Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Habar JF Dk, Kila niki amka asubuhi kichwa kinauma, kiasi kwamba naweza shinda nacho au kikatulia mchana. Maleria sina.
0 Reactions
20 Replies
10K Views
Habari wana JF. Naombeni mnisaidie kubaini tatizo nililo nalo. Nimeamka asubuhi nikigusa chuchu yangu ya kushoto nahisi maumivu na kama dalili ya uvimbe. Je inaweza ikawa dalili ya ugonjwa gani...
0 Reactions
16 Replies
6K Views
Amani ya bwana iwe nanyi Naomba kujulishwa mda wa doctor kuingia kazini asubuhi au kuanza kazi zake ni saa ngapi ili niweze kuwashughulikia madaktari wa hospitali ya mkoa wa Ruvuma Madakitari wa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
daktar pole na kaz. macho kutoa machoz inasababshwa na nn. asante sna daktar
0 Reactions
3 Replies
9K Views
Habari zenu wanaJF, Naombeni nijue maana ya hicho kipimo cha sukari kwenye damu, kuna ndugu kapima kapata hayo majibu dactari mmoja kasema iko chini sana na mwingine kasema ni ndogo sana...
0 Reactions
3 Replies
6K Views
Mimi ni mjamzito nilikuwa nasikia dalili za UTI nilipoenda kupima nikaambiwa ninayo. Nikaandikwa Amoxillini nilipomaliza hiyo dose nilikaa siku moja mwili wote ukawa na vipele. Nikarudi...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari zenu, Kilichonileta hapa ni kutaka ufafanuzi kama niko na tatizo au ni kawaida. Tukija katika mapenzi kwa upande wangu huwa napata hamu kubwa sana isiyo ya kawaida. Ute unatoka kibao...
1 Reactions
28 Replies
3K Views
Wadau nafanya diet kupunguza uzito, ningependa kujua andazi moja lina calories kiasi gani
1 Reactions
3 Replies
5K Views
NIMEGUNDUWA FAIDA MPYA YA ASALI NDANI YA MWILI WA BINADAMU Asali kama tujuavyo ni dawa nzuri kwa binadamu haswa utakapo tumia ukiwa mzima au mgonjwa itakusaidia kukutibu na haina madhara kwa...
3 Reactions
6 Replies
6K Views
FAIDA 10 ZA KULA MATANGO NA MATIKITI MAJI Ulaji wa matango na matikiti maji husaidia kuboresha kiwango cha maji ambayo huitajika mwilini, hii ni kutokana na matango kuwa na kiwango kikubwa cha...
3 Reactions
5 Replies
19K Views
Wanajamii wenzangu naomba mnieleweshe inakuaje mtoto nampa dawa za flagile halafu mwili unavimba wakati amepimwa na ameonekana ana amiba?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ndugu wana JF habari za leo. Mwenzenu nina tatizo la kiafya sipati haja kubwa kabisa. Ninachukua hadi siku 5 ndo napata hali ya kwenda haja kubwa lakini nikienda hata sipati haja nzuri sometimes...
1 Reactions
12 Replies
5K Views
Nina mpenzi ambae nimeshafanya naye mapenzi nae zaidi ya mara nne, ila kwa sasa amekuwa hataki kufanya mapenzi nami, akidai kuwa anaumia pindi anapofanya mapenzi, ninapomueleza basi tuachane...
0 Reactions
13 Replies
10K Views
mtoto wangu ana miezi Tisa, ameshaanza kuota meno ya juu,,,,, ya chini yameshaota kama mwezi umepita ila kwa Siku tatu sasa amekua akiharisha na usiku analia lia mno. Je tatizo hili ni la mpito...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Je ni kweli kwamba ejaculation kwa mwanaume inasaidia kupunguza uzito? kama ni kweli ni kwa kiasi gan per single ejaculation? je a single ejaculation ni sawa na kukimbia kwa umbali gani? msaada...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Naomba kujua gharama za kufanya kipimo cha DNA. Kwa anayejua tafadhali nijulishe.
0 Reactions
0 Replies
3K Views
habari waungwana nataka kuconcieve,mzunguko wangu ni wa 28 to 29 days,nimeanza mp tar 22 mwezi wa 5 ambayo normal ni 4 days sasa basi mwenye kujua anijuze ni duu tarehe ngapi ili ninase? asanteni.
0 Reactions
1 Replies
850 Views
Habari wakuu,! Aise mimi sijui kama ni tatizo au la, uume wangu huwa unasimama kila mda hata kama nikitoka kufanya mapenzi na GF wangu yani bado ndo kama nimeuchokoza na nikiona msichana kaachina...
1 Reactions
27 Replies
7K Views
Wakuu heshima kwenu. Kama MTU alikuwa mnywaji wa pombe wa kiwango cha kati na ameacha.je mwili wake mfano utumbo, ini,figo utakuwa umedhurika. Je apate diet ipi au ale vyakula gani sana kuondoa...
1 Reactions
10 Replies
4K Views
Mwakilishi wa Kaimu Mkurugenzi wa Huduma za Kinga Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Cosmas Swai, akizindua kampeni mpya ya kuhamasisha Faida na Matumizi ya Uzazi wa Mpango jijini Dar es...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Back
Top Bottom