Magonjwa ya Akili ni Nini na husababishwa na Nini?
• Magonjwa ya akili ni matatizo ya ubongo ambayo humfanya mtu kuwa na hisia, fikira na matendo tofauti na yale yanayotarajiwa na jamii na...
Habari wapendwa? Naombeni msaada nitumie dawa gani ili niache kublid maana toka nichome sindano nablid tu, nikipumzika ni siku 2 nablid tena yani bila mpangilio
Naweza nikawa nimetoka zangu sina...
Wana JF:
Majuzi niliuliza swali hapa kutaka kujua Ni vyakula gani vinasaidia mtu kufanya mapenzi kwa muda mrefu bila kukojoa na vyakula gani vinaongeza stamina wakati wa kufanya tendo la ndoa...
Amlodipine na nifedipine ni dawa za kawaida kwa watu wenye matatizo ya presha hapa nchini.
Moja ya madhara muhimu ya dawa hizi ni kuvimba kwa miguu juu ya kifundo cha mguu (ankle edema)...
Kuna baadhi ya majani tumeamua kuyatunuku cheo kwamba ni mboga za kushushia na chakula.
Ila mimi nazipinga.
Mfano:
Majani ya maboga
Kisamvu
Mchunga
Majani ya kunde
Matembele
Mlenda
Mengine...
Aliyepandikizwa figo ya nguruwe aruhusiwa
Taarifa ya hospitali imesema mtu huyo alikuwa akipambana na ugonjwa wa figo na alihitaji kupandikizwa kiungo hicho, ili kuokoa maisha yake...
Nina tatizo la harufu kali ya kikwapa kiasi cha kunikosesha amani na kutokujiamini mbele za watu.
Nimejaribu kutumia njia karibu zote za asili kama kujisafisha na limao, ndimu, maji ya ukoko wa...
Mwanamke wa kwanza aliniambia nikaona kama ananitania ila wa pili sasa ananiambia hivyo hivyo nataka nikapime nijue Nina nini sasa nashindwa kujua namwambia nini doctor nijue tatizo langu
Captopril na enalapril ni dawa muhimu kwa watu wenye matatizo ya presha na kisukari.
Maudhi ya dawa hizi ni pamoja na kikohozi kikavu, ambapo mgonjwa huanza kukohoa kikohozi kisichopona au...
Captopril na enalapril ni dawa muhimu kwa watu wenye matatizo ya presha na kisukari.
Maudhi:-
Maudhi ya dawa hizi ni pamoja na kikohozi kikavu, ambapo mgonjwa huanza kukohoa kikohozi kisichopona...
Hbar wadau,
Awali kbsa mwanangu nilikuw nae maeneo ya bard kiasi alpofk miez 6 walihama na mama yao kwenda Zanzibar maisha kule yaliendelea ya kupambana na joto alpo fka miez 8 akaw na tabia ya...
Moja ya sababu inayoleta matatizo ya kuzaa pale umri unapokua mkubwa ni kupevushwa yai mara chache kuliko kawaida.
Kadiri wanawake wanapoendelea kukua mizunguko yao ya hedhi inaanza kubadilika na...
Leo katika pitapita zangu Mtandaoni nimekutana na taarifa ya kushtua kidogo kwamba Watu wenye asili ya Afrika (Waafrika Weusi) wanakuwa hatarini zaidi kupata Magonjwa ya Moyo ikiwemo Shinikizo la...
Historia ya kina na uchunguzi kamili unapaswa kufanywa ili kubaini sababu inayowezekana zaidi na njia ya utatuzi. Ikiwa kuna upungufu wa mtiririko wa damu kwenye moyo hali inayopelekea kuzuia...
Jamanii, mwenzenu nina naelekea kumaliza mwaka sasa nasumbuliwa na Mafua MAZITO hadi yanaziba pua!
Hospital naambiwa ni Allergy nijaribu kugundua kinachonikataa yaani nimeshindwa kujua kabsaa...
Wakuu za wakati huu,
Nina mtoto ana miezi mitano bado hatujamuanzisha chakula kingine ananyonya maziwa ya mama yake tu, ila shida ni kuwa amekuwa ananyonya muda wote anakaa kidogo anapata njaa...
Nimekuwa mtumiaji wa pedi hizi aina ya Human Cherish maarufu kama HQ nilitokea kuzipenda kutokana na hali yake ya ubaridi kama Air Conditioner na harufu yake nzuri ya aerobic tea.
Lakini...
Habari ndugu zangu wiki kama moja iliyopita mwanangu alilazwa na akachomwa sindano nyingi sana mikononi ni mtoto wa miezi 11.
Sindano zile zilimpelekea kuvimba mkono kwa juu nilivyowauliza...
Usonji ni changamoto ya Ukuaji ambayo hutokea pale ambapo Ubongo hufanya kazi kwa namna tofauti. Mtoto hupata changamoto hii anapokuwa tumboni na dalili huonekana kuanzia Umri wa Miaka Mitatu na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.