Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Mambo vipi wanajamii, Mi mwenzenu nasumbuliwa na malaria mara kwa mara na haya madawa ya hospital hayanisaidii,kifupi huwa siponi kiasi kwamba najua itakuwa ndo hiyo malaria sugu.sasa kama...
0 Reactions
19 Replies
4K Views
Naomba kuuliza wadau agakhan hospital wanatibu kwa bima ya afya ya green ya NHIF na kumwona Specialist pale ni kiasi gani?
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Nimekuwa mgonjwa kuanzia mwaka 1994 ambapo mpaka sasa nina miaka 19 nikiwa mgonjwa. Dalili za tatizo langu ni hizi: 1. moyo kwenda mbio na kutokwa jasho kiasi cha kukosa hata usingizi, 2. Mwili...
4 Reactions
47 Replies
18K Views
Malaria sasa naona haitibika maana watu wengi sana hata wakinywa hizi dawa za Metakalfin, Arinet lakini baada ya wiki malaria iko palepale. Niliwahi kumuuliza Dokta mmoja aliniambia mara nyingi...
0 Reactions
320 Replies
103K Views
ni vipele visivyo na kitu ndani ila vigumu vinazidi kututumka na kusambaa vipianza kifuani shingoni sasa hadi usoni nimeenda hospital mara nyingi dawa nimetumia ila hazisaidii msaada wenu jamani...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Habari zenu, Natumai ni wazima, naomba kuwauliza wataalamu au mwenye uzoefu hivi inakuaje mwanamke mwenye mimba kuichukia harufu ya mumewe?
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Wasalaam wakuu, Nasikia kuwa mboga za majani aina ya "Chinese" zinapunguza mbegu za kiume. Kuna ukweli gani juu ya hili?
0 Reactions
2 Replies
11K Views
Sodas and other sugary drinks may cause up to 184,000 deaths a year worldwide, according to a study published Monday in the journal Circulation. Billed as a first, the report analyzed the global...
0 Reactions
1 Replies
999 Views
Habarini wana bodi Nimeleta mrejesho waungwana baada ya kufanya vipimo vya kutosha sasa naomba msaada tafadhari. Nimekuwa nikisumbuliwa na vichomi maeneo ya tumboni, kibofu na pumbu kuvuta ni...
0 Reactions
7 Replies
5K Views
Habari zenu wanaJF, Mimi ni kijana wa kiume ninayesumbuliwa na tatizo la kichefuchefu na hatimaye kutapika. Kila nikila nyama hiyo hali inanipata. Naombeni msaada wenu wakuu wa JF. Mungu...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
USIVUTE SIGARA Ni dhahiri kuwa sigara ina madhara kiafya, kwa ujumla wake watu wanashauriwa kuacha kutumia. Lakini inaelezwa kuwa madhara yake huongezeka mara kumi iwapo mvutaji atavuta mara baada...
1 Reactions
9 Replies
4K Views
Salam, Mwaka jana niliomba ushauri kwa tatizo la kukosa uzingizi. Watu wengi walinipa advice na mwishowe nikaupata. In fact nilipewa dawa ya kunywa kwa kusaidia hali yangu ya kawaida kurudi...
7 Reactions
122 Replies
11K Views
Wadau msaada katika hili, binti ana miaka mitatu toka amezaliwa, tatizo la vidonda kichwan kila nywele zinapoota kichwan. Nimehangaika na dawa na ushauri tofauti tofauti lakini mafanikio yamekuwa...
0 Reactions
6 Replies
6K Views
naomba wataalam wetu tusaidiane ktk hili..kuna huu ugonjwa unaitwa kleoid kama sijakosea ila nyie mnaujua zaidi..yaan kuna kuwa na vipele fulani ambavyo ni sugu na wengine huja kuwa ni uvimbe kbs...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Hii kitu imenishangaza sana na hii inadhihirisha sayansi bado ina safari ndefu.. Hivi majuzi huko UK mwanamke mmoja amekutwa na mimba mbili za wanaume wawili tofauti kwa wakati mmoja na amekiri...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Pid
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Unawezaje jizuia hamu ya kufanya ngono
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Salama ndugu zangu,leo nawaletea habari nzuri inayohusu afya zetu sisi sote. Ni kwa kipindi kirefu nimeona watu waki-post matatizo yao huku bila kupata suluhisho la matatizo yao. Lakini leo...
0 Reactions
14 Replies
7K Views
Jambo wadau Umri wangu ni miaka 20 tatzo langu uume wangu unasisimka na kupata hisia za kimapenz pale demu akiwa mbali na mm,but nikiwa naye karbu na nataka kufanya nae mapenz uume hausimami wala...
0 Reactions
16 Replies
7K Views
Jaman ni wk sasa toka nijkate kdole na bati, baada ya kwenda hospital nilishonwa nyuzi na kuwekewa dawa.tatizo lina kuja baada ya kidonda kufunga kidole kimekufa ganzi.wakubwa hii inatokana na...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Back
Top Bottom