Jamani eeh,
Sina fedha wala dhahabu ya kuwapeni wenye tatizo la upungufu wa damu kama vile wagonjwa na wanawake wenye ujauzito, ila nilicho nacho leo nawapa. Niwapacho ni maarifa ya kutengeneza...
Natanguliza heshima ya pekee kwa forum hii ya kada ya afya ya uganga(doctor),
Ni dhahiri jamii inanufaika kwa hili pamoja na yoote napenda kuchukua fursa hii kuwa introduce kada ambayo pia ni ya...
Habari zenu wataalam wa afya...
Naandika uzi huu kuomba ushauri wa tiba kuhusiana na tatizo linalonisumbua. Mimi nasumbuliwa na viupele vidogo vidogo kwenye ngozi ya juu inayofunika jicho...
Poleni na heka heka za siasa.
Sasa tukirudi kwenye mada zetu zisizohusiana na siasa, ningependa kujua kuwa kungu zina effects gani kwenye macho. Ninachojua mboga za majani na carrots zinaongeza...
Nitaeleza namna ambavyo watu wanene wanavyoweza kupunguza uzito na kuendelea kuwa na uzito unaoendana na urefu wa miili yao (Body Mass Index – BMI). Kabla sijaeleza mambo muhimu ya...
Linaweza kuonekana swali la kipuuzi ila kwawasaikolojia na great thinkers wanatambua. Leo nikiwa hospitali, kuna mgonjwa mwenye umri wa zaidi ya mika 55 alilia kwa maumivu makali. Hata hivyo...
Habarini Wana Jukwaa,
Mimi nina mke wangu alijifungua kwa upasuaji 0ktoba mwaka jana, sasa kuanzia mwezi Mei mwaka huu alipata siku zake ila imetokea ghafla hajaziona! Hapo kuna nini...
whitening creams cause the negative health effects associated with them, ranging from white spots and acne to cancer.
If applied liberally, the cosmetics can also cause high blood pressure and...
Za asubuhi wakuu.
Hivi bima inayotolewa na NHIF ambayo sio green card ninaweza kutumia kupata huduma ya X-ray na ultrasound?
Na kama haiwezekani, ni bei gani?
Kwa wale wenye vitambi. Kuna mkanda wa tumbo unaitwa Hotbelt.
Huu mkanda ni mwisho wa matatizo
Nicheki whats app 0786371108 kwa maelezo zaidi
Bei yake ni shilingi 50,000 tuu
Habari ya muda huu wanajukwaa.
Nina tatizo la kiungulia, kinanisumbua sana, sasa kina muda mrefu, yaani leo kipo kesho hakipo au kinafululiza. Mara nyingi kinakuja usiku muda wa kulala...
Ndugu wana jf nimekuwa nikisumbuliwa na maumivu kwenye joints za miguu na mikono nilivyopima nikaambiwa nina ugonjwa unaoitwa rhematoid arthritis na nikaambiwa kuwa ugonjwa huu hauna tiba na sasa...
Habari wana JamiiForums,
Nikiwa kama kijana, mara nyingi zaidi ninapokuwa na Wifi/Shem wenu huwa hata akifanyaje huwa nachelewa kukojoa (kupiz) bao.
Naomba mwenye ufahamu ya hali hii.
Nina umri wa miaka 30, nimezaa mara mbili ila nina mtoto mmoja wa miaka 10, mwingine amefariki. Tatizo nililonalo ni kutopata ujauzito. Napata hedhi kwa mzunguko wa kawaida ila naweza nikaingia...
Habari.Non-tongue roller ni mtu asieweza kukunja ulimi wake kutengeneza duara.Katika pita pita zangu, kusikiliza redioni, na kuangalia kwenye tv, nimegundua, kunaidadi kubwa ya watanzania vijana...
Wakuu,
Nimeamua kuomba ushauri baada ya kusumbuliwa na magonjwa kwa muda wa zaidi miaka 30 sasa. Tangu nianze kujitambua, sijawahi kaa zaidi ya mwezi bila mwili wangu kuwa na maumivu sehemu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.