Habari ya muda huu ndugu wana jamii forum, mimi ni kijana wa kiume umri ni miaka 30. Nina shida ndugu zanguni naomba msaada wenu hata wa kimawazo maana sijui nianzie wapi.
Ni hivi, kwa muda sasa...
Wanabodi nawasalimu kila mmoja kutokana na umri wake,
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 22 nilizaliwa nikiwa mzima bila ulemavu wowote mpaka naingia kidato cha nne ndipo nikapata tatizo la...
Natumai hamjambo humu ndani.
Nilikuwa na Swali kidogo hapo. Kwa mwenye kufahamu hili msaada kidogo. Hivi kipimo cha Ultrasound kinaweza kukupa majibu sahihi ya Umri wa mtoto, kwa Mfano labda una...
Salute sana watumiaji wenzangu wa jamiiforum aka wanamember...
Nilileta uzi huu hapa nikizungumzia mateso niliyokua napata ya fungus za sehemu za siri nilivyokua nateseka...
Habari zenu wana Jf poleni na tozo poleni na kupanda Mafuta Mimi toka jana nimepata tatizo kila nikila chakula nasikia chumvi sanaa hata kama chakula hakina chumvi.
Pia nikinywa juice pia nasikia...
Habari Team
Poleni na majukumu, watoto wangu Wana Ugonjwa wa ngozi wanajikuna na kutokea vidonda na kuacha makovu meusi.
Nilifika hospital nikaambiwa na alegi waache kutumia ,mayai, nyama, maziwa...
Nimebata vibarango naona vinanirudia rudia nimeambiwa labda viko ndan bora itafute dawa ya kunywa ndo vitaisha
Sasa ni dawa gani yenye uhakika kwa ambao mmeshatumia
Daa tarehe 1 Jan 2024 ilikuwa pigo kwa mshkaji wangu niliyempoteza kutokana na Tatizo la Figo ikiwa ni kutokana na kunywa pombe kupindukia.
Kwa kweli ningekuwa na nguvu ya kumzuia mtu asinywe...
Habari wakuu!
Hivi karibuni nimeanza kusikia Kelele kwenye Sikio Langu la Kushoto kama Mdudu au filimbi inalia Kwa Mbali.
Hapo awali nilihisi ni wale wadudu wanaopiga kelele ardhini, lakini...
Wasalaam Wana JF. Ndugu wanaume tujihadhari sana na huu ushauri wa Prof Janabi anaetamba sana Mitandaoni kwasasa kuhusu kufanya diet. Mojawapo ya mambo anayosisitiza sana ni Kutokula Chakula cha...
Wadau naomba kujua ni kondomu zipi nzuri kwa tendo, yaani zile ambazo haziumizi na ambazo ukivaa na kufanya tendo kama vile unakula kavukavu.
Ni zipi hizoo?
Msaada plzzzz
Wakuu naombeni mniambie niende hospital gani ambayo nikifika tu nikiwaambia nimekuja kufanya check up watanipima magonjwa mbalimbali kuanzia kisukari, hepatitis, matatizo ya Figo, matatizo ya...
Kwema wakuu nasumbuliwa sana na shida ya vidonda vya tumbo nimekunywa dawa napata nafuu hali inarudi pale pale nilikutwa na hpyrol nikameza dawa nikawa fresh niliporudi hosp kuchek nikakuta mdudu...
1. Tunaendelea kudodosa yaliyomo kwenye kitachu Eating to Conceive by Lisa Olson.
2. Kazi yangu ni kufanya tafiti na kuwasilisha majibu kwa lugha tunayoishi nayo kila siku. Lengo tuelewe...
Habari wandugu
Mwaka jana mwezi wa 9 mke wangu alipata tatizo lakuharibika kwa mimba ya miezi mitatu, akapewa dawa na akawa anakandwa na maji ya moto nyumbani baadae akawa anaendelea vizuri...
Nina ujauzito wa wiki 24 Sasa ni triple baby, lakini tangu mimba Ina wiki 15 nilikuwa naumwa tumbo sana nakukaza kwenye kinena Hadi kiunoni.
Vipimo nilifanya Tatizo hawakugundua,wiki 22 tumbo...