Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Hello wana JF. Nina kama miezi miwili na nusu au mitatu ninabanja sana mpaka aibu nitumie dawa gani?. 2.Ninavuta sigara aina ya SM nimejaribu pia kuacha nashindwa. Nisaidieni ushauri na...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Kutana na dozi ya kisukari inayoponya kisukari kwa siku tatu tu baada ya kuitumia. Doctor MWAYA anapatikana Songea. Anatoa hii dozi ya kisukari ambapo mgonjwa atapewa siku tatu za kutumia hii...
0 Reactions
18 Replies
8K Views
Kwa kuzingatia umuhimu wa lishe asilia mtu anaweza kumaliza tatizo lolote la kiafya na kuweza kuishi kwa amani na kwa kujiamini. Kuhusu kupungua uzito ni jambo muhimu sana la kuweza kujiweka sawa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Amezaliwa akiwa amebabuka kama vile ameungua. Hiyo inasababshwa na nini? Matibabu ni yapi? (Dawa)
0 Reactions
3 Replies
1K Views
habari wandug wana JF nina tatizo moja nikila maharage yaliyolala au yaliyoweka kwenye friji huwa nasikia kiungulia sana labda kama kuna mtu anayefahamu dawa yake huwa ni nini
0 Reactions
45 Replies
30K Views
Habari zenu wapendwa. Nina tatizo la kutokwa na hewa yenye sauti wakati wa kufanya tendo la ndoa na hii inatokezea kwa baadhi ya style. Naombeni mnisaidie kuondoa tatizo hili.
1 Reactions
36 Replies
15K Views
Habari wana jukwaa, Nimepata damu ya hedhi siku moja tu na kukata. Je, kuna tatizo lolote kiafya? Situmii njia yoyote ya uzazi wa mpango.
0 Reactions
41 Replies
10K Views
Je umepata hii? kumbe mtu aliye na tatizo la akili, kifafa na uzezeta anaweza kurudisha kumbukumbu? Hii ni ajabu! Huduma hii ipo kwaajili yako na jirani yako. Tuwasiliane 0763797853
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Jamani naomba msaada nimeingia na mdudu (mbu) kwenye sikio, msaada wana JF please. Nimejaribu kuweka maji then kuinamisha kichwa for couple of minutes but no hope. Nimejaribu kwa cotton buds...
0 Reactions
9 Replies
6K Views
Kimsingi sababu kubwa inayotupunguzia umri wa kuishi na kututengenezea magonjwa sugu ni tabia yetu ya kuthamini vitu vilivyotengenezwa na wanadamu badala ya vile tulivyowekewa na Muumba wetu. Mtu...
2 Reactions
13 Replies
3K Views
Wadau salama? Mimi naomba kuuliza kama kuna madhara yanayoweza kutokea kama mtu kwa makusudi au bahati mbaya atameza maji yaliyochanganyikana na dawa ya meno kwa muda mrefu kama mwaka mmoja...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Tuna mtoto wa mwaka 1 na miezi 9 wa kike,mke wangu anataka kumwachisha kunyonya mtoto wetu sasa hatujajua ipi ni njia bora ya kumwachisha.. Asante.
0 Reactions
24 Replies
55K Views
Wakuu hodi humu, Naomba kufahamu ni nini hasa kinasababisha wanawake (baadhi) kutokwa na ute mwingi sana wakati wa ku~do? Mimi ni Mvulana na kitu hiki huwa kinaniboa sana tunapo~do kwani huwa...
0 Reactions
10 Replies
13K Views
Leo ktk sehemu yangu ya kazi kuna bint alikuwa analalamika kuwa matiti yake yanauma hasa ktk ncha...mwenzangu akasema lazma itakuwa mimba, mwingne jipu. Lakini nimebaki na maswali je kuwa na mimba...
0 Reactions
28 Replies
57K Views
Mimi nawaomba tusaidiane kuishauri serikali kutafuta ufumbuzi wa Ugonjwa wa presha zaidi kwani unaua wengi, huu ni sawa na UKIMWI hebu wataalamu kuna dawa ya shinikizo la damu? Je, mtu akishapata...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Heshima yenu nawapa, naimani mko salama nmejitokeza kwenu nikiwa na tatizo ambalo mwanzo nliona ni kawaida tu ila sasa limenizidia, nimekuwa nikiumwa sehemu nzima ya kisogo pale ninapoegemea...
0 Reactions
3 Replies
21K Views
Habari, Niko katika harakati za kutaka kumsaidia matibabu girlfriand wangu,anasumbuliwa na infection katika kizazi ingawa haijajulikana wazi ni ipi hasa sasa kuna suggestion imetolewa kwamba...
0 Reactions
7 Replies
5K Views
Dada yangu mwenye umri wa miaka 20 anatumia madawa ya kulevya, nahitaji kuelekezwa mahali au namna ya kuacha tabia hii. Nahitaji msaada.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wanandugu, habarini za jioni? Ninataka kufahamu kwamba eti mtoto akianza kutembea basi anaharisha. Je ni kweli kuna uhusiano wowote kati ya mtoto kuanza kutembea na kuharisha kwake. Mwenye...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Mh wadau kitu kiitwacho nyeto, si kizuri yani acha kabisa, kwani madhara yake ni makubwa, ikiwemo kupungukiwa na nguvu za kiume yaani mashine inapoteza uwezo wa kusimama imara, cuz misuli Imelegea...
0 Reactions
8 Replies
5K Views
Back
Top Bottom