Wadau wa hapa nisaidieni cha kufanya mwanangu ana mwaka na miezi saba lakini hawezi zungumza au kutembea na anatambaa na matako yaani anasota na nimemmpeleka kwenye mazoezi toka mwaka jana na kwa...
The first thing that happens when you die is that your heart stops beating and blood flow ceases. Blood then pools in the parts of your body closest to the ground, a process called lividity...
We're all created equal; we were all conceived as females FIRST
Binadamu wote inapotungwa Mimba basi mwili huwa ni wa kike kuanzia mimba ya mwezi mmoja.. kuhusu jinsia ya kiume hutokea pale tu...
Tahadhali inatolewa kwa wote wanaotumia condomu kuwa, utafiti umefanywa na umethibitisha kuwa ukitumia condomu kwa muda mrefu wanaume watakosa nguvu za kiume na hii imepelekea vijana wengi kutumia...
Wataalam naomba mnipe ujuz! Kulingana na hali ya hewa nliamua kununua Africafee sasa leo asubuh baada ya kunywa kama ilivyo kwaida mama hakuwa ametoka. Hivyo mida ya kama sa nne nikaamua kula...
Je una shida ya:
:sick: Uume kushindwa kusimama,
:sick:Unasimama unalegea,
:sick:Unaingia na kuteleza teleza ovyo,
:sick:Unasugua na kumwaga haraka haraka,
:sick:ukisha fanya mara 1 unachoka...
Faida 10 za kiafya za Mayai
Mayai ni moja ya vyakula vichache ambavyo naweza kuviweka katika kundi la vyakula ‘bora zaidi' kuliko vyote.
Mayai yamejaa viinilishe mhimu na vingi kati ya...
Diane Kelly, a comparative biologist that studies anatomy, shares that there are basic facts about the human body that were still learning.During her talk at TEDMED, Kelly delved into how a...
Wanajamvi ninaomba msaada wenu katika hili.
Mimi nina tatizo moja nikianza kufanya mapenzi uume haulali kabisa hata kama ni usiku mzima hadi asubuhi, wasichana wananikimbia sasa.
Nikikutana naye...
Wakuu katika jukwaa hili, salaam.
Nakuja kwenu kuomba ushauri juu ya matumizi mazuri ya kilevi (WISKY) hasa aina ya GRANTS.
Nikili kabisa kuwa mimi si mtumiaji wa pombe, lakini kwa sababu...
Habari zenu,
Naomba kujuzwa jamani,
Mimi sina matatizo ya macho ila nilitamani kuvaa miwani za kawaida tu {zab kununua kwa machinga}. Ila tatizo linakuja, kwanini kila miwani...
Mtoto ana miezi mitatu na nahitaji kwenda kazini ni kipi cha kuanzá kumpa kati maziwa ya ng'ombe, uji wa dona nk.
Naomba wenye uzoefu nimwenzishie lishe gani ili asidhurike tumbo.
Habari za leo wanaJF.
Mimi ni mzazi na mtoto wangu ana umri wa mwaka mmoja, ningependa kujua nimpe vyakula/ lishe ya aina gani mwanangu ili apate kurefuka kwa harakaharaka na kupata mwili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.