Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Wizara ya Afya kupitia waziri wake imetangaza kusitisha matumizi ya vipimo vya sd bioline ambavyo vimekuwa vikitumika kwa muda mrefu kupima Uwepo wa VVU mwilini. Sababu iliyotolewa ni kutokuwa na...
0 Reactions
20 Replies
12K Views
Naombeni mniambie walau lugalo,ifakara au kibaha bado zipo wazi nafasi kwani nahitaji kumpeleka hata uuguzi kwani kukaa home nako sio vizuri kwa mtoto wakike |tafadhali madaktari,wauguzi...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Uchanganyaji wa asali ya nyuki wadogo na unga wa mdalasini huboresha afya zetu kwa 100%. Pia mchanganyiko huu unapotumiwa kabla ya kulala usiku hufanya kazi kama Anti-aging..
0 Reactions
4 Replies
7K Views
Habari zenu, Nina mtoto wa kiume wa umri wa miezi mitatu na wiki mbili. Tangu nimejifungua sikupata maziwa siku tatu mfululizo kwahiyo alikuwa anapewa maji tu mpaka maziwa yalivyotoka. Mtoto si...
3 Reactions
22 Replies
17K Views
Doctors wote, heshima kwenu wakubwa. Mimi naomba kufahamu mtu aliyezaliwa na spinal bifida, nini hasa uwa ni chanzo cha tatizo hili. Na mtu mwenye tatizo hili anaathirika vipi kiafya? Je hii uwa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Ndugu yangu wa kiume 40 yrs anapata maumivu makali sana chini ya kitovu kushoto hasa anapokaa na anapolala. Amepima figo wamesema hamna kitu, amepima mkojo na choo hamna kitu, ila ultra sound...
0 Reactions
18 Replies
5K Views
Jaman naombeni msaada nimepitiliza kuingia katika siku zangu sasa hivi ni siku ya saba tangu tarehe 17 mpaka leo tar 23 sijaona siku zangu, napata maumivu makali ya tumbo kama la bleed kwa...
0 Reactions
8 Replies
6K Views
I will be finishing a short course on becoming a Medical Interpreter. From English-Swahili. i have to realize that not many swahili words have direct translation, and in most cases you have to...
0 Reactions
1 Replies
813 Views
Kitendo cha MTU kutoka damu puanii ni sababu ipi inasababisha au madhara yake ni nini Maana niko na mtu anatokwa na damuu nyingii alafu analia anajua anaweza kufaaa, Ila watu wengine wameniambia...
0 Reactions
2 Replies
8K Views
Wakuu naomba kuuliza kama kuna.....
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kwa wale wenye hako kaugonjwa tafadhali soma hii research finding (Nimeshindwa kuweka hiyo link) so nime copy na ku paste: Masturbation 'cuts cancer risk' Researchers were assessing...
2 Reactions
44 Replies
7K Views
Nina ndugu yangu mmoja anauguwa ugonjwa huu wa UKIMWI, wiki kama mbili zimepita nilimpeleka kuhudhuria clinic yake. Tulipofika pale alipewa huduma kama inavyotakiwa lakini katika mazungumzo yao...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Mambo zenu wanajamvi, Mimi nataka kujua, kuna hizi test za HIV, wanapima kwa kutumia vikaratasi vya kuchora lines, mfano wa pregnancy test. Ninachotaka kujua, how accurate are they? Kwa walio...
0 Reactions
24 Replies
7K Views
Habarini ndugu zangu! Naomba kufahamishwa na yeyote yule anaejua ni mazoezi yapi ya viungo watoayo NHIF? Ni gym au ni mazoezi ya namna gani?
0 Reactions
0 Replies
992 Views
Habari wakuu,! Naomba kuuliza kwa anayefahamu masuala ya uzazi, kwamba ni kiasi gani cha mbegu za kuime zinaweza kusababisha mimba?, nauli hivi kwa sababu girl friend wangu ameniambia ana mimba...
0 Reactions
14 Replies
16K Views
Hello wadau nahitaji msaada wa kitaalamu zaidi kuhusu tatizo la Mwanamke kuingia Bleed mara 2 kwa mwezi, Nina mchumba ambaye ana tatizo hilo, wakati mwingine humtokea na kuingia mara 2 na wakati...
0 Reactions
3 Replies
12K Views
Nimekuja kwenu wana jamvi kuomba kamsaada kuhusu kushave pubic hairs napata complications Nyingi sana Kushave hayo maeneo na nikitoka hapo si vipele na vijipu fulani hivi vinavotoa shoo. Lakini...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Ndoa njema hufanikiwa kukiwa kuna furaha na maelewano. Lakini mapenzi yanachanguwa sana na tendo la ndoa. Wanandoa wengi wataelewa ya kwamba tendo la ndoa linaweza kuwa haliridhishi ndo maana watu...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Men who ejaculate more regularly throughout their lives lower their risk of the disease. if sperm is regularly cleaned out to allow new cells to develop, it helps stop the build-up of old cells...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ili Aweze Kuacha Kupiga PUNYETO au KUPUNYETIKA Kwani Kuna Kijana Mmoja Kitaa Ameshakuwa Addicted Na PUNYETO Kiasi Kwamba Anasema Hata Akiwa ANAMKANDAMIZA Demu Huwa Hasikii MAUTAMU Ila Akitumia Tu...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…