Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Shocking ingredients in CIGARETTES exposed and explained. No wonder smoking people worldwide can’t figure out why they’re so addicted.With this in mind,it escapes our thinking why governments...
0 Reactions
4 Replies
730 Views
Habari wanajf? Naomba kwa wenye uelewa wanisaidie kufahamu madhara ya matumizi ya bangi, pombe na madawa mengine ya kulevya; kutoka kwa mzazi kwenda kwa mtoto? Inawezekana mtoto akapata athari...
0 Reactions
0 Replies
511 Views
Mwanamke mwenye mzunguko wa siku 21 ambaye anaingia hedhi kwa siku 7. Siku yake ya hatari ya kubeba mimba inangukia siku ambayo bado yuko kwenye hedhi. Inabidi akutane na mtu wake siku ya hedhi...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
A lot people smoke marijuana in some countries it's legalised and in some countries it's not. Marijuana contains 50 percent more chemicals linked to lung cancer than tobacco. A marijuana cigarette...
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Hii hoja naileta kwenu kwa wataalum wa afya ili mpate kutuletea majibu stahiki,kwani asilimia kubwa ya watu tunaokaanao tunafanana lifestyle ya chakula, lakini utakuta mtu anahangaika na kupunguza...
7 Reactions
54 Replies
4K Views
Hope mko salama, Niwaulize,hii kitu inaitwa chembe ya moyo kwa lugha rahisi ni nini? Kuna maumivu nayapata naambiwa nikavutwe chembe ya moyo. Nimebaki njia panda. Nisaidieni wakuu.
2 Reactions
21 Replies
4K Views
Nawasalimuni nyote!! Wapendwa nina zaidi ya miaka nane nina kipele kidogo sana mfano wa chunusi ambacho mpaka nijishike mwenyewe ndio nijue kama kuna kipele. Kipele hicho nimekaanacho takribani...
0 Reactions
22 Replies
16K Views
Habari wakuu majibu kama hayo sinus bradycardia tiba yake huwa ni nini?
0 Reactions
2 Replies
393 Views
Habar wakuu napenda kujua kiwango cha mapigo ya moyo kuwa chini hutokana na nini...
0 Reactions
1 Replies
729 Views
Naomba msaada kwa hosptali au kituo cha afya chenye kupima na kutuo tiba ya kifua kwani nina shida ya kifua kwa miaka 4 sasa na sijapata vipimo sahihi na matibabu. Kinatengenezea makohozi kila...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Habarini humu, Nimejaribu kutafuta kama kuna jukwaa la afya ila nimekosa/sijaliona so nikaona si vibaya kwakua humu kuna doctors basi mnaweza kunipa ushauri mzuri zaidi kuhusu lishe, ndio...
0 Reactions
4 Replies
6K Views
Wakuu Nina tatizo la kizunguzungu / dizness na kuona maluweluwe yapata mwezi mmoja sasa nimeenda dispensary naona miyeyusho tu daktari kanipima tu pressure basi kasema ipo sawa ila nikajiongeza...
0 Reactions
5 Replies
897 Views
Mwezi mmoja nyuma nilipatwa na hali ya kuumwa kwa, kuchoka mwili na homa ile ya watu wazima mwili hauchemki ila kwa mbali unajisikia hovyo, nikaenda maabala, nikapima mkojo, tyiphoid na malaria...
4 Reactions
85 Replies
3K Views
Bawasili imenikata nguvu za kiume kbsa msaada aliepona
7 Reactions
137 Replies
17K Views
Mafuta ya habbat soda ni dawa kwa kila ugonjwa isipokuwa kifo Inapotokea wafalme wa Misri, Malkia wa Ulaya, Mitume na wanasayansi wa kisasa wanakuja na kukubaliana katika jambo moja, ni mhimu...
19 Reactions
82 Replies
121K Views
Siku ya pili leo analalamika kujisikia maumivu kwenye kiungo chake cha uzazi, yaani ikifika jioni kitunguu chake kimoja kinauma (pumbu) na maumivu kuelekea kwa ndani. Kwa madaktari au wazoefu...
0 Reactions
4 Replies
439 Views
Salamuni ndugu zangu, niende moja kwa moja kwenye topic, ni nini husababisha baadhi ya watoto na hata wakati mwingine watu wazima kutoa jasho lisilo la kawaida? Nina mdogo wangu watoto wake mmoja...
1 Reactions
7 Replies
905 Views
Wakuu poleni na swaumu (kwaresima na mfungo wa ramadhani). Tangu nikiwa mdogo napata hiyo shida ya kuziba kwa masikio pindi ninapo fanya usafi wa kutoa bugudha ya mafua. Kwa anaye jua huu...
2 Reactions
5 Replies
875 Views
Habar wakuu mke wangu kajifungua tar 1/3/2024 Leo tar 23 kaamka kichwa kinaumaa kizungu zungu homa Kali barid Kali,,tukaenda hospital kapimwa kakutwa na damu 4.2. Kapewa dawaferrous sulphate +...
2 Reactions
30 Replies
1K Views
Vilianza Kama vipele, baadae kukua na nimetumia dawa mbali mbali lakini vinakauka then kurudi, msaada tafadhali kwa anayejua suluhisho coz Ni miaka Sasa nateseka kujitibu Natanguliza shukrani!
5 Reactions
31 Replies
2K Views
Back
Top Bottom