Habari wana Jamii? naombeni ushauri wenu nitumie nini kuondoa makovu miguuni? nina makovu makubwa miguuni nimejaribu kutumia hasari lakini haijasaidia kabisa. msaada jamani
Sijajua kama naloni tatizo la nguvu za kiume.Tatizo langu nawai sana kumwaga {kupizi} yani sichukui sekunde 50 namwaga lakini cha ajabu naendelea na round nyingine hata mara5 kwa staili hiyo hiyo...
Wataalamu naomba msaada kwa hili tatizo.
Imekuwa destruri sasa toka kijijini hadi hapa mjini.
swali hili nilishawahi kumuuliza mwalimu wangu wa o-level lakini na yeye aliishia kucheka tu pamoja...
Habari wana Jf, hivi jamani hawa madaktari wa Hapa nchini Tz kwenda kujitolea huko kwenye kanda zilizo athiriwa na ugonjwa wa Ebola haitaleta tafrani hapa kwetu? Maana hata madaktari wa...
A new cure for hepatitis C has given new hope, but its price is far too high, while a scheme to supply poor countries excludes Malaysia and other middle-income countries.
A CONTROVERSY is brewing...
Naomba ushauri wenu,mimi mvulana nina umri wa miaka 27 nilianza kufanya mapenzi nikiwa mdogo sana,hadi hivi sasa sijui idadi ya wnwwake niliowapitia,in short ni mtaalam wa kuwapa haki zao hawa...
Wasalaam wana jamvi JF Doctor,
Jamani naombeni msaada wenu kuna kipindi cha mwaka 2007 nilianza ghafla kupata uvimbe kama majipu hivi usoni na kwenye nyama za sikio (sehemu wanayovaa hereni dada...
wadau hebu nisaidieni,huyu ndugu yangu ana dalili hizi; anaumwa joint za magoti,anaishiwa nguvu,akiwa na njaa anahisi kutetemeka,anapungua wakati mwingine mwili wake unarudi kama kawaida.mara...
Wadau habar zenu!!
Toka huu mwaka umeanza nimekuwa nikisumbuliwa na typhoid mara kwa mara, nimetumia dawa aina tofauti tofauti mara chache napona na inajirudia tena pamoja na kufuata kanuni...
A cure for HIV and Hepatitis C is within reach as Australian company Biotron Limited (ASX:BIT) announced successful trial of an antiviral drug that will kill both virus. The company announced that...
Jana nilipata mshituko ambao mpaka sasa unaendelea kunistua na kuona hatari mbeleni,je wanajf hasa category ya jf doctor,kuna habari ya madaktari wa kujitolea wanaotoka tanzania eti wanaenda kutoa...
Eating the best fat burning foods that speed up metabolism can make it much easier for you to reach and maintain your ideal weight but you cant just add the best fat burning foods to your diet...
Wataaramu naomba msaada me ni mjamzito wa miezi tisa lakn nasumbuliwa na maumivu ya mgongo,kiuno na tumbo lakn yanakuja yanakata halafu yanaanza tena baada ya masaa kadhaa naomba msaada kwa wenye...
Watafiti nchini Australia wanadai kwamba dawa inayotumiwa kuongeza nguvu za kiume VIAGRA husababisha upofu baada ya (matumizi ya) muda mrefu.
Kulingana na Watafiti hao kutoka Australia, kiungo...
Namepima kisukari nimeambiwa sukari iko juu japo bado haijaniathiri ila niwe makini.
Sasa sijajua nifanye nini ili nisiathirike?(sukari iwe normal). Naombeni msaada wenu wakuu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.