Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Jaman hivi ni kitu gani huweza kusababisha uwiano wa ukuaji wa kichanga tumboni na umri wa mimba kutolingana? Maana mtu miezi Tisa imetimia lakini amejifungua mtoto kama njiti.
0 Reactions
5 Replies
8K Views
Mara kadhaa watoa huduma za Afya hapa nchini wamekuwa wakishutumiwa kwa kutoa huduma chini ya matarajio ya wateja wao yaani clients. Inawezekana kabisa kukawa na ukweli katika hili au pengine...
23 Reactions
35 Replies
5K Views
Ndugu zangu, habari.... Nataka kupunguza uzito wa mwili wangu,kiufupi nina uzito wa ziada wa kilo takribani 20 hivi... Sasa katika pita pita zangu kwenye website ya Kaymu nikakutana na dawa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari ndo hiyo wana MMU naomba mnipe uzoefu wenu. Mara nyingi ninapocheza mechi za ugenini lazima nitumie zana (condom) na ku-boost ubongo kidogoo either kwa value 2 nikimix reds au safari 1 tu...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Matatizo ya maumivu ya chini ya tumbo pindi mwanamke akiwa mjamzito,yanatokana na nini? Na tiba yake ni ipi?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nimejaribu Kuangalia Watu Wa Rika Tofautitofauti Na Kugundua Kuwa Wanawake Wanakua Usiku Na Mchana Na Mwanamke Hukua Usiku Tu Ndo Maana Wanawake Wanaweza Kuolewa Mapema Na Wanaume Waliowazidi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
natumai wazima jaman nimekuwa nikisumbuliwa na kizunguzungu,mara ya kwanza nilijua ni typhoid kwan nilikuwa nayo.bt now natumia dozi ya typhoid lakini kinanipata.lakini siku nikishinda na njaa...
0 Reactions
7 Replies
6K Views
Habari,mwanangu ana umri wa miaka mitatu sasa lakini amekuwa akisumbuliwa nakifua kisichopona kwa muda mrefu.tatizo lilianza akiwa na mwaka mmoja na miez mitatu alipotumia dawa za minyoo.akaanza...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Ni dawa-lishe ya ajabu inayotumia teknolojia ya kisasa kwa kuhuisha mfumo wa kinga mwilini na kuimarisha afya ndani ya wiki nne tu. Wagonjwa wa ukimwi, kansa, kisukari, malaria sugu, figo, presha...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Habari wana jamii forum, polen na majukumu mbalimbali.nilijifungua mwaka 2011 na baada ya kujifungua nilifunga kizazi.tangu hapo sijaona siku zangu, jambo ambalo linanipa maswali sana.nilienda kwa...
0 Reactions
18 Replies
4K Views
Naombeni msaada wa tatizo ninalokabiliana nalo tokea Sept 2012 hadi sasa. Nikilala siwezi kutumia upande wa kushoto na pindi nikifanya hivyo naona kila kitu kinazungunga mle chumbani na mara...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
nauliza kama dawa ya NASEPTIN inapatika hapa nchini na ina matumizi gani
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Most likely especially for those desperately trying to come up with a perfect excuse to ditch the gym without having anyone accuse them of being quitters, researchers published a new report saying...
0 Reactions
0 Replies
765 Views
JOB VACANCY TODAY 21/1/2015 THE FACILITY IS HEREBY TO ANOUNCE FOR ONE POSITION OF MIDWIFE NURSE WHO INTEND TO WORK WITH AGREEMENT OF BEING PAID THE SALARY WITH REGALD OF GOVERNMENT RANKING...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jamani linanitesa!! yani silioni, silifikii naugulia tu.
0 Reactions
0 Replies
3K Views
kuna dawa inaitwa naseptin je inapatikana wapi
0 Reactions
0 Replies
910 Views
Habar. Hapa nilipo nimechanganyikiwa kabisa, Kwa kuwa Mke wangu kanipigia sim akinieleza kaziona siku zake, Kinyume na mimi nilivyokua natarajia kuwa ni mjamzito, Wote ni wazima wa afya sijui ni...
1 Reactions
29 Replies
6K Views
Jamani mwenzenu nimepatwa na tatizo la kuwashwa sehemu za siri (mrija wa uume), jumapili nilitoka kufanya bila kinga, kwa wanaofahamu jaman huu inaweza kuwa ishu gani? Hospitali gan wanaweza...
0 Reactions
16 Replies
11K Views
Kuna watu inatutokea unaamka asubuhi na kukuta sehemu ya nywele kiachwani au kidevu ghafla zimenyolewa kwa mtindo wa Ki/vishilingi an nywele huchelewa sana kuota tena. Hii kisayasansi...
1 Reactions
20 Replies
11K Views
Kuna mtoto anasumbuliwa na utando mweupu kama vidonda mdomoni na inasadikiwa ni hatari ukishafika mkunduni.
0 Reactions
8 Replies
10K Views
Back
Top Bottom