Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Eti ovulation kwa mwanamke huwa inachukua muda wa siku ngapi? Na ukitaka kupata mtoto jinsia unayoitaka either msichana ulale nae siku gani na mvulana ulale nae siku gani? Na je ukilala nae pale...
0 Reactions
2 Replies
8K Views
kuna jamaa yangu yeye baada ya kila kumaliza kuoga na akisha jifuta maji tu au akikauka lazima mwili uanze kuwasha atajikuna kama dakika 20 hivi,tatizo hili linadawa?
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Jaman wataalamu, nimesoma sehem apple cider vinager inasaidia kutibu insulin resistance na weight loss kiujumla Ni kweli? Na itumiwe kwa kipimo gani?
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Habar zenu wapendwa, naumwa na kichwa sana kwa kipindi kirefu sana nimetumia dawa za kila aina kuzuia maumivu ya kichwa lakin haijasaidia. Kwa mwenye ushauri ama dawa anisaidie tafadhal.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
wakuu Ndugu yangu ana tatizo la moyo kuwa mkubwa.na.iyo imesababishwa na Presure na.Sukari... Nimeelekezwa suppliments.aina ya.Cardial Power naomba.mwenye connection nazo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
kifua changu kinauma kiasi kwamba mpaka maumivu yanatokea mgongoni ila kukohoa sikohoi! mwenye kujua tatizi pliz anisaidie
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Nataman kujua km kuna madhara yoyote kunywa maji kupita kiasi Na je kipi ni kipimo sahihi kwa siku
0 Reactions
18 Replies
18K Views
Natumai ni wazima wadau Mada yangu inaomba nielekezwe juu ya dalii za ujauzito zinaanza kujionyesha baada ya siku au wiki ngapi baada ya tendo la ndoa??? Naobeni msaada wenu
0 Reactions
7 Replies
15K Views
Nina mpenzi wangu tuna kama miaka 4 kwenye uhusiano wetu kwa miaka 3 tumekua tukitumia condom ila huu mwaka wa 4 yametushinda siku moja nikiwa na condom ili bust basi tukaenda kavukavu. Baada ya...
0 Reactions
6 Replies
11K Views
Wakuu mko poa?naomba wataalam wa afya wanijuze ni mda upi muafaka wa kumtahiri mtoto wa kiume.Mtoto atahiriwe akiwa na miaka mingapi?
1 Reactions
19 Replies
4K Views
habari wakuu.natamani kupata watoto mapacha je kuna njia yeyote ya kusaidia kupata mimba ya watoto wapacha?asanteni
0 Reactions
38 Replies
22K Views
Wadau nawatakia weekend njema. Nahitaji nini ili kuanzisha zahanati chini ya NGOs. Suala si mtaji bali masharti gani laima yatimizwe ili kuanzisha huduma hiyo. Asanteni
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jamani Mimi ni meota vinyweleo na ni viref kias kuanzia kwenye sehemu za matako hadi sehemu ya haja kubwa pembezon je nikawaida au naomba mnijuze
0 Reactions
18 Replies
6K Views
Jamani naomba msaada wa kitaalamu kuhusu hizi dawa
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Health Benefits of Cabbage Because of its leafy appearance, cabbage is often thought to belong to the lettuce family; however, cabbage is considered a cruciferous vegetable. Cabbage can vary...
0 Reactions
2 Replies
7K Views
Habari, Ni kwenye magroup ya whats app kuna mtalaamu mmoja alisema hivi," kwenye cell kuna vipokezi vya kupokelea virusi vya ukimwi, sasa kuna watu hawana hawa hawawezi kupata ukimwi. Walivyo na...
0 Reactions
43 Replies
12K Views
Nimekuwa nikinywa kijiko kimoja cha chai cha mafuta ya mzeituni (olive oil) kila siku niamkapo kabla ya kula kitu chochote. na nimeona mafanikio makubwa sana kwa afya yangu. Je kuna madhara...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Zile dawa za aids (ARVs) napenda kujua zmetengenezwa na product au material gan yanayoweza kuongeza uzalianaj wa cell for immunity/defence.
0 Reactions
2 Replies
910 Views
Habari wana jf, nina mtoto mchanga nilikuwa namnyonyesha tu, sasa ni miezi mitano na nimeanza kazi nahisi maziwa yangu pekeyake hayamtoshi hashibi. nilianza kumpa maziwa ya SMA ila anaharisha...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
ndugu marafiki na jamaa mbali mbali mwaka jana mwez wa 9 nilipata ajal ya gar mkoan morogoro. na nikavunjika uti wa mgongo niliangaika sehem mbali mbali kupata matibabu. ikiwemo pale kcmc moshi...
1 Reactions
1 Replies
3K Views
Back
Top Bottom