Mm ni kijana mwenye umri wa miaka 26 nina gal wangu ambaye niko naye kwa muda wa miaka miwili but tumeanza kusex nae mwaka huu mwezi wa kwanza.
Tatizo lake ni kwamba since nimtoee bikra yake yani...
Naombeni msaada wenu,
Kuna mtu anasumbuliwa sana na maumivu makali ya miguu hasa kwenya magoti.Umri wake ni kama miaka 70. Nahitaji kuelekezwa ni wapi naweza kumpata mtaalamu hapa Tanzania...
Habari, naomba ushauri wa kitaalam kuhusu issue mbili zinazomkabiri mke wangu.
Issue ya kwanza: Mke wangu ana ndevu kwenye kidevu, sio nyingi sana but anataka zitoke permanently. Je, ni vizuri...
Habari za muda huu wana Bodi.
Naomba kujua angalau kwa undani kuhusu ugonjwa huu wa UTI hasa kwa kina dada,je ni ugonjwa wa zinaa?
stori nzima iko hivi....
Jana kaja rafiki yangu akiwa mnyonge...
Mimi ni mschana mwenye miaka 25 Siku hizi nachoka sana mikono nikifua yaaani kama inaishiwa nguvu na kuchoka hapo ni nguo ya pili tuu.....zaman nlikua nafua mpka rundo la nguo sisikii kuchoka...
ni vipele ambavyo siyo chunusi na hata ukiviminya havina kitu ndani ila kuna kipind vinatutumka zaid vilianza vichache sana hqpo kifuani mwaka ukapita ila vinazid kuongezeka na vimepanda hapo...
story yangu inaaza hivi,
nakumbuka mnamo tarehe 09/06/2012 majira ya saa 10 jioni nilimpokea mchumba wangu kutoka Same na kuja huku nilipo Ruvuma. so tukawa tunaishi pamoja, nakumbuka siku ya...
Waheshimiwa wana JF,salaam.Naomba kuuliza mbali na kutumia kinga/condomni kipi tena inabidi kukiepuka wakati unajamiana namwana ume/mke ambaye ni HIV +ve.La mwisho je tongue kissing...
Naomba kuuliza Nina MDOGO wangu ana mimba miezi 8 na cholesterol Yake iko juu sasa ameshauriwa hospital I atumie junior aspirin na mdalasini sasa kila akila akitafuna mdalasini anasikia maumivu...
Jaman mimi nina kidonda cha zaidi ya miez mitatu. Naombeni mniambie ni dawa gani nitumie ili kidonda changu kiweze kukauka kabisa pamoja na gharama zake?
Wataalam msaada katika hili nina mpenz wangu anatatizo hili la kushindwa kula nimemuhoji anasema njaa anapata ila akila anakula kidogo sana baada ya hapo hawez kula anameza kwa shida had anahis...
Wakuu, mimi ni mwanamke mwenye umri wa miaka 25, kwa sasa ninavirusi vya ukimwi, ninatamani sana kuolewa na kuzaa watoto, nifanye nini? je ntapata mwanaume wa kunioa? na tukitaka kuzaa salama...
Mtoto wangu ana mwaka mmoja na miezi mitano na ni wa kiume,mwezi mmoja uliopita alikuwa anakojoa huku kachuchumaa nje nikamuona last drop ilikuwa na wekundu wa Sami,nikamwambia wife akakataa na...
Ma dr nipeni dawa, mpenzi wangu ambaye huenda nikamuoa hana chuchu kabisi, yani yupo flat kabisa, yani hata zangu zimetuna kiasi, je atumie dawa gani?!
Habari zenu waheshimiwa mabibi na mabwana.....
Mimi ni kijana wa kiume,tatizo langu ni maumivu ya nyonga yananisumbua sana,nikiinama shida,nimejaribu kufanya mazoezi ya nyonga lkn bado.Wakuu...
Amber Girling, 20, from Chatham, Kent, weighed 9st at age 17 (she is pictured, left), but began thinking about her weight when girls at school called her 'curvy' and made fun of what she was...
Habari zenu wandugu,
Mimi ninae mpenzi takribani mwezi wa tatu sasa, ni msichana mwenye umri wa miaka 28 mrembo na mwenye kazi nzuri tu. Tatizo ni kwamba tunapokuwa faragha tukifanya yetu huyu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.