Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Wapendwa herini ya krismas Naombeni msaada kwa yeyote anayejua mimi nilijifungua leo ni siku ya kumi na nane na uchafu bado unaendelea kutoka je kuna tatizo kiafya?
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wakuu niko kwenye mtihani mkubwa ambao sijui chanzo chake ni nini! Nimepatwa na tatizo, nakosa msisimko wa kugegeda kwa muda wa miezi miwili sasa, Leo nilikuwa na demu hata yeye akanishangaa na...
0 Reactions
41 Replies
6K Views
Habari zenu wanaJF! Nimekuwa msomaji wa topic za wengine kila mara na mimi leo nimekuja kuomba ushauri! Kuna mchepuko nilichepuka nao baada ya siku tatu kupita nimepata tatizo la kupata maumivu...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Wana JF nahitaji kujua ni hosp gani nzuri naweza kufanya vipimo vya urine analysis kwa Dar au Dodoma. Natanguliza shukuran
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Kichwa cha habari hapo juu cha husika Wakuu hivi kuna wale wenzetu walemavu wanakua kama wamevimba Mgongoni inakua kama kibwongo hivi napenda kujua hivi wanaweza wakabeba mimba na kujifungua...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Kichwa cha habari hapo juu cha husika Wakuu hivi kuna wale wenzetu walemavu wanakua kama wamevimba Mgongoni inakua kama kibwongo hivi napenda kujua hivi wanaweza wakabeba mimba na kujifungua...
0 Reactions
0 Replies
752 Views
Habari wanajamvi, Naomba kwa wale wataalamu wa masuala ya kujamiiana wanisaidie kunielemisha kuhusu muda unaotakiwa kuchukua unapofanya tendo la ndoa . Je imeandikwa wapi na sababu zake ni nini...
1 Reactions
32 Replies
8K Views
Hi jf! I am ISSA. One of jf members. The heading above is my problem. I have been suffering with ulcers since 2012 but currently the problem seems to be chronic as I started to experiences some...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Heshima kwenu wataalamu wa jukwaa hili! Baada ya salamu mimi ni kijana bado sijaoa, nina mpenzi na nimedumu naye about 2years now...ni mzuri wa sura, umbo na tabia! Ni mwanaharakati mzuri...
0 Reactions
63 Replies
8K Views
Imekuwa ni hatari sana kwa baadhi ya watu wengi tukisumbuliwa na sukari, hii yote husababishwa na lishe tunazozipata ambazo mara nyingi huwa na kemikari (chemical) ambazo huenda kuathiri kongosho...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
habarini wana jf kwanini mgonjwa mfano wenye magonjwa ya moyo au pumu wakikaa upata ahueni kuliko wakilala?
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Mimi sio mdau sana wa hili jukwaa ila leo nimekua nikipita huku na nimeona mada ambazo zimewekwa humu na ambazo pia kwa namna moja au nyingine zimechangiwa sana ama kusomwa sana ni pamoja na hii...
0 Reactions
10 Replies
7K Views
Wakuu, Kwa anayefahamu, hivi inawezekana mimba kuharibika halafu kusafishwa na mimba ikaendelea kuwepo? Asanteni.
1 Reactions
3 Replies
5K Views
Salam wanaJF! Jamani naombeni mnisaidie majina ya hizo poda fungus wa sehemu za siri. Asanteni.
0 Reactions
4 Replies
5K Views
Habari wanaJF, Naomba msaada na wiki sasa naharisha na nikitaka kula tu tumbo linauma nikila au kunywa maj linauma na nikiinama pia. Hivi tatizo nini naomba ushauri wenu ila hosptal nilienda.
0 Reactions
15 Replies
4K Views
Naomba msaada hapa tafadhali kwa ajili ya ndugu wengi ambao wana uume mdogo.ni njia ipi rahisi na salama ya kukuza uume?
0 Reactions
24 Replies
46K Views
Habarini Za Majukumu Wakubwa? Ninaomba Msaada Wa Kitabibu. Nimekuwa Na Shida Ya Sikio Moja Kuziba Mara Kwa Mara Kwa Nta. Nimesafishwa Mara Tatu Sasa Hospital Kwa Njia Irrigation. Naomba Wadau...
0 Reactions
3 Replies
5K Views
Wadau nina mtoto ana mwaka mm o j?? na nusu ni mvivu sana wa kula.. Ikifika muda wa chakula ni ugomvi.. Hata afya yake imeanza kudhoofu.. Nitashukuru kwa Msaada wa mawazo.
0 Reactions
16 Replies
18K Views
HABARI wakuu Naombeni USHAURI, nina mpango wa kupanda mlima kilimanjaro, this holiday season. Tatizo mpenzi wangu ana ujauzito wa miezi 2. Je Kuna madhara yoyote? Maana kasema hawezi rudi...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari zenu? jamani naombeni msaada wa kujua dawa ya ugonjwa wa ngozi sehemu za siri hasa ukitumia dawa unajirudia nishaenda hospital hadi nimekata tamaa msaada tafadhari.
0 Reactions
18 Replies
7K Views
Back
Top Bottom