Habari zenu wakuu.
Ki afya siko vizuri kabisa toka juzi nilizidisha kilevi nikaenda kulala nimeamka jana kila nikipiga hatua miguu inauma hatari kwenye maeneo ya mapaja ndio usiseme hatua 5...
Nna tabia ya kubana mkojo for so long mpk nifike om ndo nikojoe,ss leo nimebana mpk nikasikia maumivu kwny kiuno na wakat mwingine nikibana mpk kibofu kinauma na nikikojoa machoz kwa mbaaaali...
Habari,
Mimi ni Kijana 25years .
Nina tatizo la kukosa usingizi takribani miaka mitatu sasa, Ninalala mapema saa nne usiku lakini usingizi nakuja kuupata saa kumi au saa tisa, hali ambayo...
What is the Difference Between a Sociopath, a Compulsive, a Pathological, a Chronic, and a Habitual Liar?
A Sociopath
A sociopath is typically defined as someone who lies incessantly to get...
Afya ni hazina kubwa katika nyanja zote muhimu.
Napenda tujadili afya huku tukilenga matatizo yanayomkumba kila mtu na kuyapatia ufumbuzi.
Karibuni kwa maswali.
Ushauri please,
Mimi na mpenzi wangu tupo kwenye mahusiano kwa miaka kama 2 sasa. Kwa zaidi ya mwaka nimekuwa na matatizo ya erection na kukosa hamu kabisa ya mapenzi.
Nashindwa kabisa...
MUHIMU KWA MUSTAKABALI WA AFYA YAKO SOMA !!!
Azam company ni kampuni inayorisha Watanzania na nchi nyingi kusini mwa jangwa la Sahara. Mzee wetu huyu amekuwa msaada mkubwa kwa Watanzania na nchi...
Habari wana JF.
Ndugu zangu kuna shida inamsumbua jirani yangu,nimeona niilete hapa jukwaani ili tuone namna yakumsaidia huyu binadamu mwenzetu.
Kuna familia moja (majirani zangu) walipata...
Ni ugali dona na samaki wa kukaanga kwa mafuta ya alizeti.Ni dozi ya kila siku asubuhi saa1.Binafsi situmii chai maana sijawahi kuipenda chai.Msaada tafadhali jee kuna madhala yoyote ntayapata...
Painful or even mildly uncomfortable sexual intercourse is usually the first sign for a woman that she may have a condition known as Vaginismus.
According to some women, the sensation can be...
Habr wapendwa, mimi nina swali kwenu madaktari wa JF.
Je naweza kutumia maziwa fresh kama chakula changu cha kila siku?yaani siku nzima natumia maziwa fresh,je nini faida yake? na madhara yake ni...
Wataalamu waeleza haya kwa uwazi ktk attachmentzangu hapo chini,ombi langu wanaojua lugha vizuri ya kiingereza wajaribu kutafsiri kwa manufaa ya wengi na jambo la kusikitisha hakuna madaktari...
Salaam kwenu.
Naombeni kujuzwa nina mwezi wa pili sasa TAYA yangu inapekecha nikiwa nakula na ni upande mmoja.
Nahisi alignment yake imepishana.
Msaada ni dawa gani au matibabu gani naweza pata.
TAMBUA VYAKULA VINAVYOSABABISHA UGONJWA WA SARATANI
UTAFITI mbalimbali uliokwishafanywa unaonyesha kuwa magonjwa mengi ya saratani (cancer) yanatokana na vyakula tunavyokula kila siku katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.