Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

I'm having a hard time because of these persistent symptoms, I've listed them down below and kindly let me know if these are symptoms for a single disease or just common stuff that happens even to...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kuanzia siku ya ngapi tangu atoke MP ndio siku za hatari? Ahsanteni wadau.
0 Reactions
8 Replies
11K Views
Salaamu wana jamvi, Mimi ni mama ninaishi na mme wangu lakini pia mimi ni mwanachuo wa chuo fulani, sasa katika mahusiono yetu tumekuwa tukitumia kalenda kuzuia mimba. Sasa mwezi uliopita...
0 Reactions
40 Replies
12K Views
Wakuu, Mke wangu ni wiki sasa tangu aanze kubleed analalamika sana maumivu ya tumbo, na huwa analia sana na haijawahi kumtokea huko nyuma ndo mara ya kwanza.. Naombeni ushauri wa kitaalamu..
0 Reactions
7 Replies
7K Views
Wana Jf wenzangu mwenzenu, Mke wangu ana matatizo ya uzazi mwaka jana mwezi wa nne alifanikiwa kupata uja uzito, lakini baada ya ujauzito kufikisha miezi miwili tumbo likaanza kumuuma pamoja...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
habari zenu ndugu zanguni nyote, mimi mpya humu na naomba yeyote awe na uhuru wa kuchangia kwa lengo la kunisaidia mwenzenu. Jamani mimi nasumbuliwa na ugonjwa wa miguu kuvimba na kupata...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Mimi ni mwanafunzi wa kidato cha sita ni mwanaume, Nina tatizo la kiafya ambalo linanisumbua kwa zaidi ya miaka 6 sasa. Sasa hivi nina miaka 19, yaani ni kwenye ngozi yangu ya uso kuna ungaunga...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari zenu wadau, Nahitaji kufahamu jinsi ya kujua kama uzito wangu umezidi, maana nasikia uzito unaendana na urefu ila hiyo fomula siifahamu. Msaada juu ya hiyo njia.
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Habari zenu wakuu. Mimi nina tatizo la kuumwa mgongo hasa maeneo ya karibu na kiunoni na tatizo hili huwa linanikumba kila baada ya kuendesha gari. So naombeni msaada wenu wa kuweza kulitatua...
0 Reactions
22 Replies
5K Views
Hello members wa JF ,nini kinachosababisha kwa mwanaume wakati wa kufanya tendo la ndoa asitoe mbegu kabisa inatoka tuu hewa na uume unakuwa hauna nguvu vizuri ? Na kama kuna dawa au ushaurii...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Hii ni sayansi ya tiba mbadala inayohusu kukandamiza sehemu za miguuni na kwenye viganja bila kutumia mafuta ya aina yeyote. Hii sayansi inategemea uwepo wa maeneo(kanda) ambayo yanaakisi viungo...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Habari wakuu, naomba msaada wa dawa ya kuondoa vipele nyuma ya kichwa
0 Reactions
4 Replies
6K Views
naombeni msaada tafadhali
0 Reactions
11 Replies
5K Views
Jf doctor niko na swali kwa tizo ambalo linamsumbua mdogo wangu, ako na miaka 19 sasa lakin mara kadhaa amekuwa akilalamika kuwa gonads zake zinamuuma, na inapotokea hushindwa hata kutembea...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
wakuu, nimeathiriwa na kujichua kwa muda mrefu ( ni kama miaka nane hivi ). Sikutaka kuwa na msichana hadi nitakapo kamilisha vitu fulani fulani vya kimaisha. Sasa leo nina msichana ambaye nina...
2 Reactions
22 Replies
42K Views
Ni miaka 31 na mwezi na wiki 1, tangu pale Wazari wa afya wa Marekani kwa wakati huo (Bi Margaret Heckler) autangazie ulimwengu kuwa katika historia ya tiba na sayansi ya Marekani hatimaye...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Salaamu zenu wakuu, Msaada kwa hili ninalopitia sasa, yaaani nahisi maumivu makali katika matiti kwa muda wa mwezi sasa, ukibonyeza katika nyama za kifuani, (sio kwenye chuchu). Ukitembea...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
mwanamke kuumwa kiuno nini sababu na tiba mbadala.
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Nini kinasababisha kukosa hali ya kula chakula? Na nitawezaje kuwa na hamu ya kula? Naona kula kama adhabu siku hizi na imeanza ghafla tu. Asanteni kwa ushauri.
0 Reactions
27 Replies
13K Views
Scientists compared 1,688 diseases to birth dates of 1.7m New Yorkers Found 55 diseases that correlated with the season of birth April babies at highest risk of angina, November bronchitis and...
0 Reactions
0 Replies
924 Views
Back
Top Bottom