Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Umewahi kujiuliza kwanini kuna watu nywele zao huota na kua ndefu lakini wengine nywele zao zinaonekana kama hazioti? >Kila Nywele hupitia hatua tatu muhimu katika mzunguko wa uhai wake. 1)...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Wadau habari zenu, Naombeni wenye uzoefu ntujuze kati ya kufanyiwa operation na kujifungua kawaida kwa mtu ambaye hana matatizo yanayompelekea kufanyiwa operation. hii ni kwa sababu limetokea...
0 Reactions
5 Replies
9K Views
Nitarudi baadae
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Naombeni ushauri jamani natokewa navipele mwili mzima sijui na alerg na nini mpaka sasa sijajua ni chakula gani nikila kinanifanya hivi. Je kuna dawa za Alerg naombeni mnitajie majina na ipi...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Watu wengi wanajikuta ni waathirika wa mchezo wa kudandia ukuta kwa sababu kadhaa. Mosi ni stori za vijiweni, kwamba wanaume wanadanganyika mno na habari za kusikia kwa wengine. Wapo...
0 Reactions
8 Replies
9K Views
Mwanangu mguu wake mmoja kama umepinda kidogo nimejaribu kumpeleka CCBRT lakini kila siku wananipiga kalenda mara njoo baada ya miezi mi3 mara miezi 6, Hata sielewi nifanyeje na mwanangu. Naogopa...
0 Reactions
21 Replies
4K Views
Kwenu madaktari, aisee me kuna hivi vidude vinaitwa dats cjui au vidoti vinaniota sehemu za korodani na hapa juu ya mgombea, panapoota mav*z* vinaota hivi vidude. First time nilienda kumuona...
0 Reactions
13 Replies
5K Views
Habari Wana JF. Jamani pumbu langu la kulia linakuwa na mshtuko wa maumivu kwenye mshipa mdogo pindi mbegu za kiume zinapotoka lakini ninapokuwa nasugua mzigo, kutembea au hata nikibinya hakuna...
0 Reactions
38 Replies
6K Views
Habar wana JF Doctors, Naamini mko salama jamani naomba kuuliza gharama za upasuaji wa tonsils kwa Hospitali ya KCMC. Je upasuaji unafanyika ndani ya kinywa au nje ? Asanteni.
1 Reactions
0 Replies
3K Views
Mara nyingi ninapokunywa soda au vitu vyenye sukari sukari haswa vinywaji huwa nakojoa mkojo mtamu sana. Nimejaribu kuchek sukari lakini iko normal, lakini pia ninakuwa na uzito mkubwa sana...
0 Reactions
22 Replies
6K Views
Guyz mm nna ndugu yangu ana kiloids (uvmbe unaosababishwa na kujikata na vitu vyenye ncha kali) tatzo ni kwamba alishawah kwenda kwa wataalam wakamshaur waikate then kuna sindano jna silikumbuki...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kuna jamaa yangu alikuwa anaumwa figo na kama unavyojua kipato cha watz kipo chini alishauriwa aende Nairobi basi ktk kuhangaika akambiwa kuna Mzee anajua tiba hiyo kwa vile mtu ana shida...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari wana JF, Ninasumbuliwa na minyoo ya safura inayojirudiarudia. Zipi dawa nzuri ya kutibu kabisa.
0 Reactions
2 Replies
6K Views
Mwanamke mwenye ujauzito wa wiki 3. Je anaweza kunywa dawa ya minyoo na isilete madhara juu ya ukuaji wa mtoto?
0 Reactions
3 Replies
9K Views
Habari humu ndani. Jamani wataalam wa magonjwa ya kina mama naombeni mawazo yenu hapa juu ya afya ya mama watoto. Akikaribia bleed huwa anakua na mambo yafuatayo. 1. Zikibaki kama siku tano...
0 Reactions
17 Replies
5K Views
Ni miaka 7 sasa tangu nianze mchezo wa kujichua wakati nipo chuo. Nilianza kufanya hvyo kwa kuogopa kutongoza wadada. Naombeni msaada mana nimepata mchumba kupitia mtandao na yuko Shinyanga nami...
0 Reactions
10 Replies
5K Views
Wakuuu naombeni msaada wa kujua ni wapi ntapata njia mbadala ya kunyoa vinyweleo katika mwili wangu hasa makwapa na huku chini maviwembe yananitoa mapele kila kukicha nimesikia kuna utaalam wa...
0 Reactions
29 Replies
27K Views
Naomba kujua kujua products za dynapharm nitapata wapi kwa hapa arusha.? Kama kuna wakala na mawasiliano yake.
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Amani iwe kwenu wapendwa. Nimesumbuliwa na tatizo la tumbo kwa muda mrefu huku nikienda hospitali tofauti bila bila kupata matibabu ya moja kwa moja. Hivi karibuni nilifanya uchunguzi tena ndio...
0 Reactions
11 Replies
5K Views
Back
Top Bottom