Habari za jumapili?
Ni matumaini yangu kuwa mu wazima wa afya, mkiendelea kusukuma gurudumu la maisha. Kama kichwa cha thread kinavyojieleza, leo nataka kushea nanyi juu ya jambo hili; upara/upaa...
Salam kwenu wana jf.
Jamani mimi nina tatizo la kuumwa kichwa sana nimekua mtu wa kutembea na kiboksi cha panadol,nimepiga xray ya kichwa lakini sina tatizo ila naumwa sana sana kichwa.
Kama...
Habar wanaJF,
Nina tatizo la kukaukiwa mate usiku nikiwa nimelala na kusababisha ulimi kuwa mkavu sana na kukakamaa hivyo nikishtuka toka usingizini hali hiyo inanitatiza sana na kinywa huwa...
Habar zenu,
Jamani mimi na tatizo nikijisaidia haja kubwa inatoka na damu siku ya 2 sasa na sina jeraa lolote.
Naombeni msaada wenu wa tiba au ushauri maana cjui inatokana na nini.
Karibuni Wana Jamvi waliopata ajali hii.Siku izi VVU ni kama magonjwa mengine ambayo yanaitaji kuwa kwenye dawa through out your life.Kwangu binafsi magonjwa ambayo nayaogopa yanatisha kuliko ni...
Habar zenu,
Nina rafkiangu anasumbuliwa sana na tatzo lakutokwa na vipele aina ya uvimbe ukeni, juu ya mashavu ya uke.
Nitatizo ambalo linamsumbua takriban mwaka sasa kila dawa za hospital...
Habari za saa hizi wana JF.
Naomba kwa yeyote anaejua dawa ya mtoto wa miezi kumi anatoa udenda.
Kuna mtu aliniambia nichukue kitumbua nikipake ule udenda halafu nimpe aidha Shangazi au Mjomba...
Wakuu naomba msaada wa tatizo hili nililonalo mara nyingi nikitembea umbali wa kilomita 3 mwili wangu hasa sehemu ya mapaja na nyuma ya magote huwa yanawasha sana ambapo huwa najikuna sana...
Habari,
Mtoto wangu ana miezi 7 tangu nimemzaa kwenye matiti yake kuna vitu vigumu kwa ndani kama mtoto anaeanza kuota maziwa, Ni wa kike sasa sielewi ni kawaida au kunatatizo?
Healthy Vaginas
A healthy vagina is as clean and pure as a carton of yoghurt
Now there's a statement to combat some of the negative messages we have received about our nether regions...
Habar wadau,
Nasumbuliwa na tatizo la mdomo kupauka sana na kuanza kupasuka pasuka kwenye lips kiasi kwamba ninapokula hata baadhi ya matunda kama nanas na chungwa napata sana tabu...
Jamani Wana Jf Naomba Mwenye Kujua Apa Saongea Ni Hospital Gani Au Maabara Gan Wana Kipimo Cha Typhod Make Peramiho Na Hospital Ya Mkoa Awana. Naomba Mnisaidie Nataka Kupima Typhod.
Huku mkoani kwetu MTWARA kuna hawa wamarekani wenye kampun ya USAID, wamejikita kwenye sekta mbalimbali. Moja ya wizara wanayoifanyia kazi ni pamoja na afya.
Hivi karibuni walikuwa na zoezi la...
Jamani kwa wataalamu naomba ushauri wa kitabibu,
Kuna binti alikuwa anasikia maumivu ya kiuno akaenda dispensary daktari akamchoma sindano (siikubuki jina) akampa na dawa za kutuliza maumivu...
Habari wana JF,
Naomba msaada tafadhali.
Nimekuwa na tatizo la makovu kwa muda mrefu. Makovu haya yalitokana na vidonda nlivyokuwa napata nikiwa mdogo kutokana na allergy.
Haya makovu yamekuwa...
Wadau,
Nilianza kujichua toka nikiwa form one yaani nilionza tu naona kabisa kujichuani zaidi ya kufanya mapenzi.Hata nikifanya mapenzi lisaa kupizinachukua kama limoja hivi na huwa sipati raha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.