Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Kuna msichana niliekuwa nae alikuwa ana ujauzito ya kama wiki tatu hivi,kwa kutokujua alitumia dawa aina ya flagyl bila kujua kuwa ingemletea madhara.baada ya hapo ilibidi aende kwa docta kwani...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
HIV breakthrough as Cuba becomes the first country in the world to eliminate mother-to-child transmission of the virus World Health Organization hails big step 'towards Aids-free generation'...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Aliyewahi kwenda Ikonda Hospital, nataka kujua bei ya kipimo cha Endoscopy ni shs ngapi?
0 Reactions
3 Replies
7K Views
Takwimu za mwaka 2014 zinanonesha kuwa asilimia 46 ni maambukizi ya kaswende, ilihali asilimia 32 ni maambukizi ya kisonono, huku maambukizi ya maradhi ya "chlamydia" ikiwa kwa asilimia 26...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari wanajamvi, Mi nahitaji kujua; ni vyakula gani mwanaume ukila unaongeza uwingi wa sperms kwa muda mfupi kiasi? Naomba msaada wenu please.
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Habari ndugu zangu, Kama mada inavyoeleza apo juu,n ikwamba mwenyezi Mungu kanijalia kupata watoto mapacha wawili wa kiume na wa kike.Mpaka sasa wana miezi minne maana walizaliawa na miezi 7...
0 Reactions
57 Replies
13K Views
Samahani wandugu, Naomba msaada; mwanamke anawezaje kujua kuwa ana uwezo wa kubeba mimba na kuzaa? Anatakiwa kupima kipimo gani ili kujua kizazi chake kiko vizuri na ana mayai? Naomba...
0 Reactions
10 Replies
17K Views
Wakuu, Kwa watazamaji wa DSTV, watakubaliana nami kuwa kuna wakati walikuwa wakirusha vipindi vinavyoonyesha jinsi surgery za kupunguza unene zinavyofanyika. Nilipata tetesi hata Mustafa...
1 Reactions
23 Replies
12K Views
Jamani wakuu, Naombeni mnisaidie: Dawa ambayo hutumiwa na watu wenye vidonda vya tumbo aina ya Zosec (Omeprazole) ina madhara yoyote kwa mjamzito? Kama yapo, ni yapi?
0 Reactions
2 Replies
9K Views
Naomba kujua kinachosabaisha Ualbino kitaalamu zaidi, maana katika kuuliza uliza kila mtu amekua akinipa jibu lake, wengine wanasema ni kurithi, unakuta baba ni mweusi na mama ni mweusi lakini...
0 Reactions
11 Replies
13K Views
Doctor! Nina umri wa miaka 23, toka nizaliwe sijawahi kukuuana na mwanamke, lakini sometime napata hamu sana ya kufanya mapenzi na kuna wakati sperm huwa zinatoka kwa wingi hasa nitakapofikiria tu...
2 Reactions
131 Replies
22K Views
Habari wanajamvi, Nilifiwa mtoto tarehe 22.4.2015, akiwa na miezi 8. Nimeishi kwa majonzi mno mpaka watu wakaniambia naweza kosa mtoto tena. Je, ni kweli kwamba ukiwaza sana unakosa mtoto?
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari wakuu, Naomba mnisaidie kupata jina la emergency contraceptive pills zozote.
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wataalam naomba mnisaidie, Ninaishi mbali na mume wangu, tangu aje likizo huku niliko ni mwezi sasa. Tatizo nililo nalo: kwa takriban wiki ya pili sasa chuchu zangu zinawasha sana. Tatizo...
0 Reactions
10 Replies
13K Views
Tunatoa tiba ya Kisukari, Pressure, upungufu wa cd4 na nguvu za kiume, matatizo ya miguu, chango na maradhi mengine. Dawa zetu ni nzuri na zimethibitishwa, na zitakufikia popote ulipo Tanzania...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari?, Samahani naomba niambiwe tiba ya vipele kwenye ngozi kwa mtoto au doctor bingwa zaidi wa magonjwa ya ngozi kwa watoto. Nimezunguka kwa madoctor wengi sana hapa ,mfano...
0 Reactions
18 Replies
89K Views
Ni kwa miezi kalibu miwili nilikua nikisumbuliwa na maumivu kwenye magoti kila ninapopanda ngazi au nikikanyaga sehemu yenye muinuko laikini kwenye tambalale sisikii maumivu. Sasa kwasasa yapata...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Dokta Adeeb wa Hospitali ya Karachi, ambaye ni mtaalamu wa figo, ametoa tamko kwa kila mtu kutokunywa vinywaji vya baridi kama Pepsi, Cocacola,7up na nyinginezo wakati wa kufungua SWAUMU kutokana...
5 Reactions
21 Replies
6K Views
Habari wakuu, Samahani, mi nauliza, je, kuna madhara yoyote kwa mwanamke mwenye mimba changa kama wiki moja kutumia hizo dawa? Pia kutoka na vidonda mdomoni (ukosefu wa vitamin B nadhani) kuna...
0 Reactions
12 Replies
44K Views
Naombeni mniambie walau Lugalo, Ifakara au Kibaha bado zipo wazi nafasi kwani nahitaji kumpeleka hata uuguzi kwani kukaa home nako sio vizuri kwa mtoto wakike . Tafadhali madaktari, wauguzi...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Back
Top Bottom