Nina shangaa kuna jirani yangu alikuwa na VVU miaka mitano imepita akawa bado hajaanza kutumia dawa kwa kuwa CD4 hazijashuka.
Ila cha kutushangaza ni kwamba kapimwa na madaktari kuangalia kama...
Habari za asubuhi,
Ni kwamba niko ugenini pande za wasukuma huku vijijini Kilimatinde ndani kabisa,sasa katika kuamka asubuhi imeandaliwa breakfast ya maboga na maziwa ya mgando.
Sasa katika...
Tatizo la Unene Uliopitiliza (Obesity)
Tatizo hili la unene uliopitiliza kuliko inavyohitajika kiafya huwa linaletwa na kuongezeka kwa
kiwango cha mafuta mwilini. Njia rahisi na inayokubalika...
Habari za Jumatatu ndugu zangu,
Siku tano zilizopita Mungu alinijaalia mtoto wa kiume. Sasa kuna baadhi ya watu wameniambia kuwa, kitivu cha mtoto kikidondokea kwenye uume wake mtoto anakuwa si...
Habari wakuu,
Naomba kujua madhara ya kunyoa ndevu kwa kutumia magic powder.
Maana leo nilingia saloon moja kinyozi akaniambia magic powder ipo lakini kuna mteja mwingine alibishana sana na...
Habari zenu wanajamvi,
Mpaka naandika hapa kuhusu hili tatizo nililonalo la kuanguka na kupoteza fahamu ambalo lilinitokea kwa mara ya kwanza mwaka 2013 nikiwa na miaka 30.
Nilianguka ghafla tu...
Habarini ndugu, rafiki na jamaa zangu wa humu?
Nina swali la kupewa ufumbuzi kimsaada zaidi. Hii itawahusu wazazi wote na wataalamu wa maswala la watoto wachanga.
Stori inaanza hivi; Ni...
Jamani mtu anaweza kufanya mapenzi na mwanamke mwenye UKIMWI kama mara tano asipate?Baada ya kugundua mwanamke kaathirika alienda kupima ila alikutwa negative?
Pia nauliza tena kuambukizwa...
Leo ktk maswali na majibu juu ya suala la Upungufu wa kinga mwilini,daktari wa kipindi cha radio hiyo aliulizwa,je,mtu mwenye virusi akishiriki tendo la ndoa na mwenza asie na virusi anaweza...
​ Leo ktk maswali na majibu juu ya suala la Upungufu wa kinga mwilini katika kipindi cha radio moja,daktari wa kipindi cha radio hiyo aliulizwa,je,mtu mwenye virusi akishiriki tendo la ndoa...
Wana JF naomba kuuliza ni wapi hapa Dar es Salaam hospitali nzuri kwa ajili ya huduma za kliniki kwa wanawake wajawazito ... nilikuwa na mpango wa kwenda Marie Stopes lakini naambiwa sio wazuri...
Amani iwe kwenu,
Naomba mnujuze kuna uhusiano gani kati ya wasiwasi au hofu na kuanza kuuma kwa tumbo? Kwanini nimeuliza hivi, Ni mara nyingi hii hali hunikuta .
Pia hata ndugu zangu huwakuta...
Msaada tafadhali,
Je, kuna madhara yeyote ya chumvi kwa mtoto anayenyonya, mwenye umri chini ya miez 6? Hii nimeikuta Ugweno hukoo, mama alojifungua anapewa chakula cha bila chumvi anaambiwa...
Habari zenu wakuu,
Naomba kusaidiwa katika hili,niko kwenye dozi ya clomid, lakini kila nikimeza dawa hizi nahisi maumivu katika mguu wangu wa kulia kwa chini,yaani kile cha kukanyagia,je kuna...
Mimi nina mtoto wa miezi 10 sasa, niliachana na aliyenipa ujauzito nikiwa na mimba ya miezi 2 mwaka jana mwezi wa 2, na tangu mwaka jana nilikua sijakutana kimwili na mwanaume yoyote yaani nimekaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.