Dr naomba msaada maana mwanangu miezi 3 kasoro siku 6 anaharisha maji maji kila baada ya kunyonya. Tatizo lilianza jana usiku.
Kuna wanaotuambia eti yawezekana mama yake ni mjamzito na wengine...
ASALAAM ALAYKUM WAISLAM WAKRISTO AMANI YA BWANA IWE
NANYI WAUNGWANA HAMJAMBO? EIDD MUBARAK NINAWATAKIENI
SIKUKUU NJEMA ILA NINAWAULIZA SWALI MOJA HILI HAPA CHINI
Je ukiambiwa uchaguwe Kiini...
Habari wana JF,
Nina tatizo la kukohoa sana kila tu nikinywa maji ya baridi au kuacha kifua wazi.
Nifanye nini wandugu, nashukuru sana kwa mawazo yenu chanya.
Naomba msaada sababu nina tatzo la kuongezeka kwa nguvu za kiume kupita kiasi.
Yaani nakuwa na nguvu nyingi za kiume kupita kawaida.
Please naomba msaada.
Nina mda wa miezi sita na nusu toka nijifungue na sijarudi kwenye mzunguko wangu wa hedhi sasa majimaji meupe yasiyo na harufi yanatoka ukeni kwa wiki mbili.
Nashindwa kuelewa kama hii hali ni ya...
Habari,
Kuna mdada nimefanya nae ngono bila kinga yeyote kwakuwa tumepima nae na tuko salama, lengo langu apate mimba sasa naomba mniambie kwani bleeding yake ameanza tar 31\08/2015, kwa siku 3...
Salaamu zenu wakuu, nimekuwa na ugonnjwa wa kutokwa na viupele sehemu za siri harafu baada ya kupona vinatokea vidonda mdomon na hupelekea kupata hadi homa, na hujitokeza mara moja kwa kila mwezi...
Tafadhalini sana ndugu zangu wanajf, nimezungukwa na "rushes" machoni kwa muda wa miaka zaidi ya kumi sasa japo haziwashi lakini zinaongezeka na kiukweli uso unaharibka mwenzenu. Sasa naomba...
Madokta na wadau wengine, naomba nisaidien kujua hili;
Kuna sababu gani zina wafanya wazee ambao umri umesogea kidgo kupenda sana soda hasa aina ya koka kola na pepsi. Nimejaribu tafuta sababu...
Hivi ni kwanini kijacho anakatisha kwa kugusa kwa nguvu tumboni pale ambapo mama kijacho anapotaka kupiga chafya, kikohozi na miayo?
Akikugusa, chafya, kikohozi na miayo vinaishia njiani na wala...
Habari zenu wanajamvi
Juzi kwenye mazoezi mpira ulinipiga kwenye dushelele langu, hivyo linauma sana dushe langu,
Je nikipaka Volini inaweza kusaidia kupunguza maumivu?
Karibuni
Habari wakuu kuna taarfa mimekuwa nikizisikia kuwa kubanwa na mkojo kwa muda mrefu hasa nyakat za usiku huchangia kulegea kwa misuli/mishipa ya uume! je ni kweli?
Habari zenu wanaJF.
Natumaini hamjambo kwa neema alizotujalia mpenzi wetu mwenyezi mungu tumshukuru.
Ni hivi mimi naishi na bi mkubwa hapa yeye anapenda kupika vyakula mfano, nyama au mboga za...
Habari zenu wadau,
Naleta kwenu tatizo linalomsumbua dada mmoja, kipindi cha nyuma alikuwa anaona siku zake kawaida japo ilikuwa kwa maumivu makali hasa siku ya kwanza hadi ya tatu.
Lakini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.