Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Habari zenu. Naombeni ushauri kwa ufupi. Nimejifungua mwaka huu ila nimepata presha baada ya kujifungua nikavimba na kuumwa kifua sasa. Hospitali moja wakasema nimepata tatizo la moyo wakanipa...
4 Reactions
64 Replies
4K Views
Wajumbe naomba ushauri wa tatizo la fangasi kwenye njia ya mkojo kwa mwanaume.zinanisumbua two years.nmetumia midawa mingi sana.shida iko kwenye uume ndani
3 Reactions
4 Replies
790 Views
Msaada jamani mwezi wa sita huu nimefanya matibabu ya kila aina, hospital paliponifilisi na mri scan, dawa za asili na kisuuna hadi maombi. Nakata tamaa sasa
23 Reactions
271 Replies
17K Views
Mbegu hizi za papai,unazianika juani then zikishakauka zichemshe kwanza kwa major then changanya na maziwa fresh zichemke pamoja kisha kunywa huo mchanganyiko kutwa Mara mbili.Hiyo ni kuongeza...
0 Reactions
20 Replies
46K Views
Hematidrosis ni hali inayojitikeza kwa nadra sana ambayo humfanya mtu atokwe na jasho la damu. Pia kitaalamu inafahamika kama hematohidrosis and hemidrosis. Ni hali ya nadra sana kiasi kwamba...
1 Reactions
2 Replies
547 Views
HabarI za Leo Ndugu zangu. Anayejua Dawa ya Maumivu ya Kiuno Na Mgongo. Nafahamu hili ni suala la Ku- Sex Lakini Bado Sijapata MCHUMBA. Nipo Busy sana na kazi Jumatatu Mpaka Jumamosi hivyo...
2 Reactions
4 Replies
870 Views
Vizuizi vingi vilivyosalia vinaonekana kuwa vya kisheria, kulingana na Vasily Lazarev wa Wakala wa Tiba na Biolojia ya Kimedikali ya Urusi. Watafiti wa matibabu wa Urusi wanaweza kuwa na uwezo wa...
4 Reactions
4 Replies
606 Views
Kwanza Niseme kabisa Mimi sio Daktari, lakini nimeongea na madaktari. Lengo la Uzi huu ni kujaribu kuzungumzia juu ya ugonjwa wa vidonda vya tumbo ambao Kwa kizungu unaitwa ulcers, nimeamua hasa...
4 Reactions
23 Replies
2K Views
__nilivaa singlendi nikawa nafanya kazi juani (maeneo hayo jua lilikua linapiga sana coz yalikua maeneo yawazi ) usiku wake mwili ukawa unawasha asubui yake naona mwili umejichora weusi (hio...
8 Reactions
89 Replies
3K Views
Habari wadau.? Yaweza kuonekana ni ulizo la ajabu, ila kwangu limekua gumu. Kuna mtu ninafanya naye project moja siku ya pili sasa na huja ikatuchukua hadi week moja. Kazi hiyo inatulazimu...
0 Reactions
7 Replies
833 Views
Ndugu zangu naombeni ushauri, Nina tatizo la ajabu linalonitesa kwa muda wa miaka mitatu sasa la mwili wangu kuwa na muwasho mithili ya pilipili hasa ninapolala tu.Ni maumivu makali ambayo...
7 Reactions
46 Replies
2K Views
Nawasalimu kwa jina la jamhuri ya Muungano wa Tanzani wana Jukwaa hili, nikitumaini wote tunaendelea vyema na Mfungo mwema wa Ramadhani lakini tukikaribia kualika pasaka hivi karibuni. Bila...
0 Reactions
1 Replies
400 Views
Kufanya Uchunguzi wa Afya ya Kinywa: Umuhimu na Mara Ngapi Unapaswa Kufanya Leo, tunapoadhimisha Siku ya Afya ya Kinywa Duniani, ni muhimu kutambua umuhimu wa kufanya uchunguzi wa afya ya kinywa...
0 Reactions
1 Replies
667 Views
Habari wakuu! Niende moja kwa moja kwenye mada. Ilikuwa jumanne ilopita tarehe 12 mwez huu wa 3 niliamka jicho la kushoto linachoma choma na kutoa machozi na tongotongo kidogo nikajicheki kwenye...
2 Reactions
7 Replies
482 Views
Sasa naona magonjwa yanaibuka kila siku. Nasikia huu ni ugonjwa unaoambukozwa kwa zinaa, na ukichelewa kuutibu kwa mwanaume uume huuathirika na hatimaye kukatika kabisa?
0 Reactions
12 Replies
820 Views
Nawasalimu ndugu zangu. Natumai ni wazima. Ningependa kuuliza jambo kwani najua humu hawakosekani wajuzi wa mambo. Hivi Uchungu kwa mke anayekaribia kujifungua unaweza kumhusisha na mume? Yaani...
1 Reactions
7 Replies
456 Views
Habari ya wakati huu Nimepatwa na tatizo la vipele kwenye uume sio kwenye kichwa ni kwenye ngozi ya uume haviumi wala haviwashi kimuonekano kama unavyoona kwenye picha hapo. Mara ya mwisho...
1 Reactions
53 Replies
5K Views
Kifuko cha ujauzito baada ya mimba kutunga (gestational sac) ni muundo uliojaa maji unaozunguka kiinitete (embryo) wakati wa wiki chache za ukuaji wa kiinitete. Tatizo la Kuyeyuka kwa mimba...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Mimi ni kijana wa miaka 25 mkazi wa Dar es Salaam. Kwa muda mrefu sijawa katika mahusiano nikiwa na deal tu na mishe zangu, sasa leo nimepata nafasi ya kula tunda la binti mmoja hivi ambaye...
17 Reactions
194 Replies
15K Views
Ndugu zangu. Tumekua tukitishwa sana na hawa dada zetu na mama zetu kwamba mwanamke akikulisha wewe mwanaume damu yake ya hedhi kuwa unakufa pole pole, jambo hili limepelekea pia baadhi ya...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Back
Top Bottom