Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Habari zenu jamani, Mimi ninarafiki yangu anatafuta mtoto tangu mwaka jana hapati, yeye na mumewe wapo tayari kuzaa ila ndo mimba haishiki. Huko nyuma aliwahi kutumia njia za uzazi wa mpango za...
0 Reactions
24 Replies
12K Views
Doctor steam ya pombe ina nisumbua sasa ni miezi 7 akili yangu naisi aiko sawa naitaji msaada wako.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu heading inajieleza. Je kuna madhara makubwa kiasi gani, nimpe huduma gani ya kwanza?
0 Reactions
33 Replies
11K Views
Habarini wadau, Poleni na majukumu nipo hapa kuuliza je msichana anaweza kupoteza usichana wake bikra bila ya kutokwa na Damu kwa mara ya kwanza baaada ya kufanya mapenzi. Lets assume kwamba...
0 Reactions
62 Replies
51K Views
/
0 Reactions
0 Replies
919 Views
Je wewe ni mwanamke mwenye tatizo la kushika mimba, Kupata hedhi kusikotarajiwa? Pata dawa mpya yenye tiba ya Asili FEMININE HERBAL COMPLEX, Kwa maelezo zaidi Nipigie 0719 252523
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Je unajua kuna ugonjwa ambao tiba yake ni kula kinyesi? NDIO unakula mavi yaani choo cha binadamu. Ugonjwa huo unaitwa ulcerative colitis unasababishwa na bacteria C.difficile. Ni ugonjwa ambao...
0 Reactions
15 Replies
7K Views
Nilisaga unga wa mbegu za mlonge. Nikaweka kijiko kimoja kwenye chai siku ya kwanza, tumbo langu harikua poa siku hyo niliarish kidogo. Siku iliyofuata ikawa hvyo hvyo. Sasa ndo nilikua natoa...
0 Reactions
5 Replies
14K Views
Je una tatizo la mifupa kuuma? au ukosefu wa madini mwilini? Pata Madini Asili ya Calcium na Magnesium. Kwa maelezo zaidi Tuwasiliane 0719 252523
0 Reactions
1 Replies
3K Views
habar zenu wakuu, naomba kujua madhara ya kung'oa ndevu kwa mkono? naomba kufaamishwa
0 Reactions
2 Replies
8K Views
Jambo wadau! Umri wangu miaka 20 but kila nkikutana na msichana kuongea nae mazungumzo ya kawaida tu uume wangu husimama fasta na kutoa majimaji mpaka nalowesha boxer yangu. Je hili ni tatizo au...
2 Reactions
29 Replies
9K Views
Group gani la damu ni salama kati ya group A-. Group A+.Group AB+..Group AB-B+ B- and 0
1 Reactions
38 Replies
8K Views
Natumaini wote ni wazima wa afya napenda mnijuze kwa mapana juu ya blood groups tofauti ya group moja na nyingine ni nini? na je kila kila group ina tabia gani faida na hasara zake, naomba...
0 Reactions
37 Replies
10K Views
Binadamu tunatumia pesa nyingi sana kutunza makucha yetu, bila kuzingatia ya kwamba hamna kitu chochote kile utakacho nunua chenye kufanya makucha yako yakue haraka na kuwa imara. Makucha yana...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
kwa muda gani kirusi cha ukimwi kinaweza ishi nje ya mwili wa binadamu?
0 Reactions
2 Replies
11K Views
Je, unaweza pata UKIMWI kwa kushika Kondomu iliyotumika na mtu aliyekuwa na ugonjwa wa UKIMWI bila kuvaa gloves au precaution yeyote?
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Unajua jinsi ya kuhesabu mateke ya mtoto tumboni? Kila mwanamke mjamzito anapaswa kujua jinsi ya kuhesabu idadi ya mateke ya mtoto wake. Mtoto mwenye afya nzuri HUCHEZA; hujinyoosha, hupiga...
1 Reactions
1 Replies
18K Views
Rejea kichwa habari, Imeanza ghafla kadiri muda unavyozidi kwenda najihisi kichwa kizito na kifua kinabana. Siwezi hata kuinama. Nashukuru.
0 Reactions
20 Replies
4K Views
Samahani wadau, Hivi kuna mtu amewahi kutumia mafuta ya kuotesha nywele kwenye kipara na yakamsaidia kweli au ni uongo tu wa hawa watu ili wajiingizie kipato, tafadhali kama kuna mdau amewahi...
0 Reactions
24 Replies
5K Views
Sijaelewa ni saikolijia au nini, imeanza kunitokea tokea wiki iliyopita..kila nikifika nyumbani kwangu tokea ofisini kuna kitu kinakuwa kama kinaingia kichwani, kinakamata kichwa na baadae kichwa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Back
Top Bottom