Habari wakuu, nina mdogo wangu, mara ya mwisho kuona siku zake ni tarehe 16/5. Je, kama ni mimba itakuwa na muda gani?
Thanks in advance.
=====
Mimba inaanza kuhesabiwa siku ya kwanza ya hedhi...
Wakuu hebu nisaidieni,
Hii inasababishwa na nini? Je ni ugonjwa au kawaida? Mi nimekuwa nina kucha Ngumu vibaya mno, siwezi kuzikata na kiwembe zikikua, nail cutter ndogo huwa zinavunjika...
Nisaidieni wanaJF,
Mimi ni mwanamke nina miaka 35, nimeshakuwa na mahusiano mengi tu, lakini hakuna hata mmoja aliyewahi kunifikisha, mpaka naanza kukata tamaa ya kuwa na mpenzi wa jinsia ya...
MADHARA YA MKATE MWEUPE (WHITE BREAD)
KWA NINI USILE TENA MKATE
MWEUPE KUANZIA LEO?
Mkate ndiyo chakula kikuu cha kila siku cha familia nyingi duniani, hasa sehemu za mijini na ndiyo chakula...
Tunatibu kisukari, pressure, upungufu wa cd4, upungufu wa nguvu za kiume, matatizo ya moyo, miguu kuvimba na kupasua, chango, uchovu wa mara kwa mara, na maradhi mengne.
Dawa ni fresh na...
Wana JF,
Ni muda wa miaka 13 nlikuwa naumwa kifua kinawaka moto, nimeenda Regenc Hosp nikafanyiwa Endoscopy nimeambiwa nina GERD 2 SMALL Hiatus Hernia ninasikia tiba yake ni op sasa hakuna dawa...
Wanaboard.Kuna baadhi yetu huwa tunapenda ikiwa ni mojawapo ya maandalizi ya kusex,kunyonyana ndimi na midomo.Sasa kumekuwa na msisitizo sana wa ngono salama ni kuvaa kondomu.Je mtindo huu wa...
Habari wana MMU. Inasemekena kuwa kuangalia sana video za ngono na picha za uchi zinapunguza nguvu za kiume. Swali langu na jiuliza kuna mahisiano gani kali ya hiyo video na nguvu za kiume hadi...
Nimefanya mapenzi bila kondomu lakini sijasugua sana k ila nikapiga kimoja nikaacha na baada ya hapo nikanawa.
Je naweza pata UKIMWI na nichukue mda gani kukutana na mke wangu msaada tafadhali...
Wadau pumzikeni kidogo kuhusu siasa za akina lowassa na Jk.
Nimesikia kidogo kuhusu hii dawa/majani ya chai kuwa yanatibu magonjwa mengi kama;
Presha
Kisukari
Kansa
Aleji
Na mengine mengi...
Miaka 25 bado nina govi nimekuja kushtukia nimekua mkubwa koz sisi kabila letu hatutoi magovi .Lakini sasa napata taabu kwanza kuliosha mara kwa mara nisipofanya hivyo linanuka sana ,kiujumla...
Kwa ma doctar na wanaofahamu zaidi dawa ya p2 huwa inafanya kazi hadi mda gani?
Na kwa mfano umetoka kufanya unprocted sex na ukaimeza baada ya masaa nane ukaanza dozi yake itakuwa inafanya kazi...
Ndugu jamaa zangu,
Kwanza kabisa niseme kwamba mm sio daktar wala si mfanyabiashara wa madawa na sijawahi fanya hivyo wala kufikiri kufanya hivyo.
Lakini nimeamua kuleta hii ishu hapa kwa...
Ndugu zangu, leo ni siku ya pili nina maumivu ya kifua (kinauma kwa ndani) lakini sibanji na wala sikohoi mfululizo. Siwezi kuvuta pumzi (deep inhale), niki/inama/inuka/lala au nikijigeuza nahisi...
Habari wakuu,
Nimesikia kuna njia mpya na ya kisasa ya kutairi watoto wa kiume kwa kutumia vifaa maalum na nimesikia kwamba mgonjwa anapona kwa muda mfupi zaidi kulinganisha na njia ya zamani na...
Im an avid drinker (of water of course) and was refreshing to learn a new spin on how to drink it. I was first introduced to the concept of drinking lemon water when I read an article on infusing...
Habari JF.
Mimi ni mama mjamzito mimba imeshaanza mwezi wa nne. Tatizo langu kubwa usiku ninajigeuza sana mpaka naogopa.
Naomba mnisaidie ni hali ya kawaida au nitakuwa nina tatizo...
Ndugu zangu wana JF,
Mimi ni kijana mwenye umri miaka 29 Tatizo langu ninawahi sana kufika kileleni maana ninapoingiza tu kichwa cha uume hapohapo nnakojoa wakati mwingine hata kabla sijaingiza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.