Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Kuanzia leo nitakuwa natoa ushauri wa kiafya kwa wenye shida na matatizo mbalimbali ya kiafya kupitia uzi huu kwa kadri ntakavyokuwa napata nafasi. Karibuni sana
0 Reactions
27 Replies
6K Views
Jamani mi ni msichana lakini sauti yangu ni nzito saana kiasa kwamba hata nikiongea na simu mtu anaweza akafikiri kapokea mkaka naombeni mnisaidie nifanyaje niweze kulainisha sauti yangu.
0 Reactions
11 Replies
3K Views
je ni nini kinasababisha mwanamke kutokwa na utando mweupe ukeni kama maziwa ya mgando ?
0 Reactions
1 Replies
5K Views
Hapa mtaani kwetu wamekuja jamaa flani si vyema kuwataja jina ila wana Mobile Clinic. Wanasema wana mashine ambayo haihusishi kutoa damu, yani unaweka mgono tu inafanya full body checkup...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wasalaam, Kuna nyuzi nyingi zipo jukwa hili za matatizo ya nywele na watu wanasaidiwa vizuri,kwangu mimi shida yangu ni mwanangu ananywele karibia uso mzima. Nimejitahidi kumtinda mara nyingi...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Mamlaka ya Chakula na Dawa nchini Tanzania (TFDA) imefuta usajili wa aina tano za dawa za binadamu na kuamuru ziondolewe sokoni na vituo vyote vya kutolea huduma za afya mchini kote mara moja...
0 Reactions
4 Replies
7K Views
nimtumiaji wa bluband sio sana ila naona imeniletea aleji flani hivi nimetokwa na uvimbe kama jibu karibu na dushe pale kwenye bustani kwa pembezoni nini athari yake na dawa maana linaninyima...
0 Reactions
12 Replies
10K Views
Salaam wanajamii, Nimekuwa na tatizo almost ni mwezi sasa kila ninapolala nahisi kupoteza fahamu.Hali hii hutokea kama ndoto lakini na uhalisia na baada ya muda fahamu hunirejea. Je, linaweza...
0 Reactions
6 Replies
5K Views
naomba kufahamishwa kisonono baridi ni nini kwasababu ukipita mitaani mabanda mengi ya Dawa za asili yanaorodhesha kisonono baridi kama miongoni mwa magonjwa wanayotibu. Hiki kisonono baridi...
0 Reactions
10 Replies
9K Views
Nataka kwenda kutoa damu napenda nifahamu mambo muhimu kabla ya kwenda huko. Asante!
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wanajamvi hivi ni kweli nchi wahisani wametangaza kusitisha msaada wa dawa hizo kwa Tanzania?
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Poleni wanajamvi!nina shida moja nataka kujua hivi mtu kukosa hamu ya kufanya tendo la ndoa ni ugonjwa au ni nini?kama ni igonjwa dawa yake ni nini? MSAADA INAHITAJIKA HARAKA,NDOA YAWEZA VUNJIKA...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu. Wakuu naelewa wazi kabisa kwamba mwanaume halisi kikawaida ni lazima atokewe/awe ana erect asubuhi asubuhi anapoamka. Ila kwangu sasa nahisi utofauti kidogo, jamani hii...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Jifunze kuogelea, upunguze kitambi na mafuta yaliyozidi mwilini. Tengeneza tambo sita(six packs). Na upunguze hatari ya kupata maradhi kama saratani, kisukari,pamoja na tatizo la kuwa na uwezo...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Naona hapa ndio nitapata muafaka,nimepata kusikia utumiaji wa maini ya wanyama kama mlo una madhara kwa binadamu,je hii ni kweli? Huko nyuma ilikuwa ukimuwekea mpenzi wako order ya maini buchani...
1 Reactions
13 Replies
13K Views
Unaijua supu ya pweza wewe ? Ile kitu balaa. Ni kama viagra ya asili. Mimi binafsi nikinywa ile kitu napiga mpaka bao saba ! Yaani noma, we acha tu !
1 Reactions
51 Replies
31K Views
WATAFITIi wa nchini Israel walibaini kuwa, mtu anayekunywa chai mara kwa mara ana uwezo wa kuishi muda mrefu tofauti na yule asiyependa chai. Aghalabu maisha ya mwanadamu yeyote yule yapo...
26 Reactions
84 Replies
34K Views
Habari za humu ndani wana jf.. mwenye uelewa tafadhali naomba anisaidie. Nina rafiki yangu wa kike amechomwa Sindano kwenye kiuno chake juu kidogo ya Makalio yake, huwa naangalia sana ile sehemu...
0 Reactions
7 Replies
7K Views
Habari za humu ndani wana jf.. mwenye uelewa tafadhali naomba anisaidie. Nina rafiki yangu wa kike amechomwa Sindano kwenye kiuno chake juu kidogo ya Makalio yake, huwa naangalia sana ile sehemu...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Back
Top Bottom