Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Swali je ni kweli ugomjwa huo husababisha upungufu wa nguvu za kiume?
0 Reactions
2 Replies
7K Views
Ndugu wanabodi, Juzi nilikuwa nimelala usiku ghafla nikashtuka na kufungua macho, nikawa na fahamu lakini mwili wote ukawa ume paralyse siwezi hata kuinua kiungo hata kimoja hali hiyo ilidumu kwa...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Nimekua na tatizo sana na kusumbuliwa na kiu sana imefikia hatua nakunywa lita 4-4.05 kwa siku, sina kazi ngumu niifanyayo . Miezi kama 4-5 nyuma nilikua nachemsha maji yakipoa kidogo nakunywa na...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Majeraha ya moyo ni nini? Yanasababishwa na nini? Madhara yake na njia za kumsaidia mtu aliye na majeraha ya moyo
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Madaktari mjini Devon wanaunga mkono kampeni mpya inayowaagiza raia kuwatembelea madaktari wao iwapo wanahisi kuwa na kiungulia kwa siku kadhaa kwa kuwa huenda ikawa ishara ya ugonjwa wa saratani...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wasalaam Madokta; Mara kama ya tatu sasa nakutana na hawa jamaa ambao huonyesha madhara ya vitu mbalimbali kama chumvi, vipodozi, mayai ya kisasa, soda na kilichonistaajabisha juzi walikuwa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Experienced doctors na wadau wengine nahitaji kujua hili:- Hivi ni kweli kuna "false positive" ktk HIV TEST. Na je kama ipo hivyo inasababishwa na nini? maana si mnajua stori za vijiweni.
0 Reactions
27 Replies
7K Views
Wadau nasumbuliwa nikikojoa nasika utamu sana usio wa kawaida ndani ya uume au nikibinya uume nasika raha kama ile ya kufika kileleni. Mimi nina miaka 20. Au nikipigapiga uume kwenye mkono nasikia...
0 Reactions
4 Replies
6K Views
Habari wana JF wenzangu, Mie Nina tatizo nahisi maana napata maumivu upande Wa kulia chini ya mbavu usawa Wa kitovu (Julia tu lakn) hata nikienda gym au kuogelea huwa napata kichomi kwa haraka...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
habari zenu wana jamvi, naombeni mnisaidie kwaanaejuañ nini kinasababisha mkojo kunuka kama mavi? Msichana wangu wajazi akienda kukojoa chooni hapaingilikikwaajili ya harufu0 kali na mbaya nini...
0 Reactions
7 Replies
9K Views
Habari wataalamu. Msaada tafadhal... Wiki ya tatu hii pembeni ya mapaja karibu na uke kumetokea utando fulani ambao unawasha sana... Yaan najikuna mpaka nahisi maumivu..hadi kunatengeneza weusi...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Zimepigwa marufuku ziko aina tano,Niko kwene kihaice nimesikia kwa mbali hebu waliosikia vizuri ziwekeni hapa watanzania wajue huku kijijini kwetu tunajinunulia tu
0 Reactions
5 Replies
4K Views
maji kutoka ndani ya kitovu please msaidieni nini tatizo hapo
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Salaam wana JF. Naombeni kujulishwa kama kuna mabadiliko ambayo huwa yanajitokeza kiafya endapo mke wake akishika mimba, mfano mwanaume kuumwa ,kujisikia kichefuchefu,kwa ujumla kuwa na dalili za...
0 Reactions
18 Replies
4K Views
Habari za majukumu wakuu. Samahani kuna tatizo linanisumbua kwa muda wa mwez m1 sasa, Ninapatwa na joto la ghafla mwili mzima na kutokwa na jasho jingi hali hyo inapojitokeza, maranyingi hutokea...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Mwenzenu mikono imeanza kuniuma siku za karibuni lakini siyo muda wote bali kuna wakati inauma halafu baada ya muda haiumi sijui tatizo ni nini, naombeni ushauri wenu wakuu!!
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Ni kwamba nikilala halafu nikakunja miguu. Kwa kuibebanisha yaani mguu mmoja juu mmoja chini… yaani nitaweweseka sana kwa kupiga makelele…. Halafu nikilala kwa kuangalia juu kama. Wanavyolazwa...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Jamani ninawashwa sehemu ya haja kubwa, hasa kila nikitoka kujisaidia Tumbo nalo linanhuruma usiku kucha yaani ni wiki ya pili sasa, choo nacho ni shida naweza kukaa pale kwenye Tundu nikaishia...
0 Reactions
28 Replies
11K Views
Deleted
0 Reactions
3 Replies
986 Views
Dokta kanipima...Kasema nina UTI....Ila sasa kaniandikia ciproflocaksin 1. Erythromycin dozi nzima na Doxy dozi nzima. Kwa utafiti wangu hii dozi ni ya Gonorrhea kama ni UTI kwa nini hakunipa...
0 Reactions
11 Replies
6K Views
Back
Top Bottom