Wadau,
Naombeni ushauri wenu,
Mm ni Kijana wa 33yrs, nimefanyiwa upasuaji wa tumbo ikiwa ni pamoja na kuondolewa kidole tumbo,(Apendex) ila na utumbo ulikuwa na shida hivyo walinipasua kuanzia...
Jaman kunautafiti flan ambao na mi nimeufuatilia nimeona inawezekana unaukwer.
kua % kubwa ya wanawake wanaopata UTI ni wanajihusissha sana na Ngono kwa njia ya mdomo yaan
wanaita kuzamwa chumvin...
Kwa ufupi
Kumekuwepo na taarifa kuhusu uwezo wa mafuta ya nazi kutibu ugonjwa wa kusahau unaowakumba wazee uitwao ‘Alzheimer's disease' wakati huohuo ikiripotiwa kuwa baadhi ya dawa...
Jamani heshima kwenu wote! Naheshimu mawazo na ushauri wenu., nina sumbuliwa na tatizo la kupata maumivu makali wakati wa tendo la ndoa nikiwa ni mwanamke hali inayopelekea kutofurahia kabisa...
Habari doctors,
Kuna dawa nyingi ambazo mtu na hasa mtoto anapewa kama hana ile hamu ya kula na kigezo ikiwa ni minyoo...so anapewa dawa ili apate hamu ya chakula.
Swali langu ni,
Je hakuna dawa...
Nina tatizo la kuwasha ndani ya pua na kuchubuka.
Pua zangu huwa kavu ndani bila unyevunyevu, hali inayopelekea kuwasha na kusababisha nitumie vidole kujikwangua na kusabisha kujichubua...
Heshima kwenu wakuu.
Mimi ni kijana mwanaume ambaye nina miaka 2 toka nianze kazi.
Lakini nilioanza nao kazi wametoka mashavu balaa ila mimi ndo kwanza nazidi kupungua wakati nakula vizuri ila...
jamani mnisaidie nina tatizo la kusikia njaa yani nikila saa 3 asubuhi breakfast,saa 8 mchana lazima nisikie njaa nikila lunch basi saa mbili usiku lazima njaa iume tena jamani nisaidieni
Wakulu wa jukwaa hili eti kwa mfano umezaa na mdada halafu wewe ni group A+ wakati la mama yake ni A+ vipi ikiwa mtoto katoka na group O+ inawezekana kibaologia au ndio nimebambikiwa mtoto sio...
Wadau nakuja jukwaani hapa kuomba msaada mmoja tu,napenda kujua je ni muda gani unaruhusiwa kupata alcohol baada ya kunywa dawa ya malaria aina ya ekelfin,kuna mdau ameniambia kua ni 200...
Jana wakati nasafiri kuelekea mwanza tulifika maeneo ya usagala tukakuta kuna kundi kubwa la watu,watu hao walikuwa wanashangaa tukio la wafungwa walio ruka kutoka katika gari la polisi mmoja...
Habari wana JF,
Kwa mwanamke ambaye hajawai kupata mimba kabisa,siku zake za hedhi hazina mpangilio maalumu na amegundulika kitaalamu ana Polysistic ovarian syndome(vivimbe vidogo vidogo kwenye...
Habarini wapendwa!
Anaitwa Dokta Cosan anatoa tiba kwa wanaosumbuliwa na matatizo yafuatayo.
1) Nguvu za kiume
2) Ngiri
3) Kisukari
4) Fangasi na mwasho sehemu za siri
5) Kushindwa kuzaa kwa...
Habari za asubuhi wapendwa.
Kuna mtoto wa jamaa yangu ameugua kama wiki tatu hivi, vipimo vilionesha ana uvimbe kwenye ubongo.
Hivo anatakiwa aende India kwa matibabu, siku walioanza kufanya...
Habarin wapendwa,
Nauza pedi zilizotengenezwa kwa mimea asili na ni dawa kwa wenye matatizo sehemu za siri.
Mfano mwasho,fangasi,kutoziona siku zako n.k.
Nakuletea popote pale ulipo.
Nitafute...
Kwanza mniwie radhi kwa Title yangu namna nilivyo iweka hapo juu.
Nikwamba mie nina Ndoo na gereni(Mke&kimada) ila nimekuwa nikisumbuliwa na tatizo, mara kwa mara ninapo lala huota ndoto kuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.