habari wandugu.
Madaktari naomba msaada. Nina ujauzito wa miezi miwili,nashangaa ninahamu ya kufanya mapenzi isivyo kawaida. nakuwa natamani muda mwingi kufanya tendo LA ndoa. Je ni tatizo pls help
Kuna jamaa yetu aliumia kakidole ktk kuzunguka mahospitani cha ajabu amekufa. Na kila dokta tukimuuliza walikua hawatupi maelezo ya kutosha unakuta wanasema nendeni hospatali nyingine
Je una ungependa kuongeza kinga ya mwili? Tumia Carotenoid Complex Tiba Asilia, Kwa Maelezo Zaidi Tuwasiliane 0719 252523
Key Benefits
Clinically proven by USDA researchers to boost...
Job Title: Medical Sales Representative
Pharmaceutical Company
Area: Dar Es Salaam
Application Deadline: July 31, 2015
Position Description:
A newly established pharmaceutical company is...
Habari Wakuu. Nini chanzo cha nyongo kujaa kwenye tumbo na kusababisha chakula kisisagwe vizuri, kisha unaharisha na kucheua harufu ya ajabu. Naomba ufafanuzi wa kitaalum ikiwezekana tiba. Wasalaam.
Habari,
Ni kwanini watoto wanazaliwa na kichwa kikubwa kupata kiasi (wanaita kichwa kukaa maji) na mdomo wazi hawa wanakuwa wamepasuka kuanzia puani hadi mdomini hawawezi kufunga mdomo jamani...
Jamani naisi nina tatizo mbegu zinachelewa kutoka mwenzenu naweza nikasema hata masaa matatu lakini mbegu ni za kutafuta nikilala na mwanamke mpaka anahisi maumivu na situmii kondomu.
Msaada...
Hivi ni kweli kwamba ARVs zinapotumiwa na mtu muda mfupi baada ya kuhisi anaweza kuwa amembukizwa HIV huweza kumkinga? Kama ni kweli, je inatakiwa iwe si zaidi ya masaa mangapi tangu mlengwa...
Hallow wana JF, Naomba radhi kwa simulizi hii ndefu..
Mimi ni kijana, umri wangu ni kati ya 25-30. Ni mhitimu wa chuo kikuu. Ni msaarabu, najiheshimu na napenda maendeleo. Nipo kwnye mahusiano...
Ndugu zangu wataalam wa sience kuhusu magonjwa,
Kuna masage nimetumiwa inasema hivi, kuna ugonjwa ambao umeingia kwa wanawake ugonjwa huo ni wakuvimba sehemu za mwanamke(mashavu ya uke) baada tu...
Kuna mdau wangu wa karibu sana (age 27) analalamika kuwa tangu amejaribu day 1 kufanya mapenzi hasikii kitu chochote kabisa ameshakuwa na mahusiano na wadada wanne mpaka sasahivi.
Sasa...
Hi Jf,
Mama yangu anasumbuliwa sana na miguu na pia ana Kisukari.
Tushampeleka baadhi ya Hospitali na baadhi ya dawa katumia lakini hazijamsaidia.
Naombeni msaada kwa ushauri wenu.
Nawashukuru
Ndugu zangu,
Poleni na majukumu na hongereni kwa ufanisi. Ikiwa kuna mtu mwenye tatizo la figo kushindwa kufanya kazi na ameanza huduma ya kusafisha damu au hajaanza, basi nina furaha...
Habari za wakati huu ndugu zangu,
Naomba mchango kwa kile ntakchokwenda kukiuliza.Namna yakupata hamu ya kufanya lile tendo (kugegedana)nina mambo yafutayo wataalam najua mpo mnaweza...
Habari wadau,
Jana nimepata wakati mgumu sana ambao sijawahi kushuhudia kabla, pale nilipofika nyumbani kwangu nikiwa salama salmini,lakini cha kushangaza hali ilibadilika ghafla na kuwa nusu...
Habari wanajukwaa.
Wengi watakuwa wameelewa maana halisi ya kichwa cha uzi huu. Hapo naamisha wanaofanya mapenzi kinyume cha maumbile. Kwanza nielezee madhara. Madhara ya kufanya ngono kwa mlango...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.