Wadau tunaomba msaada wa tiba ya huu ugonjwa,,,kama ni asili au ya tiba ya kisasa tutashukuru kuna mwana jf mwenzetu anasumbuliwa,,,,,uvimbe huu ni shida kila aendapo haja kubwa maumivu ni kali...
Wakuu nisaidieni huu ugojwa gani,na kipi nifanye kuzuia tatizo lisiendelee? Toka niko Mdogo nilikuwa nna mwanya mdogo ila umeongezeka mpaka sasa nkichonga jino la bandia wanaweka meno mawili...
70 Ways to Increase Your Brain Power
You Want More Brainpower Not Higher IQ Scores!
Okay, maybe you want higher IQ scores too. The American Heritage Dictionary defines Intelligence Quotient...
Kuna shida inamkuta ndugu yangu wa karibu ana miaka arobaini na tano kwa sasa ila bado anaendele kupata hedhi, na alikaaga kwa muda wa miezi isiyopungua nane bila kupata hedhi lakini now imemrudia...
Nimekuwa nikisikia huu mjadili wa "matumizi ya Fluoride" kwenye dawa ya meno na Athari zake.Wengine wanasema Fluoride haina madhara kama ikitumiwa kwa kiasi na kwa upande mwingine wengine...
Gastroesophageal Reflux Disease (GERD) is the back flow of the stomach contents into the esophagus (the tube that connects the mouth to the stomach) with or without esophageal inflammation...
Wana Jamii Forums.
Mnisaidie nini kisababishi cha maumivu ya korodani rafiki yangu anasumbuliwa ni wiki ya pili sasa.
Kapima damu na mkojo yukosafi.
Tunaomba msaada wenu.
Habar za humu ndan members naomben ushaur na msaada wenu jinsi yakutumia calender. Ili kuzunisipate mimba na kujua mzunguko wangu ni mrefu or mfup or wakawaida
Kuanza mwenz wa kumi na moja siku...
Habari ya asubuhi wandugu
Mimi ni mama wa mtoto mmoja, Jaman mwenzenu kama nilivouliza mara ya kwanza kuhusu sindano ya uzazi wa mpango ambayo nilichoma mwezi wa tisa mwaka jana na...
Five common home Remedies and their uses :
We all have home remedies for combating health, skin and cleaning that have beenpassed down from generation to generation. I remember a few of these...
Kichaa cha mbwa ni ugonjwa unaosababishwa na virusi vinavyoambuklizwa kutoka kwa wanyama hadi binadamu kupitia kwa mate. Njia iliyo ya kawaida zaidi ni wakati ambapo mtoto ameumwa na mbwa. Hata...
Habari za leo ndugu zangu wapendwa? Ni matumaini kuwa mpo safi kabisa. nimekuja hapa kwenye hili jukwaa nikiwa nina shida moja inayonitatiza.
jana nilikuwa nampa chakula mwanangu (ana miezi 7 na...
WALIOATHIRIKA WA MASTURBATION TIBA YAKE:
Chagua utakayoiweza kuibeba kati ya zifuatazo:-
(a) Unga wa Parachichi vijiko vitatu vya chakula na unga wa kahawa kijiko kimoja cha chakula vichanganye...
Heri ya mwaka mpya wapendwa.
Natoa shukrani zangu kwenu nyote mlionishauri na kunifariji wakati nikiwa nahitaji mtoto, hamkuniacha mpweke mpaka mimba ilipotunga na niliwajulisha, sasa Mungu...
Habari.
Mimi ni mwanamke ninaetarajia kupata mtoto kwa kipindi hiki.
Mzunguko wa siku zangu ni siku 28... na napoingia kwenye siku zangu naenda siku tatu. Mara ya mwisho kuona siku zangu ilikuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.