakana? Je Mtu hawezi...
Wakuu wa Nchi leo nimeenda kununua cialis nikaambiwa vidonge 4 ni 95 elfu ,nikaacha nikaenda phamacy nyingine wakasema 4 pills ni 15 elfu .sasa wakuu Kuna fake na OG ,sikununua tena , mpaka nipate...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.