Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Wakuu heshima kwenu. Kuna jamaa wangu anasumbuliwa na tatizo la vipele usawa wa taya na vinamuwasha sana. Ni mwaka wa 12 ameshaenda hospitali nyingi bila mafanikio. Pia kifuani kalianza kakipele...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habar wadau,,umri wangu miaka 20 UUME Wangu ni sentimita 19 (Inch 8.5) sasa kuna muda znanijia hisia za kusex UUME Wangu husimama kwa muda mrefu (zaid ya dk 30) bila kusinyaa ila huwa nakoxa demu...
0 Reactions
41 Replies
14K Views
Bwana yesu asifiwe. niko njiani porini na pari binafsi. joto la mwili limepanda nimeshindwa kudrive
1 Reactions
0 Replies
5K Views
Addyi (pronounced ADD-ee), a.k.a Flibanserin a.k.a “Little Pink Viagra” has been approved by US Food and Drug Administration (FDA). Addyi is designed to help women regain their sex drive by...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Siku zote pedi inatakiwa iwe na uwezo wa kupitisha hewa pande zote yani mbele na nyuma. Pedi hizi zina technologia ambayo ina uwezo wa kuua bacteria waharibifu wa uke na kuwaacha wanaotakiwa...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Miguu ya wenzetu wengine kuwa na kreki za asili a.k.a Magaga? Naomba mnaojua tafadhali mnisaidie kwani kuna mtu mimekaribisha kwangu kaja na ndala zake akawa amekunja nne katika kochi bahati...
0 Reactions
5 Replies
8K Views
Kwa wale wajuzi wa mambo, Ni vyakula gani vinasababisha tumbo kuuma na wakati mwingine kuharisha kabisa ukiwa safarini na hasa safari ndefu za magari? Manake hii kitu huwa ni balaa, ukiwa...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Za saa hizi ndugu zangu. Leo nilienda hospitali na kaka yangu kumsindikiza kupigwa ultrasound. Baada ya vipimo kumalizika akakutwa na jiwe kwenye kibofu cha mkojo la 0.72mm. Amepewe cystones...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Ulana herbal products: Tunatibu magonjwa sugu, malaria, presha, matatizo ya tumbo la uzazi, Pumu, vidonda vya tumbo. Unaweza kuingia kwenye page yetu ya instragram ulana herbal products au...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wanajamvi anayejua what can i do to make myself vomit yaani ikiwezekana within ten minutes niwe nimetapika. Please naombeni msaada.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nimejikuta hili tatizo linaongezeka tu. Yaani nikiwa nimelala napaliwa na mate kaisi kwamba nashindwa kupumua kabisa! as if nakata network baada ya hapo itanichukua muda sana hadi kuja kutulia na...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari! Naomba kuuliza, eti mwanamke ambaye hana kizazi anaweza kupata menstrual period, akableed?
0 Reactions
2 Replies
5K Views
Wakuu, Nimepata kibarua kizuri cha kumnyoa msichana wangu sehemu nyeti , Huyu mdada hawezi hata kushika wembe kukata kucha zake and so mdada huyo ajawahi kunyoa maeneo hayo toka nywle zianze...
0 Reactions
52 Replies
17K Views
Mwenzenu nahitaji ushauri. Kwa muda muda mrefu nimekuwa nikisumbuliwa na tatizo la wakati wa tendo la ndoa, baada ya kupiga bao moja huwa nakuwa hoi kabisa. Kama nikitaka la pili lazima niuze...
0 Reactions
95 Replies
26K Views
Wakuu, nimesikia sanaaa, Dawa za kukuza... Napenda kuuliza Kuna dawa ya kupunguza ukubwa wa Muhogo wa Jang'ombe?
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Wakuu habari za asubuhi, Poleni na majukumu ya hapa na pale, nimekuwa nikipata ndoto za ajabu sana za kutisha hasa kila nikiwa mjamzito. Tafadhali wenye kuelewa naomba kufahamishwa, mara niko...
0 Reactions
5 Replies
12K Views
TB + HIV+ = HIV TB + HIV- = TB Amka, chukua hatua.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nina rafiki yangu wa karibu anaishi na mwanamke mwaka wa 4 hawajafanikiwa kupata mtoto na huyu mwanamke, ila kipindi cha nyuma kabla hajaishi nae alimpa mwanamke mwingine mimba na kabla hajaishi...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Rafiki yangu wa kribu sana na tunafanya naye kazi ana tatizo kubwa sana la kusinzia hovyo. Hili tatizo limekuwa linamkosesha raha sana kwani akishapanda kwenye basi tu, say Mwenge kuelekea Posta...
0 Reactions
16 Replies
29K Views
Kati ya Spirit, Iodine tincture na limao; nitumie dawa ipi hapa? Nimekanyaga wembe umenikata mguuni.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom