Wanajamvi,
Naishi katika nyumba ya kupanga na tumepanga familia tano mwenye nyumba anaishi mbali,alianza mpangaji mmoja kuugua miguu.
Yaani inauma kama inachomwa moto, baada ya wiki mbili...
Nimekuwa napata shida sana wakati wa usiku ninapokuwa naendesha gari barabarani, yaani nikipigwa taa na gari mbili tu basi naona maluweluwe tu, nalazimika kuwasha full light hadi mjini hivyo kuwa...
Kuna uhusiano mkubwa sana kati ya UNENE wa mwili na mtu kuwa mchafu (jasho, kutokujitawaza vizuri & kula kula ovyo). Chunguza wadada wengi wanene (hasa wenye wezere/ mzigo mkubwa) wengi wao ni...
Herbs For High Blood Pressure
Blood pressure is the pressure on the walls of blood vessels, exerted by the blood as it is pumped through them. The modern lifestyle and stress has lead...
tafathali sana naombeni msaada wenu, mimi huwa sina hamu ya kula na mara nyingi huwa nasikia tumbo limejaa, asubuhi nasikia uchovu sana na tumbo linakuwa linauma ila nikiamka tu linatulia
Wana JF,
Kwa wale wenye matatizo ya meno, kuna dawa ya meno inayotibu kabisa na kuimalisha meno yako bila kung`oa. Ni dawa iliyotengenezwa kwa mmea wa shubiri na kuchanganywa na asali. Inasaidia...
WanaJF,
Naombeni kufahamu au kuelekezwa nitakapo mpeleka Mtoto wangu Kwa ajili ya matibabu ya sikio kwa sababu nina watoto mapacha wa kike na kiume.
Kilichofanyika wa kiume kachukua kijiti na...
Naombeni mnielekeze dawa. Ulimi wangu umechubuka na umetoka vipele kwa ndani karibu na koo.. Hii imetokana na kuwa nina tabia ya kumpiga deki mpenzi wangu, ni kama miezi 6 mfululizo sasa...
Habari wapendwa mm ni mama nina mtoto mmoja sasa nilipobeba mimba nilipata sana taabu sababu nilikuwa natema sana mate pia nimetema mate mpaka Siku ya kujifungua sasa naomba km kuna yeyote...
Jamani mimi nina matatizo tena makubwa sana lakini nadhani kupitia jamii nitafanikiwa. Mimi bwana nina UUME mdogo,lakini ninadisa vizuri tatizo nikipizi maramija ninashindwa kurudia hadi baada ya...
Jamani mi nina shida moja ambayo ningeomba wanajamvi wenzangu kama kuna mwenye ufahamu anisaidie
nina mtoto mmoja ambaye ana umri wa miaka minne now, matiti yangu ni madogo kiasi ila mwonekano wa...
Huwa nikimaliza kuoga uso unapauka na kuwa kama msukule yaani ukiniona lazima ucheke.
Hata nikipaka mafuta nakuwa kama sijapaka bado nimepauka mpaka ipite muda ndio nakuwa kawaida, na unga...
Tafadhali naombeni msaada,
Kwa mtu yeyote anayejua tiba ya mtu anayependa kula magodolo.Ninaye ndugu yangu mwenye tatizo hilo na imekuwa vigumu kwake kuacha kiasi kwamba inatishia uhai wake...
Brain enhancing 'modafinil' is the world's first safe "smart drug" according to researchers at Oxford University and Harvard Medical School, who confirmed it really does enhance mental...
Habarini ndugu zangu,
Mimi nina mimba ya mwezi mmoja lakin kuna utofaut niliona,nilianza kuumwa sana tumbo gafla afu damu zikaanza kunitoka.
Lakini nikaulza nilijibiwa ni kawaida damu inaeza...
Tusime herbal.
Wanajamii forums, ninapenda kujua kama kuna walio interested au wana uitaji wa dawa hii,bibi yangu kanirithisha dawa ambayo Nafikiri kama angejua mapema angenufaika nayo ila sasa...
Habar jamvini, mimi tatizo langu kubwa ni cna hisia kabisaaa za kudo, hta tukicheza cheza dakika mbili hisia zinatoweka nabaki empty. Hii shida inanitesa nilienda kwa gyno mmoja akaniambia...
Can taking Viagra make you go deaf? Hundreds of cases of hearing loss reported among users
It may help you reach the heights of passion, but Viagra could stop you enjoying the pillow talk...
Grafu hapo juu inaelezea, wanawake walio kwenye ndoa kuanzia umri wa miaka 15-49 na matumizi ya njia za kisasa za Uzazi wa Mpango. Grafu hii inaonyesha kwa Tanzania asilimia zinaongezeka japokuwa...
Cholera is an infectious disease that causes severe watery diarrhoea, which can lead to dehydration and even death if untreated. It is caused by eating food or drinking water contaminated with a...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.