Habari za kazi wana jukwaa.
Najihisi kuvurugwa, naombeni msaada kwa mwenye utaalamu au uzoefu. Ni muda wa mwaka sasa tokea mimi na mpenzi wangu tukutane kimwili, lakini wiki iliyopita...
Wakristo bwana asifiwe, Waislam salam alehkum.
Natanguliza shukrani za dhati kwa watakaonisaidia kimawazo na kitaalam. Ninahakika kwatatizo langu huku litapata ufumbuzi kwani kuna madaktari...
Madereva wanaoendesha magari ya masafa marefu na wale wanaoendesha magari muda mrefu bila kupumzika, waendesha farasi, waendesha baisikeli na wale wanaokaa maofisini muda mrefu wanao uwezekano...
Ni kweli kwamba asilimia 39.4 ya waathirika hupata v.v.u kupitia vitu vyenye ncha kali,huku 19.21% hupata kupitia salon.ni kweli kwmb joto la mashine za kiume na za kike haziwez kuua V.V.U
Ila...
Habarini wakuu.
Nimeona hili nilete humu manake majukwaa mengine watu wako bize na siasa najua humu lazima ntapata msaada wa mawazo.
Mimi ni me nimeoa nina mwaka mmoja na nusu sasa lakini katika...
Habari wadau, sababu ya kupishana kwa majibu ya ultrasound ni nini? Mwanzo yalionyesha EDD n tar 22/10/2015 mimba ikiwa na miez mi4.
Na sasa inaonyesha tar 22/11/2015.
Msaada tafadhari. Asante...
Kichwa Cha Habari KIMESHAJITOSHELEZA. Tokea Kampeni Za Uchaguzi Mkuu Wa Mwaka Huu Zianze Sijapata Choo au Haja Kubwa Na Muda Mwingi Sana Tumbo Langu Limekuwa Linaunguruma Tu Huku Nikibadili Hali...
AFRIMEC ni huduma mpya inayokupa medical consultation mbalimbali ambapo utaweza kuwasiliana na madaktari bingwa katika kada tofauti tofauti kupitia katika mtandao wa internet na utaskilizwa na...
Ni matumaini yangu kuwa upo vizuri kiafya na kiakili pia unaendelea vema na kazi za ujenzi wa taifa. Mimi nashukuru ninaendelea vema na kazi zangu za kila siku.
Leo napendelea kushirikisha jamii...
Jamani mie ninatatizo la kukosa pumzi pindi nitembeapo kwa muda mrefu na hata nikikaa tu najikuta napumua kwa shida na mapigo ya moyo uenda mbio.
Tatizo ni nini na tiba ni ipi?
Nimeona watu wengi wanakamblia kutibiwa nje ya nchi kutokana na kukosekana na huduma sahihi ama wataalamu wa kuwatibu!
Je, unafikiri ukiumwa ugonjwa gani hapa Tanzania ni sawa tu umehukumiwa...
Jamani mi naomba kueleweshwa madhara ya kiafya/kisaikolojia kuhusu watu (waume/wake) ambao kwao kutumia njia ya haja kubwa kwa mapenzi ni kawaida.Mfano nilipokuwa A-level miaka ya nyuma tulikuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.