Tusime herbal
Wanajamii forum ninapenda kujua kama kuna walio interested au wana uitaji wa dawa hii,bibi yangu kanirithisha dawa ambayo Nafikiri kama angejua mapema umuhimu wake kwa siku hizi...
Wakuu,
Ninaomba kujuzwa namna ya kumuondoa huyu mdudu aina ya KONOKONO kwenye mazingira ya nyumba yangu, hali ya hewa ya jiji la Arusha ni baridi na hata wakati wa kiangazi unaweza kuta mvua...
Habarini wadau,
Mimi ni kijana mwenye miaka 22 tatizo langu nasumbuliwa sana na kutekwa na janga hili la kuangalia picha za ngono na kupiga sana punyeto naweza kwenda hata mara 6 kwa siku na huu...
Habari zenu wakuu?
Mimi ni kijana niliyekulia na kusoma katika mazingira ya dini na maadili,mimi toka nasoma najua sigara ni hatari kwa afya na matangazo na vitu nilivosoma kuhusu ubaya wa...
Wakuu nina tatizo la sugu za visigino ambalo nililitoa kwenye maboot ya jeshini mwaka juzi. Sasa mpaka leo hazijakwisha na zinanitesa sana maana zinaniharibia viatu sana.
Naomba msaada.
Medical staff have lots of odd stories – not least from those working in sexual health clinics.
And this early experience of a sexual health case from then-student nurse, Poppy Ward...
Mimi ni kijana wa umri wa miaka 24, niliwahi kucheza rafu na msichana mmoja nikampa ujauzito tukafikishana mbali mpaka nikakabidhiwa niishi nae lakini baada ya ujauzito kufikisha miezi mitatu...
Wapendwa amani iwe kwenu. Samahani nimetoka kuongea na rafiki yangu muda mfupi uliopita akanieleza jinsi ***** anavyoumwa,analalamika mwili kuwaka moto kama mtu anamuunguza na kaa la moto, hiyo...
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 23 Nina mke mmoja ambaye ni mjamzito, Tatizo langu maisha yangu yamekuwa na mikosi au kivingine mazingaumbwe, kila napofanikiwa kidogo napata matatizo makubwa...
Wanajamvi toka nimejamiiana na mdada mmoja naona ute mweupe mzito unatoka kwenye uume na wakati wa kukojoa mkojo unauma unapotoka.
Je ugonjwa gani na nitumie vidonge gani ili nipone, naomba msaada.
Habar za majukumu wakuu?
Nina tatizo la kuumwa mgongo hasa chini ya bega la kulia kidogo, pia mara nyingine nikiinama kwa muda mrefu kama nafua nikiamka mgongo wote unauma au sehemu ya chini...
*In collaboration with the Ministry of Health and Social Welfare and EngenderHealth, World Lung Foundation expands Thamini Uhai (Value Life) campaign to promote family planning*
(May 25 2015...
Wadau mimi nahitaji kuongezeka uzito, ila uzito wa afya usio na madhara. Nifanyeje?
Kuna jamaa wa forever living wanazo dawa za kuongeza uzito, kuna mtu anaexperience nazo?
Nipeni ushauri wadau
Habari za kazi wadau.
Naomba mnisaidie, mwanangu ana miezi kumi now lakini bado utosi wake unapiga.
Hili ni tatizo ama? na je nifanyeje ili utosi wake uache kupiga (ukaze)?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.