Na PHARMACIST SOLOMON
MADHARAKWA MWANAMKE
Mwanamke hujichua kwa kutumia mikono yake au kifaa chochote atakachoweza kukiingiza ukeni au kujisugulia, ili mradi tu kisimuumize ,na kimsisimue
Haya...
Kwema ndugu zangu? Mimi ndugu yenu nina shida ya hasira sana. Na hivi karibuni tatizo langu limezidi.
Leo ilitokea nilipata hasira sana baada ya kuudhiwa sana, mpaka nywele zikasimama na macho...
Ndugu zangu, vijana, wazee na watoto ukimwi upo, na una endelea kuteketeza nguvu kazi ya familia na Taifa vibaya sana. Utaskia waombolezaji na watu wa karibu wakijifariji na kujipa moyo wa...
Habari wanaJamiiForums leo nimeona niweke kitu changu ambacho kilinisumbua miezi kadhaa iliyopita.
Niende kwa ufupi niliwahi kuteleza ktk tamaa za vijana na wala sikuwahi kufikiria mbele lakini...
Habari zenu Wanajamvi.
Wakuu naomba msaada
Mwaka 2020 Mwenyezi Mungu alinipa mtoto wangu wa tatu ambaye alikuwa anajicho moja kubwa na lingine lilikuwa la kawaida, mtoto uyu alifariki 2022...
Wadau habari zenu,
Naomba kujuzwa chanzo na tiba ya mafua yasiyoisha kwa mtoto mdogo, nina mtoto ambaye karibia wakati wote ana mafua na wakati mwingine kikohozi tumejaribu dawa nyingi sana za...
Alcoholism:
Alcoholism is a psychological condition
Addiction to alcohol can affect one's life negatively
Family support and encouragement is critical to help quit drinking
Symptoms to...
Habarini jamani..
Naomba kufahamishwa tube nzuri (dawa ya kupaka) usoni ambayo inaweza kuondoa chunusi au mashimo usoni ambayo yanapelekea kutengeneza utando(ugaliugali) mweupe kwa ndani.
Kama...
Habari za muda huu wanajf,
Nimekuja kwenu wanajf ili niwezekupata mbili tatu kuhusu hii milio ya masikio ambayo imenisababisha kutosikua vizuri kabisa tatizo halina muda mrefu sana.
Habari!
Leo nimeona niwasaidie kuwatajia dawa ya asili ya Bawasili ya uhakika, nimewahi kuwasaidia wagonjwa wengi tatizo la Bawasili na wakapona.
DAWA
1. Mizizi ya mmea unaoitwa 9 disemba...
Wakuu kwanza kabisa niwe wazi mimi sio daktari wala sipo kabisa kwenye eneo la afya.
Habari hii ni kwa hisani ya vyanzo mbalimbali vya taarifa nilizosoma na kusikia.
Matumizi ya vitu hivyo ni...
Wadau habari za jioni?
Kama mada ilivyo hapo juu kuna huo ugonjwa unaitwa Anal fissure siujui jina lake kwa kiswahili, yani unakua kama kunavinyama fulani vinatokea kwenye anus vinatokana na...
Habari wanajamvi wenzangu.
Leo naomba NITOE BURE dawa 2 za Magonjwa sugu ya NGIRI na VITONDA VYA TUMBO kama Zawadi yangu ya CHRISTMAS kwenu.
Dawa hizi siuzi bali tumia mazingira unayoishi...
Wakuu habari za jioni!,
Naomba niulize chanjo ya homa ya ini inapatikana kwenye hizi hospital kuu za mikoa kwa sisi tuliopo mikoani au hata kwenye hospital za wilaya? Na je vp gharama zake ni bei...
Kuna tabia imeibuka au yawezekana ipo kwa muda mrefu, nasema hivyo kwa kuwa sikuwahi kuelewa kuhusu hilo siku za nyuma lakini baada ya hili nitakalozungumza hapa kutokea nikishuhudia, nimepata...
Habarini ndugu zangu.
Katika kuujali mwili wangu nataka nifanye check up ya mwili mzima kuanzia kichwani mpaka miguunii nijue maendeleo na afya ya viungo vyangu vya ndani.
Ni hospital gani...
Mimi nikiamka jua likitoka nakua mzima had jion giza likiingia naanza kuumwa mafua usiku mzima kias hadi natumia mdomo kupata pumzi.
Hii Hali Ina mwaka huu wa 3
Mchana mzima kabisa,
Pia naomba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.