Hapa kwa Mahuki Msamala Songea pana clinic ya mazoezi kutoka kampuni ya CERAGEM. Pameandikwa Nazareti clinic.Ambapo wanakulaza chali kitandani na hicho kitanda kinakunyosha kiuno, mgongo, miguu...
Beyond Jewish literature and the Christian religion, Israel as a nation has another contribution to humanity, it is the mustard seed which is now used extensively for healing purposes.
The...
Mimi ni mwanamke mwenye umri wa miaka 28, nimeolewa na nina mwaka sasa ila sijashika mimba. Ninahitaji kupata mtoto.
Nimekwenda kupima nikaambiwa nina fangasi kwenye njia ya uzazi na cyst kwenye...
Wana Jf,
Mimi nilienda kupima, nikakutwa nina Typhoid, nikaandikiwa dawa nikaenda kununua cpro vidonge 20 nikatumia kwa muda wa siku 10, baada ya kumaliza doz, sikupata matokeo mazuri.
Yaan...
Habari wana Jamii forums,
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 20, tatizo langu kubwa ninasumbuliwa na maumivu ya mgongo pamoja na uti wa mgongo kwa takribani miaka 3 sasa, nilishawahi kutumia...
HABARI WANA JF
Mimi ni kijana wa miaka 19 nasumbuliwa na kuumwa na kichwa, kinauma sana sana na kinabana kwa zaidi ya miaka 2 sasa. Kikiuma hakielewi A wala B, nimekwenda hospitali bila kupata...
Habari za maandalizi ya Eid wadau wa JF Doctor? straight to the point, mie na mke wangu tunatumia njia ya uzazi wa mpango ya kalenda. Sasa safari hii hajaziona siku zake yapata mwezi sasa...
Juzi nilikua nasumbuliwa na tumbo ambapo lilikua lina uma upande wa kushoto na kulia hivyo daktari akaagiza nipigwe utra-sound ambapo utra-sound hiyo ilionesha kuwa nina ENDOMESTRITIS ambapo...
wakuu kipindi kilichopita meno yangu ya mbele yalikuwa na weusi flani ivi pembezoni mwa jino la kwanza na lapili,ikabidi nizibe hospitali basi nikamua kuziba sasa kila yakibomoka naziba yapata...
Israeli researchers have discovered that cannabis can be effectively used in healing broken bones and maybe other skeletal illnesses.
Scientists from the Tel Aviv University revealed that...
Ndugu zangu naombeni msaada kwa anayejua dawa za asili kwa ajili ya homoni au mahala inapouzwa maana nna tatizo la siku zangu kutokua na mpandilio mzuri na hospitali wameniambia nna tatizo la...
Habari za sikukuu wakuu naomba mnisaide hata ushaur nahitaji mtot ila tatzo nimeambiwa tatizo homon hazijabalance na mirija imeziba nahitaji kujua sehem nzur ya tiba ya kienjeji au hospital...
Wana JF,
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 22 na mnamo 11/12/2012 nilipata ajari ya kuangukiwa na kitu kizito pajani karibu na goti na nilipopelekwa hospitali walinipatia dawa za kutumia tu na...
Dawa hizo za vidonge ziko kwenye maduka mengi ya madawa. Ukienda famasi ukasema unahitaji vidonge vya fansida aina ya "ROCHE" ambalo ndilo jina na brand ya dawa hiyo, basi muuzaji atakuletea hayo...
Asalam Aleykum..
Uvutaji wa Sigara endapo utazingatiwa kwa kipimo maalumu unaweza kuleta matokeo chanya zidi ya magonjwa mbalimbali pamoja na kinga.
Yafuatayo na magonjwa yanayoweza kutibiwa au...
Peanuts pack a serious nutritional punch and offer a variety of health benefits. Here is a breakdown of all those nutritional and health benefits according to whfoods.com .
1.They are good for...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.