Habari wakuu,!
Naomba kufafanuliwa hapa kwamba, hivi mirija ya uzazi ya mwanaume ikiziba haiwezi kuzibuliwa,? Na nini kinachosababisha kuziba kwa mirija ya mwanaume?. Maana sister yangu ana mme...
BRAIN CANCER UGONJWA WA SARATANI KANSA YA UBONGO
Kupambana na ugonjwa huu ni vigumu na unatisha.Kuna aina nyingi ya saratani jambo linalofanya kuwa gumu kukabiliana nao.
Saratani ya ubongo...
Ni mara ya nne sasa mama anaenda hospital. Tatizo kubwa ni mkono wa kushoto kuuma, maumivu huanzia usawa wa uti wa mgongo. Kuna kitu kinatembea ama kinahamahama na yenye maumivu makali kiasi cha...
Habari zenu ndugu zanguni, natumai ni wazima,
Nina ndugu yangu alikua na Malaria lakini kabla ya kwenda kucheki alikua anajiskia vibaya (kichefuchefu kizunguzungu) tukahofia isije ikawa mimba...
Habari za muda huu wakuu?
Nahitaji kupata data za idadi ya watu wanaofanya x ray kwa mwaka, (hapa Tanzania/ worldwide, hospitali yoyote) kama kuna mwenye data kamili ningeshukuru zaidi...
Habari wanajamvi!, Ninafahamu kwa ujumla kuwa asali ni chakula na pia ni dawa. Lakini hapo kwenye kipengele cha chakula ndipo ninapohitaji ufafanuzi kwa maana ya matumizi sahihi. Kwani katika...
Nauliza hili kwa kuwa katika mafuta mengi ya kujipaka huwa yameandikwa, pamoja na mambo mengine, 'for external use only'. Sasa utakuta sisi watu huwa tunachukua mafuta hayo, mathalan rays, baby...
he bottom of your feet are powerful and direct access points to internal organs in your body through what is known as meridians. These meridians are pathways to each organ with your body. Some...
Habari wadau wa JF.
Kwa muda mrefu sasa nimekuwa nikisumbuliwa na maumivu makali ya kwenye mbavu hasa kikifika kipindi cha baridi,nilivyokuwa dar haikuwahi kunitokea,sasa nimepangiwa kazi Mbeya...
Chukua maganda ya malimao changanya na iliki paamoja na pilipili manga kisha weka mchanganyiko huu ktk sufuria yenye maji kiasi kisha chemsha kwa dakika 10 na dawa itakua tayari. JINSI YA...
Wanascience wako kwenye hatua za mwisho wa kuuhalalisha mmea huu kuwa dawa na suluhisho la matatizo ya kansa na uvimbe katika ubongo na hata matiti. Wanasema zina kemikali...
Nimekua nikijiuliza sana hili swali bila kupata majibu yenye mashiko...
Na Leo asubuhi nikiwa napita kwenye jengo la CCM makao makuu nimekutana na mdada ambaye kwa kumwangalia anaweza akawa...
WAKATI dunia ikipalangana kutafuta dawa ya kutibu ugonjwa wa Ukimwi, imeripotiwa kubainika kwa vimelea vipya vya ugonjwa wa Kisonono, ambavyo havisikii dawa za ugonjwa huo zilizokuwa zimezoeleka...
ziko sababu nyingi zinazoweza kusababisha hali hii ya kutokea kwenye kinywa, lakini chanzo chake kikubwa ni maradhi yanayosababishwa na fangasi.
Maradhi ya fangasi ya kinywa huweza kuathiri koo...
Jamaa ni ME. Anasema usiku kwake ni shida tupu. Kila mara anapojaribu kulala anahisi kuzingirwa na hali fulani inayoambatana na joto la kiwango fulani na kisha anahisi kuingiliwa sehemu za haja...